BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

JAH KIMBUTE IS BACK February, 21, 2008

Filed under: Burudani,Muziki,Tamasha — bongocelebrity @ 12:05 AM

 

Huwezi kuongelea muziki wa reggae nchini Tanzania bila kumtaja Jah Kimbute(pichani).Kimbute ndio anasemekana kuwa muasisi wa midundo ya reggae nchini Tanzania.Siku za nyuma alitamba sana na kundi lake la Roots and Culture.

Hivi karibuni imeripotiwa kwamba Jah Kimbute anarudi tena ulingoni akiwa na kundi lake lile lile la Roots and Culture.Mwaka huu wanatarajiwa kufanya show kabambe nchini Uganda ambako kwa mujibu wa Kimbute mwenyewe, huko ndipo chimbuko halisi la muziki wa reggae na sio Jamaica,kule alipozaliwa na kukulia Mfalme wa Reggae duniani,Hayati Bob Marley kama ilivyozoeleka au kuaminika miongoni mwa wengi.Kuna mtu anapinga hoja hiyo?

Advertisements
 

18 Responses to “JAH KIMBUTE IS BACK”

 1. amina Says:

  ndo nini?hebu toeni bwana bongo hamna mziki wa rege asitudanganye, halafu mbea anasema nini?uganda ndo chimbuko la rege mhh

 2. Michelle Says:

  hebu msitudanganye huko uganda toka lini kukawa hata na asili ya mziki hata huo wa kawaida hawana wao huwaza ndizi tu (matoke) mziki huo wa reggae haujaanzia huko uganda.

 3. any Says:

  huyu si aliwekwa huku miezi michache iliyopita! wekeni wengine ambao hawajai kuwa humu.

 4. amina Says:

  mtoeni bwana anatuzingua bange

 5. Kaka K Says:

  hi, kuhusu hiyo ishu ya reggae music kuwa origin yake ni Uganda, tunaomba BC mtupatie hiyo historia aliyo toa Jah Kimbute ili nasi tuipime kama ni kweli. Hoja hujibiwa ama kupingwa kwa hoja. Otherwise itakuwa ngumu sana kuelewa alichokuwa anamanisha as regarding to the origin of reggae music. Tanzanian are doing reggae music but not to standards especially on production aspect, oooh yeah ….on the song composition are doing great especially Kalikawe and both Innocents (one is Dar and the other in Chicago)

 6. Mwalimu Says:

  Stop hating the Rastaman.
  Irie sana Jah Kimbute and keep up the goo fight,
  Reggae is the music of the soul.Acheni uhuni nyie
  mnaozibia mwenzenu huku sisi tunamfagilia.
  Jah Guide ‘n etect Rasta…Gwan!

  http://eastafricayote.com/index.php

 7. Dinah Says:

  Rege Uganda? Hahahahahaha ngoja Wajamaika wasikie madai haya hapatakalika hapa. Asituyeyushe bwana ngoja….
  What is Reggae?

  “In the 1960s the term reggae, pronounced “ray-gay”, was used to refer to a “ragged” form of dance rhythm popular in Jamaica.

  No one is quite sure where the word “reggae” came from, but it may have come from a 1968 dance single by Toots and the Maytals called “Do the Raggay.”

  Reggae music lyrics typically deal with poverty, politics, and Rastafarianism. Reggae music has always been strongly linked to the Rastafarian religion, making the music culturally important. Rastas do not have an organized church; instead Rastafarianism is a set of spiritual and cultural beliefs open to a variety of interpretations.

  A significant difference between reggae and its predecessors, ska and rock steady, was its new spiritual emphasis. This traditional form of reggae is called “roots reggae”. This is by far one of the most popular styles of the reggae genre.

  Other forms of reggae include lover’s rock, dub, and dancehall. Bob Marley is primarily responsible for taking roots reggae to the international arena. Other recording artists such as Jimmy Cliff, Toots and the Maytals and Desmond Dekker and the Aces also did much to popularize reggae outside of Jamaica.

