BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

HONGERA NDUGU YANGU! February, 9, 2008

Filed under: Watu na Matukio — bongocelebrity @ 3:08 PM
Waziri Mkuu aliyebwaga manyanga,Edward Lowassa(kushoto) akimpongeza Waziri Mkuu mpya,Mizengo Pinda(kulia) huko Chamwino,Dodoma mara baada ya Pinda kuapishwa rasmi kuanza kuyatumikia madaraka mapya.Aluta Continua?
Advertisements
 

15 Responses to “HONGERA NDUGU YANGU!”

 1. Chris Says:

  Ving’ora basi tena…. Poor Lowassa….

 2. ola Says:

  lowasa atakachomiss ni ile misafara ya magari na mapikipiki..ufisadi ameanza siku nyingi!

 3. Dinah Says:

  Wanaume hawakumbatiani hivyo wandugu kha!
  Hivi Lowasa mpaka sasa bado yuko mtaani? Alitakiwa awekwe selo/sero kusubiri mashitaka yake Mahakamni.

 4. amina Says:

  huyu waziri mpya nae juso baya mhh kam jambazi..sema lowassa alikua anapendeza jamani..jizi liende zake

 5. Mimi sisemi kabisaa maana Tanzania kwa usanii hakuna mfano
  Hongera Pinda make sure haupindi…..go Pinda straight to the FISADIIS point.
  Ila baba kibarua unacho si kidogoo

 6. kijiwe Says:

  hilo ni hug la kuomba msamaha

 7. ngungu Says:

  Hilo hug la kusema “nakurithisha wadhifa huu ili uendelee kunijaza mapesa”. Si mtaona, si tupo jamani. Lowasa wala haja-loose kitu na jela wala hatapelekwa. na msishangae kuona misafara itaendelea kama kawa. Watu mafisadi na roho MBAYAAAAAAAAA. Siku nikiwa Raisi, natumua watu wooote then naanza UPYAAAAA.

 8. Blackie Says:

  Jamani mwizi mwizii tuu angalia mwenzie alivyomkumbatia, Ila lowassa yeye anapeleka mkono mfukoni, sasa anadhani mizengwe pindamugongo kaweka hela humo?

 9. Riziki Says:

  Jamani watanzania tumesema mengi sana na bado tutasema mengi ila ukweli utabaki pale pale kuwa LOWASA alikuwa mchapa kazi… uwezi mlinganisha na PM mwingine yeyote aliyetangulia… waswahili husema kila mbuzi anakula kutokana na urefu wa kamba yake. Msimlaumu sana kwani ye si wa kwanza… kuna kina ….

 10. Queen Says:

  Amina no.4 hapo juu naona uko wazi haswa ila my dia,Waziri Mkuu si mchumba wa mtu so mambo ya Sura huwa yanawekwa pembeni.I had same opinions kama zako mwanzoni kwa kupenda handsome faces but I am slowly changing,wen I commented to someone about sura ya PM mpya nikaambiwa niangalie sura ya Besigye wa Uganda na anautaka urais,mwenyewe pia nikamkumbuka Rais wa Senegal niliona picha yake ktk gazeti aloo anatisha ila ndo hivyo mambo ya mvuto pembeni maslahi ya nchi Mbele.

 11. Dinah Says:

  Talkin’ about ubaya wa sura wa Mh PM! Hivi kuna mtu kawai kuwaina Marais 2 wa Afrika ambao hata kujiambulisha kuwa ni Rais wako pale unapomuona kwenye Public Telly inabidi ujifikirie mara mbili, nao ni Ex Rais na jirani yetu mwema wa Kenya akiitwa Raip Moi na yule wa Nigeria Ndugu Obasanjo . Hizi mtu mbili zimejaaliwa aisee! 🙂

 12. Matty Says:

  We Amina ni mtu wa mipasho sana yaani huwa namisiiii comment zako humu ndani hasa nisiposoma ujumbe toka kwako!!!!! sasa hapo umecheka nini baada ya kuambiwa ukweli??ayaaaaa ciao Amina!

 13. james Says:

  Jamani!! hivi hilo tabasamu la lowassa ni la ukweli??

 14. nice kz Says:

  amina wewe sio muumbaji umtoe kasoro binadamu mwenzio, kama hujazaa au unaendelea kuzaa lazima upate mtoto mbaya mara kumi ya remy ongala yaani shetani anahafadhali.

  Na kama huna comment za maana ni bora usipotezee watu kusoma ujumbe wa kishezi kama mwenyewe ulivyo mshenzi. Kwa hilo ya kumtoa kasoro mwenzio umechemsha tunaomba utume picha yako tukuone jinsi ulivyo sanamu la michelini waswahili wanasema nyani haoni kundule.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s