BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

THE MAN February, 7, 2008

Filed under: Developing News,Serikali/Uongozi,Siasa,Tanzania/Zanzibar — bongocelebrity @ 12:16 PM

 

Pichani ni Dr.Harrison George Mwakyembe,Mwenyekiti wa Kamati Teule iliyounda kuchunguza sakata zima la Richmond alipokuwa akiingia bungeni jana.Matokeo yake ndio haya ambayo tunaendelea kuyashuhudia.

Wajumbe wengine waliokuwa wakiunda kamati hiyo teule ni Mheshimiwa Mohamed Habib Juma Mnyaa(CUF-Mkanyageni),Mheshimiwa Lucas Lumambo Selelii(CCM-Nzega),Mheshimiwa Stella Martin Manyanya(CCM-Viti Maalumu) na Herbert James Mntangi(CCM-Muheza)

Advertisements
 

19 Responses to “THE MAN”

 1. Mr. Upendo Furaha Amani Says:

  Dr.Harrison George Mwakyembe, Watanzania tunahitaji viongozi wa aina yako. Wasio-onea au kupendelea mtu. Big up man.

 2. Gervas Says:

  Mimi nafikiri Dr. Harris awe waziri mkuu afu selelii (Mb) awe waziri halafu ili watazania tutoke ki maisha wa-implement Mixed economy (Ujamaa + Ubepari) hatuwezi tukaiacha socialism moja kwa moja maana tukiendekeza ubepari kama huu, badala ya kuwa na vita ya ukabila kama kenya, itakuwa vita kati ya waliojilimbikizia na makundi ya walala hoi. Kuna wabunge wanabusara kweli afu ni watu safi tunawaona bungeni, lakini JK anawatizama kwa macho ya makengeza!!

 3. Msukuma wa shy Says:

  MWANGALIE ALIVOPENDEZA KWA SURA MPK MOYO WAKE SAFIIIIIIIIII BRAVOOOOOOOO MKUU MWAKYEMBE BRAVOOOOOOOOOO,MUNGU AKULINDE NA WALIOMKUBENEA MANA WALITUMWA NA HAWAHAWA VIGOGOZ.MUNGU NI MWEMA ATAKULINDA.
  SASA KAANZA
  1.EDO
  2.MSABAHA
  3.KARAMAGI
  WANAOTAKIWA KUFUATA KUJIUZULUZ NI
  4.MWANYIKA
  5.HOSEA
  6.ZAKIA
  7.SITTA
  8.MAKAMBA
  9 NIMEMSAHAU EMBU NDAKI NIKUMBUSHE

 4. Kimori Says:

  Just a piece of advice…

  Right now journalists will write all the details linked to the ministers involved in Richmond scam, but just a few days ago no one would have gutts to speak out…this is where the problem lies.

  I look at this with contempt as regard to journalists who could not write investigative articles until everything is in public. Our citizens need to be informed objectively so long as no one is being insulted, because truth will always remain truth no matter how you try to hide it.

  I profoundly understand that journalism is one of the dangerous careers in the world, but once you have ventured to be one of them you have to instill a bold fortitute within to encounter all the dangers ahead! Journalists can still play a very significant role in fighting insanity in the society.

  Please, keep on informing us of various developments in our community and we shall definately reciprocate with a word of gratefulness!

 5. Philip Says:

  Jammaaa anaenda akicheka !! tehetehtehetehe!! Kaangusha mnyamaaaaa!!!!

 6. DR. Matt. Says:

  bado ya Uwaja wa ndege wa kimataifa Mbeya……

  wamejenga vinyumba fya njuni…….. wahindi na warabu…. nuksii, gharama na thamani ya uwanja havieleweki.

  karibu USA upumzike malafyale still long way to go….

  twombeya@yahoo.com

 7. amina Says:

  huyu jamaa kafanya kazi nzuri sana ila tuelewe hata wakija kuchaguliwa wengine kazi itakua ileile hawa wanakuaga kama wamezaliwa na mama mmoja.kama huyu karamagani bado mgeni lakini ona madudu aliyofanya mara richmond mara buzwagi…bora huyu lowasa yupo katika nyazifa siku nyingi na huyo msabaha pia mkongwe wana experiense,nazir kaingia kwa pupa bravo mwakyembe wasijiteteee hao

 8. Kasenene Says:

  Huyu asipoangalia, watamtenda kama walivyomtenda Amina Chifupa.

 9. Dada wa Kihaya Says:

  Dk. Mwakyembe huo ujasiri usiishie hapo kaza buti broo!tunahitaji taifa lenye viongozi kama wewe walio na msimamo thabiti hakuna kuogopa kusoma ukweli!na mungu akulinde wala usiogope TINDIKALI OLE WAO MUNGU ATAWATAJA TU!!!!!

 10. tonny Says:

  Mh.H.G.Mwakyembe nakupongeza kwa dhati kwa ujasiri na ukomavu wa kisiasa ulioudhihirisha jana Bungeni wakati ukiwasilisha Ripoti ya Ufisadi wa Richmond.Pongezi sana kwako na wanakamati wote pamoja na walioiwezesha kazi yenu kufanikiwa.Ulicho kifanya jana ni Mtaji mkubwa sana wa kisiasa kwa CCM katika uchaguzi mkuu ujao 2010.Lakini mtaji huo utahitaji kulindwa kwa gharama zote kwa kuwafichua mafisadi wote na kuwataka wajitoe katika Uongozi ili wakaendeleze biashara zao!Haita wazuia kuendelea kuwa wana CCM, lakini Uongozi basi,hawafai!Umesha ingia kwenye Kumbukumbu za Historia ya Mashujaa wa nchi hii!Bravo,Aluta Continua!

