BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

DOWN THE MEMORY LANE March, 10, 2008

Filed under: African Pride,Burudani,In Memory/Kumbukumbu,Muziki — bongocelebrity @ 12:10 AM
Mara nyingine huwa tunapenda kujiuliza;hivi ni lini tena itatokea tuwaone mafahari hawa wa muziki wa dansi nchini Tanzania wakipanda tena jukwaa kwa pamoja na kutoa burudani kama waliyokuwa wakiitoa enzi zile?Mitengano na mifarakano miongoni mwa bendi na wanamuziki nchini Tanzania ndio maendeleo au maende-jana?Pichani kutoka kushoto ni Khadija Mnoga(Kimobitel),Ali Choki “Mzee wa Farasi”,Banza “Stone” Masanja na Muumini Mwinjuma “Kocha wa Dunia”.Ziko wapi enzi zile?
Advertisements
 

9 Responses to “DOWN THE MEMORY LANE”

 1. magige elias Says:

  ni kwelienzi zile washkaji walikuwa wanakamua ile mbaya na muziki wa bongo ulikuwa juu sana,nawaomba wakaze buti la sivyo tutarudi kulekule kwa wakongo,someni alama za nyakati

 2. solange Says:

  banza nakukubali na nitaendelea kukukubali….huyo muunimi mlalamishi sana kwenye nyimboa zake akiachwa huko na wake zake anatutungia nyimbo…khaaa

 3. Dinah Says:

  Mafahari 2 hawakai nyumba moja sasa niambie wakiwa 3!

 4. NYAKATAKULE UNYILISYA ECHALO Says:

  KUTOKA KUSHOTO KWETU WACHANGIAJI:

  1 & 3 WANA TATIZO KUBWA LA KULEWA VILEVI
  2 & 4 WANA TATIZO KUBWA LA KULEWA SIFA

  WOTE 1-4 WANA VIPAJI VYA KUIMBA VIZURI NA KUVUTA HISIA ZA WATEJA NA WANA UWEZO WA KUREKEBISHA MATATIZO NILIYOYATAJA WAKIPENDA.

  BC. & WENGINE WOTE TUKUMBUKE KUWA HII PIA NI FANI NA AJIRA SAWA NA NYINGINEZO TUNAZOZIFAHAMU. SASA KWA NINI TUWABANE WATU WAENDELEE KUKAA KWA MWAJIRI MMOJA TU KILA SIKU?
  KATIKA ENZI ZA LEO ZA UTANDAWAZI, UKIWEMO WA SOKO LA AJIRA, NAWAOMBEA WAZIDI KUWA NA JUHUDI KUBORESHA BIDHAA ZAO POPOTE AMBAPO PATAWAFAA KWA AJILI YA MAENDELEO YAO, FAMILIA ZAO NA HAO WANAOBURUDISHWA, WANAOELIMISHWA, WANAOHABARISHWA, N.K, IWE NI HADHIRA YA WATANZANIA AU KWINGINEKO.

  AIDHA WAMILIKI WENGI WA BENDI NA MAPRODUZA AFRIKA TUNA SHIDA MOJA KUBWA YA KUTAKA KUKAMUWA MAZIWA MENGI SANA ISIVYO MFANO KUTOKA KWA NG’OMBE UMNYIMAYE MALISHO MAZURI NA VIRUTUBISHO ISIVYO MFANO!

 5. chau Says:

  banza nakuaminia usifate mkumbo we ni mwanamuziki ni vocalist…lakini hao wengine kama alivyosema solange walalalmishi tu na uswahili mwingi

 6. Matty Says:

  Vipaji vyao wanavitumia kuhamahama tu nishawachoka!

 7. KC" Europe Says:

  General muzee wa Euro huna mpizani hao wengine wanaongea sana then mabingwa wa kuhama bendi moja kwenda nyingine.
  Turudishie Bambino sound then kwenye line up usiwaache wadogo zako Ige Muyaba,Charles Baba,Thabeet Abdul na Kalala Junior nimekubali General Mzee mzima amedoda walisema mzigo wa mwizi haubebeki wako wapi aibu!!!

 8. amina Says:

  jamani mi banza stone tu hapo ndo mwanamuziki wangu….hao wengine wabana pua nakuhamahama!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s