  In 1969, Desmond Dekker and the Aces took their hit Israelites to the top of the charts in several countries including Britain, Canada, Holland, South Africa, Sweden, and West Germany. Israelites also went top 10 in the USA. For many people around the world, this was their first exposure to Jamaican music”

  Maelezo hayo ni kwa hisani kubwa ya Caribbiean Music site

 8. Dinah Says:

  Bob Marley – The Legend

  Bob Marley (1945 – 1981) a Jamaican singer, guitarist, songwriter and pioneer of reggae music, together with his group the Wailers was largely responsible for the widespread popularity of reggae. Bob Marley still remains the worlds’ most widely acclaimed reggae artist.

  Bob Marley’s musical career began in 1961 when he formed his first group The Rudeboys, which later became known as The Wailing Wailers. They eventually shortened the name to The Wailers. The Wailers consisted of Robert Nesta Marley, Peter Mackintosh and Neville Livingston, now known as Bob Marley, Peter Tosh and Bunny Wailer. Their first recordings were done in ska style.

  By the late ’60s, The Wailers were extremely popular in the Caribbean but were still unknown internationally. This all changed in 1972 with the recording of Catch A Fire, their first album.
  Catch A Fire laid the foundation for reggae to become an international phenomenon and was the beginning of Bob Marley and the Wailers’ trek to worldwide fame and recognition.

  On May 11, 1981, at the height of his career, Bob Marley died
  of cancer. A month before his untimely passing Bob Marley was
  awarded Jamaica’s Order of Merit, one of the nation’s highest
  honors in recognition of his outstanding contribution to the country’s
  culture. In the ensuing years, Bob Marley’s music has continued to
  increase in popularity. In 1984, Island Records released Legend, a
  compilation of Marley’s songs. Legend has gone on to sell more
  than 10,000,000 copies in the USA. Bob Marley, Jamaica’s first
  superstar, is still the most recognized name in reggae. His legend”

  ***Bob Marley ndio pioneer of reggae music, so when this dude was In Uganga…..at those years (60s) there were no internet….jamani tuache kudanganyana mweee!

  Maelezo kutoka website ya Carribean Music .

 9. amina Says:

  we mwalimu kaa kimya hujui unachokinena….kwani sisi tunamzibia au tunampa ukweli…anamdanganya nani..unashabikia vitu usivyovifahamu

 10. DU!! NAONA JAMAA KAMA AMECHOKOZA NYUKI VILE! NA ALIJUA WABONGO MTANG’ATA, IYO NDO INAITWA CLEVER PUBLICITY. ANYWAY WAJAMAICA NAO WALITOKA AFRICA, LABDA UGANDA!!!. SIKILIZENI SAUTI MUPYA KUTOKA BONGO. HASH, SINGER SONGWRITER, GUITARIST.GONGA APO.
  myspace.com/motherlandbrothers or myspace.com/hashmotherlander.

