BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

PICHA YA WIKI # 09 March, 2, 2008

Filed under: Photography/Picha,Weekend Special — bongocelebrity @ 12:59 AM
Soka sio mchezo lelemama.Picha hii ambayo ndio picha yetu ya wiki hii inajieleza.Kama umewahi kucheza soka,japo la mchangani tu au lile liitwalo “chandimu” basi ukitizama picha hii unaweza kukumbuka mawili matatu.Lakini swali gumu ni kwamba je kwa mwendo huu Tanzania itateremka dimbani nchini Afrika Kusini mwaka 2010?Picha kwa hisani ya Tagbanger.
 

3 Responses to “PICHA YA WIKI # 09”

  1. Dogo Says:

    Ndiyo bongo hiyo, ila hakuna cha kushangaza sababu hata akina Gaucho walianza hivyo hivyo ila tatizo letu hakuna wa kuibua vipaji hivi kwa wenzetu wapo.

  2. james Says:

    DUUH KWA MTINDO HUU NAONA HATA AFRIKA KAPU TUIFIKIRI 2030 LABDA TUTAWEZA SHIRIKI.

  3. mzee wa madongo Says:

    nyie ache tu… lakini hawa ni wakenya jamani..ah


Leave a reply to james Cancel reply