BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

MREMBO HAWA OMAR February, 13, 2008

Filed under: Fashion,Sanaa/Maonyesho,Urembo — bongocelebrity @ 12:15 AM

 

Pichani ni mrembo Hawa Omar,mtanzania anayefanyia kazi zake za uonyeshaji mitindo (modelling) Afrika Kusini kupitia Outlaws Model Agency.

Advertisements
 

23 Responses to “MREMBO HAWA OMAR”

 1. Edwin Ndaki Says:

  Leo ngoja na mimi nijitoe kimasomaso japo niongee lugh aya malkia Elizabeth!

  Natural colour! Jamani kama nimekosea naomba mnisamehe ,binafsi ni Uswahilini Medium School!

  Hongera kwa jinsi unavyopeerusha bendera yetu huko sauzi.

  Nimesoma kwenye blog moja Flavian Matata anatafuta mchongo vip umesha muona dogo umpe ramani.Inapende sana kupena michongo.Si unaona jinsi west africa walivyojazana timu za ULAYA hiyo yote ni kutokana na roho ya apple yaani sio ze Koroshozi!! tee teee …

  Mafanikio mema.

  Naomba kuuliza wadau kila kukicha naona mamodo kibao wakike tu ndio wanatuwakilisha kwenye anga za kimataifa.Ina maana vidume hakuna?

  ….Ene wei naamini tutafika tu

 2. Matty Says:

  She is real black beauty sio kina Maimartha mikorogo tuuuuuu!

 3. Dinah Says:

  Yeah weusi ni bomba sana hasa kwenye uanamitindo wa nguo na vipodozi vyenye rangi kali……all u c ni mtindo wa nguo on her sio the beauty (kuna tofauti kati ya u-miss na uwaamitindo).

  Ndaki wanamitindio wanawake wanawakilisha kwa vile wanawake ndio mabingwa wa kubadili mitindo ya nguo, viatu na mabegi na vilevile ni rahisi kurubuniwa (chini ya miaka 20) hasa kwenye soko la Urembo na mavazi ( matumzi ya madawa, diet za kizembe n.k……..ni ukweli hata kama hutaki Ndaki hahahaha).

  Vilevile sote tunatambua kuwa wanawake ni kama mauwa tunapendezesha mahali popote tulipo na hivyo huwa tunatumiwa ili kuongeza hamasa kwenye maonyesho au kuwa pembeni ya mwabwana (angalia Hip hop artist n.k. au wale matajiri).

  Hawa mama endeleza unachokifanya na kila la kheri.

 4. amina Says:

  haka katoto keusi kazuri….ila wasomali ndo rangi zao nzuri angekua mswahili angepitishia hata kidogo .happy magese mmemuona yupo sauzi lakini anapitishia

 5. Leila Says:

  Matty umenikuna ananikera sana Maimartha unajua mwanzo kabla hajajichubua alikuwa BOMBAAAH Ushanpata! lol acha sio sikuhizi kawa kama anapoteza uhalisia wa Binadamu halisi mwache Cancer hiyooooooooo yaja

 6. zawad haji Says:

  Ach hizo Leila mbona mtoto watu anapendeza tu,but ok! tuachane na mambo ya Mai,Hawa anavutia ile mbaya kila mtu anavutia kwa kile anachoamini kinamvutia.

 7. trii Says:

  watanzania wenzangu tuchangamke web mmepewa OUTLAWS MODEL AGENCY someni vigezo wanavyotaka,then form utajaza ,umrefu muhimu 174,give a try kama unasifa wanazotaka.you never know wanaweza kukuita.mimi mfupi lasivyo ningesha jaza + kutuma.

 8. Matty Says:

  Heeeee Amina kumbe na huyu si raia wa Tzzz??nilikuwa sijui haya sasa tumkatae na huyu maana Richa minamkataa mpaka kesho!!!!!

 9. Matty Says:

  Leila nishakupata mimi binafsi sipendi mkorogo ukiniona niko mweusi pyyyyyyyyuuuuuu kama PM wetu mpya Mizengo Pinda!!!!!!!!!

