BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

UNAMTAMBUA HUYU? March, 12, 2008

Filed under: Uncategorized — bongocelebrity @ 12:09 AM
Siku moja moja huwa tunapenda “kuchemsha bongo” au kuomba msaada wako msomaji ki-aina.Leo tunaomba utusaidie,huyu kwenye picha ni nani?Unamtambuaje?
Advertisements
 

48 Responses to “UNAMTAMBUA HUYU?”

 1. solange Says:

  ndo mwigizaji anaenivutia, mana ana hisia ya kile anachokifanya sikumbuki jina lake lakini mdada kip it up.

 2. Chris Says:

  C’mon BC… how helpless u r…. Hamna contacts?

  Duuuuh wajameni…. dis chick is stunning n’ flawless. Who’s she aiseeee!

  Cheers….

 3. Anna Says:

  She is Mary banyuka ,participating Bongo star search.

 4. Jennas Says:

  Mmmh huyu ni yule mwanadada mwenye hisia kali sana katika anga za filamu anafahamu analolifanya katika ulimwengu wa maigizo cjui tamthilia.

  Aitwa Riyanna namjua kama dada aliyejaliwa machozi mengi sana wanapendaga kumpanga kweli nafasi zakulia lia embu muojini one dei aseme kinachomliza kila saa ni nini?
  Na kama anamezaga dawa zakuongeza machozi aniagizie nipate kuzitumia tym niko na boifilendi wangu niwe nadeka nalia(hahaha)
  Nimetoka nje ya swali lakini niwekeeni hii post yangu mara nyingi mnanibaniaga sana

 5. Gervas Says:

  simujui jina, ila ni serebriti wa Bongo…na anaweza kuigiza, siku akija hapa bush kwetu lazima nipige nae picha.

 6. anisa Says:

  she is one of my favourite actress,she is really talented and she is good of playing any role so big up girl.

 7. Matty Says:

  Huyu dada ni Rihama a.k.a Mama Mateso anajitahidi kuigiza vizuri sana.
  Good! make up imetulia & natural colour without mkorogo keep it up!hapo kwenye wigi la kichina nahisi kama unapata tabu usoni na hilo joto la bongo je inakuwaje???

 8. j4 Says:

  nimuigizaji wa michezo ya kibongo ila jina lake limenitoka mtu wangu.

 9. zamaradi Says:

  Riyama nimsanii wa filamu Tanzania

 10. Muga Raymond Says:

  That’s Miriam Odemba, a beauty contestant of mnet face of Africa which occured in 1999, damn she looks delicious.

 11. kiportable Says:

  mdada huyu huwa anacheza michezo ya kuigiza na alicheza part moja kama mad girl ili mfit kichizi na kwa sasa yuko kwenye tangazo moja la sabuni la midix kama cjakosea manake sabuni nyeusi dar zinazuka kama uyoga…tehe tehe.., kwa jina mmmh… sijamnyaka.

 12. Liz Baraka Says:

  Ni Riyama msanii wa michezo ya kuigiza na filamu.

 13. Saidi Situ Says:

  Kanumba

 14. Pot Says:

  Binamu yake …Marehemu .Amina Chifupa .. naona wanashabihiana mashavu

 15. Komba .H Says:

  Huyu anaitwa Rihama.Ni muigizaji mashuhuri hapa Tanzania alishawahi kupata Tuzo furani.

 16. sikubaliani Says:

  i love u

 17. any Says:

  Jamani mie simjui ila katulia

 18. amina Says:

  saidi situ mi sitaki kwiwkwiwkiwki

 19. Matty Says:

  We Said Situ kweli unausingizi nani tena??? eiti Kanumba aya bwana tumekuelewa!

 20. MAMA MATESO HUYU DAH ANA LAFUDHI TAMU SANA YA KITANGA………..MMMMMMMMMMMMMMH SI MCHEZO BABE UMETULIA.

 21. Edwin Ndaki Says:

  Ngoja nitumie lugha moja ambayo naikumbuka niliisoma kwenye kitabu changu kipendwa nikipendacho…

  “SIMJUI MTU HUYU”

 22. Kauze Says:

  Huyu dada nimemsahau jina. Aliigiza fungu la kukosa. Ni mzuri sana huyu dada na anajua kuigiza. Ooooohh,… anaitwa Mazoea..hahahahahahaha. Hilo nadhani ni jina alilotumia kwenye kuigiza fungu la kukosa. Ila huyu dada ana kasura kazuri jamani. Sijui bado anaishi kigogo!!

