BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

WAZIRI MKUU MPYA AAPISHWA February, 9, 2008

Filed under: Serikali/Uongozi,Sheria,Siasa,Tanzania/Zanzibar — bongocelebrity @ 9:09 AM

 

Rais Jakaya Kikwete(kulia) akimuapisha Waziri Mkuu mpya,Mizengo Kayanza Peter Pinda hii leo katika Ikulu ndogo ya Chamwino mjini Dodoma.

Picha na MediaWorks News Agency.

Advertisements
 

2 Responses to “WAZIRI MKUU MPYA AAPISHWA”

  1. noah gondwe Says:

    Safi sana baba JK na wabunge wote mliokubali uteuzi wa RAIS. Historia imetimia. Sasa MH PINDA kazi unayo tena kubwa sana. Umepewa rungu kubwa. Kitu cha muhimu kwa sasa huondoe U-CCM kwa hao wenzako bungeni kwenye mijadara ya masuala ya utaifa yanapojadiliwa. Pia kwenye CABINET kuwa makini na bajeti zinazotuhumiza wananchi. MUNGU AKULINDE NA KUKUJALIA HEKIMA NA BUSARA KATIKA KUIONGOZA NCHI YETU. AMEN

  2. emanuel jackson Says:

    ahsante sana mh. rais jk kwa kutuletea mtu safi. ni kweli wengi wa mawaziri waliopita walikuwa bado safi rudisha ispokuwa waziri wa fedha, miundombinu na huyu wa biashara take care nao watakuharibia baba . na hawa waliojiuzulu nao wasiteuliwe maana wameshindwa kwenda na kasi yako baba.
    ahsante.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s