BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

FIDELIS IRANGA February, 16, 2008

Filed under: Fashion — bongocelebrity @ 9:40 AM
Fidelis Iranga,mwanamitindo maarufu nchini Tanzania ambaye amekuwepo katika anga za mitindo na mavazi kwa muda mrefu sasa.
Advertisements
 

18 Responses to “FIDELIS IRANGA”

 1. pampula Says:

  Wee mwanamke ushazeeka hebu pumzika tafuta familia waachie vijana wabichi

 2. Chris Says:

  This gal is cutie.Nilianza msikia zamani kidogo,bado kigoli tu… Sometimes naonaga km vikorombwenzo vinazidi usoni kwake… it’s like she paints her face… Unajua ana weusi fulani mng’aavu. Sasa akizidisha vipodozi anautoa ule uzuri wote.Anakuwa km Clementina… mliosoma Song of Lawino, Song of Okol.

 3. any Says:

  achie ngazi, kila kitu kina muda huoni hata Kingunge kawaachia vijana! wanaompaka vipodozi wanamwaribu, bora wamwache natural, maana anatokaga kama katoka kupika pombe za kienyeji. Too much make up kwa face yake sio nzuri, Mi mweusi na bora bila ya make up kuliko kujisiriba! noma sana.

 4. Mr. Upendo Furaha Amani Says:

  Umependeza dada. Big up
  Usijali maneno ya watu, maana wengine wanakuonea wivu.
  Waswahili walisema: “Ng’ombe hazeeki maini”
  Tuwapende Watanzania Wenzetu.

 5. Angelina Says:

  Fide, jione hapo ulivyovaa nguo iliyokusitiri ulivyopendeza. sio vile vituko vya nguo unavyovaaga unakuwa kama kinyago. grow up girl,vaa nguo zinazoendana na mwili wako. mwanamke kujisitiri shosti….

 6. Gervas Says:

  Pampula, Chris na Any, mimi nafikiri Fide hajazeeka maana hapo hauzi sura bali anawakilisha vazi. Fide anawakililisha Ideal figure ya mama wa kiafrica (Hihaa!). Tatizo mawazo yetu yamekuwa captured na ma-model wa kizugu kwamba lazima awe slim/skinny, la hasha Fide ana present wanawake wenye figure kama yake (real African) wala sioni kama kachoka. Afu nafikiri hizo make-up anawakilisha valentine day, maana lips zinaendana na rangi ya nguo. Nafikiri hili sio shindano la u-miss bali ni mambo ya disign anapresent guo, maana hata kingwendu anaweza kuwakilisha vazi stejini na huo mzuzu wake na akaitwa model.

 7. Chris Says:

  Gervas naona hukunielewa kabisa.Revisit what I wrote.

 8. Mbarikiwa Says:

  Pampula, unasema mwenzako amezeeka ??? Je wewe na yeye ni nani mzee? Hebu siku moja waombe BC wakuweke hapo ili tulinganishe? Jamani Watanzania, tuheshimiane, muheshimu mwenzako kama unavyotaka nawe uheshimiwe.

 9. Matty Says:

  Ehhhhhhhhee afadhali leo nimepata pa kuandika lile nililokuwa naliona linanikereketa, Mdada ni mzuri wa rangi na anapendeza kuvaa nguo za heshima kulingana na umbile lake, nakuomba dada Fide chonde usivae vimini dddddddddu maana huwa unatoka ndivyo sivyo madam!
  Chris umenikumbusha mbali sana “Songs of Lawino and Okol” Clementina type!lol poor Lawino village girl she never put on wanja!!!

 10. asaki Says:

  fide hatuwakilishi wanawake wakiafrika maana mwanamke wakiafrika hatembei uchi anajisitiri bwana

 11. tayan Says:

  angelina umesema kweli..Fide dada jaribu kuvaaga nguo za heshima unavutia tu hata ukijisitiri..tena inakuwa zaidi

 12. any Says:

  Wee gerivasi ( apo eka accent ya kichaga), mi sijasema awe mwembamba, avae kuendana na umbo lake, asitumwagie razi stejini. Pili asijisiribe usoni kama mwanasesere, fine make up will do for her. She doesnt need tones of foundation to build her face, she can go without and will look fab! mi cheusi mangala ila sifagilii ku paint uso, na ninauza sura kinoma, japo naogea limao.

 13. Matty Says:

  Any umenimaliza cheusi mangara sibadili mwendo huuuuuuu hicho kibao ni kweli kitamu sana!

 14. dolpheen Says:

  kwa kweli fide unatakiwa kupumzika na uache tabia za kuchuku vijana wadogo, JITAHIDI KUJIHESHIMU DADA KWANI KUWA STAR SIO SABABU YA KUTOJIHESHIMU.

 15. Reg Miserere Says:

  mi simjui kabisaaaaaaaaa kwa hiyo siwezi changia la maana kuhusu maisha ya home kwake.

  sana sana nikimuona hapo, nahisi kipodo podo sana.

  labda ushamba wangu, in maana kuwakilisha vazi ni muhimu na ni lazima kujipatia kopo la goldstar ukajimiminia?

  nauliza tu, mtanisamehe kama sijawakilisha vile inapendeza………..

 16. Mwesiga Says:

  Chris n Any know how to think using their brains, surely Fidelis is much too old for those stuffs. Kama angekuwa footballer ningemfananisha na Giggs ambaye kiwango chake ndo kinaishia. Kama ni muziki, Whitney Houston ni kielelezo tosha………
  Mamaa Fide, rudi tu kwenu, ulee familia yako!!!!

 17. sipendi umbea… wabongo punguzeni majungu


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s