 10. amina Says:

  matty kitu cha kisomali hiki hukioni?ila wabongo ukijitahidi hawakutoi kasoro huyu nae angeshindwa mambo flani mngesema ooh msomali…ila kawaziba midomo…richa kwasababu bichwa maji pia,ila hata mi simkubali lakini angejitahidi ingekua afadhali

 11. Dinah Says:

  Ni Msomali lakini asili yake bado ni Afrika (mweusi) sio hivyo tubali pia haiwakilishi Tz huyu bali anawakilisha wakala wake (Agency). Uanamitindo ni tofauti na U-miss ambao unawakilisha kitongoji, wilaya, mkoa na hatimae Taifa hivyo ni muhimu kutuwakilisha ukiwa angalau unafanana nasehemu kubwa ya Taifa lenyewe kiasili au anagalu kihistoria (kama waarabu, waingereza, wajerumani) sio kiuzawa (kizazi kilichohamia miaka 60 iliyopita) kama yule Miss-India-Tanzania.

 12. Membe Says:

  She’s rocking,sky is the limit young lady

 13. Matty Says:

  Sawa sawa Amina nakubali, ila atilisti ya huyu mweeee kwa yule miss -India -Tz no kabisa! (asante Dinah kwa kutuelewesha zaidi).

 14. Edwin Ndaki Says:

  Athante thana Dinah kwa ufafanuzi wako yakinifu kuhusu thwali langu…

  pamoJAH!!

 15. 100%Bantu Says:

  Hawa watu wenye “usomali, utusi design” wana nyodo sana
  hawa. Ni kwa sababu wamejikuta kwa mabantu tu ndio inabidi… Otherwise wanajitiaga sio waafrika wao, na weusi wao juu.

 16. amina Says:

  we dinah usijifanye unajua sana,,,bado anaiwakilisha tanzania siyo agency akiulizwa we unatoka nchi gani atajibu nini kama siyo tanzanzania,naelewa kama umiss siyo sawa na umodo lakini swala linabaki palepale anawakilisha tanzania!odemba alipo huko kwani haiwakilishi tanzania?alek wek hawakilishi sudan?usitudanganye

 17. amina Says:

  we dinah usijifanye unajua sana,,,bado anaiwakilisha tanzania siyo agency akiulizwa we unatoka nchi gani atajibu nini kama siyo tanzanzania,naelewa kama umiss siyo sawa na umodo lakini swala linabaki palepale anawakilisha tanzania!odemba alipo huko kwani haiwakilishi tanzania?alek wek hawakilishi sudan?usitudanganye,huyu msomali ila ni mtanzania na ni mwafrica, Richa nae ni mtanzania mwenye asili ya asia

 18. tayan Says:

  embu msimseme richa huyu nae mbona hakushinda nokia face of africa 2007 alitoka mapema tu.au hamjui????u’r a real model Hawa keep it up gal!!!!!!!!!!!

 19. tayan Says:

  eeh..typing error not 2007 was 2005..otherwise nakukubali Hawa keep presenting our nation

 20. Jennas Says:

  Hawa msomali u looks gud
  Sasa embu kumbuka na family yako basi kwenye maswala ya matumizi.
  Na huyo flaviana sidhani kama utaweza kumsaidia mana mmmh!!!!!
  Embu niambieni mafuta mazuri yakupaka niwe mweuc hivyo nimeshajaza form kule(hahaha)

 21. amina Says:

  jennas usinichekeshe paka grisi au oil chafu

 22. Jennas Says:

  Amina unasema kweli grisi ama oil changu inasaidia ama?
  Hivi msichana mtu mzima kupaka mafuta ya nazi usoni kama mtoto mchanga ni ushamba ama kachelewa?
  Na hawa tunaowaona weuc wa hasili hasa hasa wanapaka mafuta gani eti nyinyi.

  Cku hizi kuna lotion ukicheza nayo inakukwangua unakuwa kama mwafulani binti kichuguu.
  Embu msaada kwa watu wenye sura za asili wasiopenda mkorogo

 23. amina Says:

  jennas fata maelezo yangu hapo juu, yazingatie..na mafuta ya nazi ni poa tu


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s