 23. Mswahilina Says:

  Mwanafunzi wangu wa Kiswahili “Gervas”, mbona umeandika tena ‘serebriti’ badala ya selebriti? Ulikuwa umeshapata “A” lakini sasa imepugua hadi “C”. Pulu apu yua soksi.

 24. Michelle Says:

  jamani huyu ni Maimartha mmemsahau tena, mnaniudhi nyieeeeeeeee

 25. Tokomile Tulivu Says:

  Huyo ndiye bibiye RIYAMA ALI, aliyemliza Dimoso ktk ile movie
  yake inayoitwa FUNGU LA KUKOSA. Hivyo ndivyo nimjuavyo au nimkumbukavyo mimi.

 26. Mbarikiwa Says:

  Huyu dada ninamuonaga kwenye maigizo/filamu za Bongo. Kwa ujumla ni mzuri na anavutia.

 27. ISMA KABENGO Says:

  MERLY WA BIG BROTHER AFRICA 11

 28. Gervas Says:

  Mswahilina, uminichekesha saaana teh, teh, teh !!

 29. Gervas Says:

  Mswahilina; kama mwalimu inabidi uwavumilie wanafunzi wako watukutu. kwa kifupi mimi ni mixer yaani chotara wa makabila mawili sugu kwa kunyoosha kiswahiri, yaani Mkandamizaji na Mkurya, sasa unanitegemea niweje? sio kama wewe mdengeleko lugha yenu hii.

 30. nasra Says:

  anaitwa riyama,ni bonge la actress,namuamini saaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!keep it up!

 31. solange Says:

  we muga raymond heee nimecheka mpaka basi hahaha miriam tena.

 32. Mswahilina Says:

  Gervas na wewe, umeandika tena KISWAHIRI badala ya KISWAHILI; Lakini ninakufagilia, unajitahidi sana siku hizi, Ushauri wangu kwako ni kuwa: Wakati unaandika mada jaribu kutuliza mawazo, jua kuwa jana imepita upo leo; Hivyo andika kiswahili sanifu. Ninakutakia kila la heri.

 33. faye Says:

  huyu binti ni mtoto wangu na mi kama mzazi nampa hongera kwa hapo alipofika na asiregeze ukanda aongeze bidii katika maigizo na ombi kwa wasaniiwote wa bongoland,sisi wa bongo tulio huku ukerewe(nje) tunawaomba mjiendeleze kimasomo kwani elimu haina mwisho na pia ni njia ya nyinyi kulinda kazi zenu kwani huku mapirates wa kucopy ni wengi na wanaharibu kazi na kula yenu.hati miliki ni muhimu.

 34. 100%Bantu Says:

  Faye ni legeza au regeza?
  Watoto wanauliza huku….
  Unyosha ukubwa basi, waelimishe.
  Au mhaya wewe?

 35. ABC Says:

  SIMJUWI LAKINI SIO RIAMA ALLY

 36. sweetoh Says:

  Huyu ni Riyama Ally, Muigizaji mzuri wa filamu, kitindamimba wa mwenyewe Bi Fatma Saleh, na lafudhi yake ni ya kizanzibari na si ya kitanga.
  Hongera CHIDAHAMA, Kila la kheir!!!

 37. Longolongo Says:

  Du! mtoto yupo bomba huyu, sijui kama ameolewa, Ninamlavu kweli kweli.
  Tuwasiliane basi
  (tumia mtanzania.tanzania@yahoo.com)

 38. Mtoto wa Kizenji Says:

  Huyu dada anaitwa: Riyama Ally Suleiman, Mwenyeji wa Zanzibar. Nilisoma na huyu dada “DARAJANI PRIMARY SCHOOL”. Mola akuziishie kila la kheir na Baraka ktk maisha yako yote.

