BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

WOMEN ARE CREATORS March, 4, 2008

Filed under: Sanaa/Maonyesho,Tangazo/Matangazo,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 11:06 AM

 

Kuanzia tarehe 7-26 March mwaka huu,ndani ya ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar-es-salaam,kutakuwa na maonyesho ya sanaa ya uchongaji wa vinyago.Maonyesho haya yatakuwa ni tofauti kidogo kwani wanaoonyesha kazi zao wote ni wanawake.Kwa hiyo kama ulikuwa hujui au hujawahi kuona ni jinsi gani wanawake nao wamebobea katika fani hii ya uchongaji vinyago,basi usikose kuhudhuria maonyesho hayo.

Wasanii wanawake ambao watakuwa wakionyesha kazi zao ni Mwandale Mwanyekwa,Pili Mtonga,Hawa Jarufu na Pudenciana Mwamalumbili.Tembelea Makumbusho ya Taifa kuanzia tarehe zilizotajwa hapo juu ujionee.

Advertisements
 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s