 11. KWELI Says:

  Watu wanakurupuka na maoni ya hasila!?
  Bila kujua Jah Kimbuteh ana maana gani!Reggae kweli hilianza Uganda,kutokana na beat ya ngoma ya “Nyabingi” Roots ambayo
  Rasta huko Jamaika adi leo hii bado wanaitumia katika kuomba mungu wao Jah Rastafari Haile selasie Makhonen!
  utagundua ukweli katika historia zima ya utamaduni wa Rasta na mziki wa Reggae kuwa Mila za kiafrika ndio msingi wa DINI ya Rastafarai (a)anaye abudiwa ni black Masia yaani mfalme
  Imperior majesty Haile Selassie Makhonen wa Ethopia(abisyinia).
  Mtindo wa nywere(dread rocks)umeigwa kutoka kwa wapigania
  uhuru wa kenya MAU MAU
  Na Rastafari wanaamini katika itikadi zao kuwa Ethopia na Afrika kwa ujumla ndio Promised land na ndio Mount Zion
  na wanapenda kutumia nembo ya simba kama SIMBA WA YUDA.
  Sasa leo Jah Kimbuteh akisema kuwa Reggae hilitokea Uganda,
  Ni vema kumsikiliza na kumuhoji,sio kuanza kutoa maneno ya kashfa hitakuwa bado hatuja elimika.
  Someni sana Historia ya Dini na Itikadi mbali mbali zinafuatwa
  Africans Diaspora mtagundua dini nyingi za kale za afrika ndizo zina abudiwa kama vile kule Cuba na dini ya Shango,obatala,ogon zinatokea Nigeria.
  Amerika sikuu ya KWANZA inatokana na Ngoma na mila za (Mbungi)wamatumbi na wandengereko wa Tanzania.
  Dini ya Makumba na Kindomble na ngoma ya Tango,Kwapuera ya Blazili zinatokea Angola.

 12. amina Says:

  wewe kweli jikate huko…haya umetupa ufafanuzi lakini haujatosheleza kwanza kuandika vizuri hujui,hamna mwenye hasira siyo hasila hapa ila mbona hata wewe kwenye utetezi wako hujabainisha uganda hapo,umetajataja vitu unavyovijua wewe

 13. salma Says:

  kwako amina,
  Rege inaambatana na rastafarian kama mfumo wa maisha na imani.jamaa amejitahidi kukuelewesha lakini huelekei kuwa unataka kuelewa! reggae na rasta ni topic kubwa,Chuo kikuu cha umma cha jamaika-university of west indies kina idara inaitwa department of reggae studies,watu wanafanya mpaka phd! na unpojifunza kitu zingatia sana mantiki kuliko makosa ya kiuandishi.muulize mwalimu wa high school.swali la hesabu/fiziksi likiwa na maksi 20 jibu linamaksi ngapi? wanaangalia mantiki!

 14. amina Says:

  kwako salma,

  umeelewa wewe,kama rege inaambatana na rastafarian kama mfumo wa maisha na imani…bado hamjamtetea kimbute kama chimbuko lake ni uganda,unaongea nini wewe?usiniambie habari za jamaica kufundisha phd..hapa tunazungumzia chimbuko la rege huyo shosti wako unaemtetea katudanganya,we toa vielelezo vya kutosha kuonyesha kweli rege ni uganda….usiongee vitu vingi,unajichanganya mwenyewe huelewi wewe na unakurupuka

 15. amina Says:

  basi kwahiyo hata hao uganda ambao huyu mtu wenu anadai chimbuko la rege wamechukua phd jamaica?si ndiyo?sasa huoni kama nawewe unaongea pumba we salma…jaribu kufatilia maelezo hapo juu kwanza siyo unaropoka tu,we vipi

 16. John Says:

  Kwako Amina
  Tatizo lako kubwa ni kuwa upendi kuelimishwa!
  na lugha unayotumia katika kutoa maoni inaonyesha picha yako kamili! kuwa ni kiumbe uliyekosa elimu fulani ya wazazi
  yaani malezi!
  Unachoelezewa na wajamaa hapo juu ni kwamba Rasta na Reggae ni way of life na jaribu sana kufatilia historia na chimbuko la Itikadi za Rasta na dini mbali mbali za kale huko visiwani karibeani!
  Ulichonacho ni kasumba hiliyo jaa chuki! Sasa kimbute utake au usitake ni msanii na mtanzania mwenzetu na anakubalika
  kimataifa!
  Nina uhakika kama zingeandikwa habari za Alfa blondy hapo
  ungemfagilia hata kwa kumpa mwili wako.
  Acha ulimbukeni

 17. jomaeli Says:

  john limbukeni wewe hapo..na umekosa malezi ya wazazi ndomana ukaitwa john


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s