 39. Bangusilo Says:

  mhhhhh yangu mijicho……BC tupeni jinale na wajihi.

 40. sweetoh Says:

  Longolongo, Jina lenyewe linatutisha hilo!
  Mh! Riyama akili kunkichwa dada!

 41. Longolongo Says:

  Jamani Sweetoh;
  Sio vizuri kuwabania wenzako namna hiyo; ona ulivyo andika: “Longolongo, Jina lenyewe linatutisha hilo! Mh! Riyama akili kunkichwa dada”.
  Ulitaka nami niitwe ‘Sweetoh’ kama wewe ndio jina langu lisingetisha? du, kama basi umeona mie ninatisha mpende wewe, au kama wewe ni ‘Mamaa’ nitumie picha yako ninaweza nikakulavu.
  Lakini kusema kweli ‘Nimemlavu sana Riyama Ally Suleiman’.

 42. Jitu Bahari Says:

  mi namjua huyu kipua kipande

 43. HEARTBEAT Says:

  Ni vizuri mtu ukaelewa swali kwanza ndipo ukajibu.Mbona swali lenyewe liko wazi?kama unajua jina la huyo dada ni kiasi cha kuandika, anaitwa fulani binti fulani .Sio wewe tena namjua ila jina nimesahau,mara unaomba tena upewe jinale tena kwa kejeli,mara ni mwanao umemzaa mwenyewe lakini jina hutaji , mara jina longolongo halafu unataja jina kama unabifu na huyu dem basi mfuate umalize bifu lako si vyema kumfanya mwenzio namna hii,hujui kaa kando wanao jua wajibu we ishia kusoma reply ili ujue.
  Tatizo wabongo tunajifanya wajuaji maana wengine ndio wamekua waalim wa lugha haya ingekua kifaransa pia ungemkosoa mwenzio hivyo?Hebu kwenye maambo ya maana tufanya kama inavyotakiwa sidhani kama bongo celebrity ni tovuti ya kihuni kiasi hicho.Ndio maana hatuendelei kwa kila siku kujibu pumba.hujui acha wanaomjua wajibu,lakini bifu,kukosoana kwa ajili ya maandishi sidhani kama ni sawa kwani ni ngumu kumrekebisha mtu kwenye tovuti kama hivi au kama unaona aliyekosea unamfaham mfuate umwambie kama kweli hupendi achekwe na wanaojua kuandika na kusoma lugha sawia.

  Samahani kwa yeyote nitakae kua nimemkwaza kwa haya maandishi yangu ila inaboa kuona 70% wanajibu pumba,kebehi na majibu ya kuiga.jibu wewe kama wewe lakini si vinginevyo pia kumbuka CHARITY START AT HOME!!!!!

 44. Mswahilina Says:

  HEARTBEAT, hivi umeona Kifaransa ndio Lugha ambayo inashindikana kurekebisha? Wafaransa watarekebisha ndio maana lugha yao inaitwa Kifaransa. Mbona wewe hukuandika Kifaransa ili tukuone kuwa wewe ni msomi hadi ufaransa? Kama kuna aliyeandika PUMBA ni wewe usiyependa Kiswahili, na kujifanya kuwa unamrekebisha kila mnau wa blog hii. Wewe ndio umeendelea ? Weka basi picha yako hapa tuone ulivyoendelea ? Hata jina lako unajiandika ‘Heart-beat’ andika basi jina kamili tukufahamu. Usitujazie Blog yetu kwa kutuandikia ‘Hekaya za Abunuas’ na ‘Alfu lele ulela’.

  Penda kiswahili ndugu ‘Mapigo ya Moyo’ maana hata Wafaransa unaowasifu wanapenda Kifaransa.

 45. aysher Says:

  huyu jina lake ni sikio la kufa

 46. Pachanga Says:

  Huyu binti anaitwa Riama Ally aka Selena ni mmoja kati ya waigizaji wazuri nchini Tanzania.

 47. David Says:

  I don’t know her name but i know she is an actress, I saw her in one the most fascinating Tanzanian movies ” Fungu la Kukose” She is simply the best actress i have ever seen in my watching of Tanzanian movies. Keep it up sis,


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s