 11. noah gondwe Says:

  Hawa ndio watu ambao MUNGU anawabariki. Nakupongeza sanaaaaaa my father MWAKYEMBE with your commity. Kweli huko strongy hata bungeni tunakuona jinsi unavyoguswa na bajeti mbovu zenye mwanya wa rushwa. Sio kama baadhi ya wana CCM wenzako wanaona kabisa kuwa baadhi ya bajeti zina mapungufu makubwa tena na kutamka kabisa pindi wachangiapo ila mwisho wanaunga mkono kwa 100% huu kama sio uoga ni nini? Ila wewe na kamati yako mmeonyesha njia kwamba hata kama ni wana CCM damu na wakubwa wenu wanafanya madudu inawezekana kabisa kuwakosoa. Sasa hao ambao bado wanaogopa kuwakanya hao wakubwa eti kisa watakosa nafasi ya kupitishwa majina yao CC ili waweze kugombea ubunge wajue laana itayo ipata CCM kwa manun”guniko makubwa ya watanzania kwa sababu ya ukali wa maisha yatakuwa juu yao. Pongezi sana na endelea na uzi huohuo usija chama bali maslahi ya taifa. MUNGU UWAPA REHEMA ZAKE WALE WANAOTETEA HAKI ZA WATU WAKE.

 12. Matty Says:

  The man to stand!!!!!Safi sana kaka unamsimamo thabiti!ingefaa kama JK atakupa walau uwaziri.Wamekula hela za nchi yetu nyingi sana jamani wafilisiwe!!!!!!!!!!!!

 13. BongoSamurai Says:

  Una kila haki ya kutembea kifua mbele SHUJAA wetu.
  Ni wachache sana wanaoweza kuwa na ushujaa kama wako wa sisimizi kumuanguza tembo.

  Welldone our HERO.
  Mungu akubariki sana.

 14. mimi Says:

  There’s a natural mystic blowing through the air;
  If you listen carefully now you will hear.
  This could be the first trumpet, might as well be the last:
  Many more will have to suffer,
  Many more will have to die – don’t ask me why.

  Things are not the way they used to be,
  I won’t tell no lie;
  One and all have to face reality now.
  ‘Though I’ve tried to find the answer to all the questions they ask.
  ‘Though I know it’s impossible to go livin’ through the past –
  Don’t tell no lie.

  There’s a natural mystic blowing through the air –
  Can’t keep them down –
  If you listen carefully now you will hear.

  There’s a natural mystic blowing through the air.

  This could be the first trumpet, might as well be the last:
  Many more will have to suffer,
  Many more will have to die – don’t ask me why.

  There’s a natural mystic blowing through the air –
  I won’t tell no lie;
  If you listen carefully now you will hear:
  There’s a natural mystic blowing through the air.
  Such a natural mystic blowing through the air;
  There’s a natural mystic blowing through the air;
  Such a natural mystic blowing through the air;
  Such a natural mystic blowing through the air;
  Such a natural mystic blowing through the air.

 15. any Says:

  wasimpe uwaziri, itazua maneno, abakie apo apo alipo, wasijesema JK kamhonga uwaziri, he is smart not those cheap as.s.s!

 16. Matty Says:

  Any, acha tu apewe uwaziri hamna cha kusema eti kahongwa kivipi???kama kazi anaiweza so y? asipewe uwaziri??
  Nadhani watu kama hawa ndo wanauchungu na nchi si huyo mmonduli wao, eti kwenye hotuba yake EL anadai Mwakyembe alisoma taarifa kwa mbwembwe! ndio acha atambe kwani si ndo kazi aliyopewa ala!!!ulitaka asome kwa uoga??yaani aliniboa hapo aliposema eti Mbwembwe!!!!!!mi nilitaka asome huku anakunyooshea kidole kabisaaaaaaaa ili uumie zaidi!
  Mkeo alikuwa anafuta machozi ya kinafiki tu pale hamna lolote ukweli unauma daima nyie lazima muende motoni tu!!!!!!!

 17. ngungu Says:

  hIVI kIKWETE SI ANGEMUWEKA TU HUYO AWE WAZIRI MKUU JAMANI

 18. Nyanga G.Says Says:

  Huyu ndiye kiongozi bwana!!!!! Tunataka viongozi kama Mwakyembe, UKITAKA KUMUA NYANI USIMWANGALIE USONI. Mwakyembe umetutoa kimasomaso kinoma! keep it up!!

 19. nice kz Says:

  hongera mwakyembe kwa kugusa mioyo ya watanzania wengi umefanya kazi keep it up, tunawapongeza wote mliokuwa kwenye kamati. Kinachotakiwa sasa ni kuungana wabunge wote na wananchi tupo nyuma kuhakikisha mapendekezo yaliyotolewa juu ya scandal hii ya richmond yanafanyiwa kazi kutaifishiwa mali zao na kushitakiwa.

  Vyombo vya sheria ni agizo la mungu vilikuwepo toka enzi za mitume tunaomba hivi vyombo vichukue mkondo wake haki ya watanzania ipatikana na mwaka huu ni wa nyakati tunaimani rasilimali za watanzania tutamiliki watanzania wenyewe mungu ametupa ni kwa nini tushindwe kumiliki. Cha muhimu ni kuomba mamlaka kutoka kwa mungu tuweze kumiliki uchumi wetu wenyewe.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s