BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

KUTOKA FABAK FASHION February, 9, 2008

Filed under: Fashion,Fashion Designer,Watu na Matukio,Weekend Special — bongocelebrity @ 9:10 AM
Pichani ni baadhi ya models wakionyesha vivazi jana usiku ndani ya Moevenpick Hotel (zamani Royal Palm Hotel) jijini Dar-es-salaam.Fashion show hiyo iliyokwenda kwa jina Lady in Red iliandaliwa na Asia Idarous wa Fabak Fashion.Ilifana.
Baadhi ya warembo maarufu nchini nao walihudhuria kama wanavyoonekana pichani.Pia kama unavyoweza kuona, shorter hair seems to be a new style/fashion in town!Wamependeza lakini,au?
Models waliokuwa kazini jana.Shorter hair rocks again!
Advertisements
 

12 Responses to “KUTOKA FABAK FASHION”

 1. noah gondwe Says:

  duu c mchezo nancy and kylin ur so cute n hot. mmeambiana mnyoe nywele nini? lakini fresh mmetoka bomba, wakitaka nywele ndefu c kunamawigi au co? nawapa big up sana

 2. noah gondwe Says:

  Tuangalie majina ya maonyesho jamaa. onyesho ni lady in red sasa hawa majita vp? au iko fresh?

 3. Joyce Says:

  I dont like it at all afadhali ya klyn ila nancy no please ile style ya zaman ndio ulikuwa unapendeza sana tatizo mnavirambisha hivyo vinywele aafu ni vichache sasa lol.

 4. Gervas Says:

  Aaaaaa!! short hair?? Hell noo!! mwanamke unywele bwana!! mi naona mlipendeza sana before, enewei inategemea na complexion ya mtu kupendeza na short hair au para.

 5. KC" Europe Says:

  Actual i just wanna say kuwa na short hair inapendeza then nawapa hongera models,designers na wadau wote kwa contribution yao katika sanaa ya mitindo,then nikiwa mdau wa modelling kuna kitu kimoja i mean naongelea tofauti ya beauty contest na modelling. So kwa beauty contest kuwa na nywele ndefu i think inapendeza zaidi lakini kwenye modelling no coz hatuhitaji uzuri kuna vigezo vinavyohitajika mfano kuna models kama Sudanese supermodel Alek Wek,Nigerian supermodel Oluchi onweagba na Burundian supermodel Sandra Bigirimana ukiwaangalia utajua naongerea vigezo gani!

 6. johnruta Says:

  lol……hamjapendeza hata kidogo!!!
  may be k lynn angalau,ila huyo nancy!! balaa tupu.
  Nywele fupi waachieni kina Odemba,flaviana Matata na Irene Ngowi.
  Visura halisi wa Africa…….lmao……………

 7. tanwira Says:

  kwa ukweli wamependeza wanaosema hawajapendeza niwashamba mpaka lini mawaigi natural beauty wanaonesha jinsi walivyo ila kidogo msingeweka wave mngeacha kama zilivyo nywele zenu

 8. zawad haji Says:

  jamani tuacheni utani, vipara vina watu wake mi sioni kama wamependeza ,wanapendeza zaidi wakiwa na nywele

 9. cast Says:

  ahha aha aha hah! we better think on cost of those hair style1 maybe wameona gharama kuziudumia! shear illusin wiving 45 unatemea nini? bado huja shonea au kusukia??
  yea! bora nancy maybe u can save those cost!
  hata hivyo huo mdebwedo noma!!! achen natura hair without hayo ma mave

 10. kadadaa Says:

  warembo ni wazuri lakini ni aje ilo vazi…. nani kadizaini?????

 11. mbelewe Says:

  Hi, isaw the fashion show from the different desgners

  I would like to get the contact for Asia Idarous, i real like her fashions she disgned.please kindly reply back, iwant her to be my desgn in coming weeding dress
  Awaiting yr reply
  Thanks alots and big up!

 12. mr.pierre Says:

  hao wakinadada ni warembo,kama vile wengine wote majumbani na mitaani.ila tofauti yao ni kwamba wao ni ‘MABALOZI WETU” ndani na nje ya tanzania.mjue kuwa ni binadamu kama sisi nao wanastahili kupongezwa ili wapate moyo zaidi wa kufanya mazuri ktk jamii.MITINDO
  YA NYWELE sio ishu ya kupotezeana muda na kuwasema,ningependa kusikia mnatoa maoni wafikirie jinsi gani ya kusaidia watoto yatima,wagonjwa n.k kwa kutafuta uhusiano wa kimataifa pamoja na kusidia matatizo mbalimbali,yaani watembee duniani wasikae tu hapo hapo.
  thanks


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s