BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

UNAMTAMBUA HUYU? March, 18, 2008

Filed under: Swali kwa Jamii — bongocelebrity @ 8:14 PM
Unaweza kumtambua huyu bibi?Fununu za jibu ni kwamba katika siku za hivi karibuni waandishi wa habari kutoka pande nyingi za dunia wamekuwa wakimiminika nyumbani kwake ili kufanya naye mahojiano.
Advertisements
 

40 Responses to “UNAMTAMBUA HUYU?”

 1. zee la kitaulo Says:

  Ni Bibi yake Barack Obama

 2. Zee la kitaulo Says:

  Ni Bibi yake Barack Obama

 3. any Says:

  grandma wake na Obama.

 4. samina Says:

  Yap….huyu ni mama mzaa chame. Bibi yake Barak Obama. Mgombea uraisi mwenye asili ya Africa nchini Marekani.

 5. Mr tom -USA Says:

  Huyu bila shaka yoyote ni Bibi Hussein Obama,mama wa baba wa Seneta Barack Obama.Kwa lugha nyepesi ni bibi yake Barack,period!

 6. Gervas Says:

  Uwezekano pia ni mkubwa wa yeye kuipanda Ea fosi wani mwakani maana lazima itue kisumu…..Long live black colour!!!, na visa za marekani zitanoga kwa wale wenye majina yanayoanzia na O

 7. NYAKATAKULE UNYILISYA ECHALO Says:

  Bibi yake Obama?

 8. Push to Shove Says:

  Obama’s Grandma

 9. Edwin Ndaki Says:

  Huyo ni Nyanya yake Barak Obama ….ni hayo tu.

  Najua kuna wadau watasema ni bibi yake Obama.Hapo sasa wakeii itawawia ngumu kuelewa kinachoendelea.

  Tutafika tu

 10. B Says:

  ni bibi shangazi yake Barack Obama

 11. tomas Says:

  ni shangazi yake Barack Obama

 12. PatrickNarsis Says:

  Huyo ni bibi yake Senator Barack Obama. Kama mambo yakienda vizuri mjukuu, basi atakuwa kwenye historia ya taifa la Marekani na dunia. Let’s see kwani kuna vifitina vingi anafanyiwa Senator Obama..

 13. Kyela Says:

  kwa uhakika kabisa huyo ni bibi yake Baraka(americans wanamuita Barack)Hussein Obama
  Ndiye aliyemzaa baba yake Obama Barack,ambaye mtoto wake huyo akisoma Havard alikutana na mama tajiri wa kizungu shuleni hapo na kupendana na kupata mtoto wao Baraka(barack}mweusi wa kwanza kufirika kuwa anaweza kuwa Rais wa TAIFA lenye nguvu zaidi kiuchumi na kijeshi duniani USA
  Mtoto wake HUSSEIN OBAMA(baba yake Barack}alikufa miaka mingi kwa ajali mbaya ya gari,ajali inayohusishwa na ufisadi wa Mzee Moi,akimuacha Barack bado kinda,Barack amemuona baba yake akiwa na umri wa miaka 2 tu na si zaidi ya hapo

 14. Ben Says:

  Huyo ni mama wa mzazi wa Michuzi amekaa ulaya miaka 10 London lakini hajui kiingereza cha ajabu hajawahi kaa china lakini anaongea kichina, wazungu na watu ,balimbali waliminika kwa kina michuzi lindi kumuhoji bibi na serikali ya china kupitia ubalozi wake Tanzania wana mpango wa kumuajiri kuwa mkalimani.
  Big Up bibi

 15. Abraham Says:

  Barack Hussein Obama’s grandmother,soon and very soon the son from Africa will lead the big and powerful nation in the world.

 16. mina Says:

  Huyu ni bibi wa Barack obama anaishi nchini Kenya

 17. BABA DORIE Says:

  HUYU NI NYANYA WA MGOMBEA URAIS WA MAREKANI KUPITIA CHAMA CHA DEMOCRAT BWANA BARACK OBAMA

 18. solange Says:

  si ndo bibi yake Obama au nimekosea?

 19. musa Says:

  Huyu shangazi/bibi wa Obama,mgombea urais Marekani.Anaishi Kenya.Ni bibi jasiri sana akutanapo na waandishiwa habari kama ulivyodokeza.

 20. sweetoh Says:

  Huyu Bibi ni MKENYA, ni Bibi mzaa Baba wa Presidential candidate wa U.S.A Senate Barack Obama.

 21. Jamila Says:

  Huyu ni bibi yake Obama. Mama wa marehemu baba yake na Baraka Obama.

 22. Jamila Says:

  Bibi yake Baraka Obama.

 23. xxxxxx Says:

  huyu mama yake lady jay dee

 24. Joel Says:

  huyo ni mama yake waziri mkuu mizengo pinda kwani wamefanana .

 25. koku Says:

  uyu ni bibi yake barack obama

 26. jitu bahari Says:

  mama yake lady jaydee

 27. gabriela Says:

  uyo ndio bibi yake obama bibiĀ“mpesalam obama(obama nyasae okonyi nyaduong’o

 28. Sauzeni Says:

  Jamani wewe mhariri wa bongo celebrity, mbona unabania sana comment za watu kibao? Kuna comment kibao humu hatuzioni na wala sio zenye lugha chafu. Tafadhali bwana.

 29. Edwin Ndaki Says:

  Hivi kuna tofauti gani kati ya bibi yake Obama na nyanya yake obama

 30. nyarubamba Says:

  Huyu ni bibi yake Baraka Obama.Kwa sasa ni gumzo Marekani,kwani nakumbuka prof. mmoja class kwangu alisema kwa kicheko kikubwa kwamba sasa watu wanamiminika nyumbani kwa bibi huyu kijijini majira ya jioni inasemekana ndie pekee mwenye tv ili kufuatilia maendeleo ya uchaguzi wa marekani.Naelewa maana ya kicheko chake ni kuwa waafrika tunadhani Obama atashinda urais!Lakini ya mungu mengi unaweza kuta Mccain wao chali-tusubilie mwaka ndo unasogea huo.

 31. lulu Says:

  Huyu ni mama yake lowasa

 32. Rose Says:

  Huyu ni Bi kidude

 33. Dinah Says:

  Ndaki kama nakumbuka vema somo la kiswahili darasa la 3 Nyanya ni mama wa bibi (yaani bibi yake mama yako mzazi)ila wakenya wanatuharibia kiswahili na hivyo kwao bibi ni mpenzi na nyanya ndio bibi. šŸ™‚

 34. Edwin Ndaki Says:

  aaaaaaaa..aaaaa… Dinah.

  Imekaa vema hiyo nashukuru.

 35. Saidi Situ Says:

  Wengine hapo juu kama mlikuwa hamjui si mnge kaa kimya tu.

 36. fukara Says:

  anajulikana huyu ni bibi mzaa baba wa Barack Obama.Wacheni fitna oh bi kidude ,oh mama wa Mizengo pinda ,oh lowassa,watanzania bwana yaani mpaka……………
  sijui lini mtajifunza ustaarabu.
  Hili ni swala dogo sana lakini mtu mwenye akili anawapima ni watu gani wanao changia upuuzi kwenye blog hii
  wacheni kashfa maan sasa hivi itatiwa dosari kama jambo foram alafu tuanze piga kelele
  lowassa anahusika vp hapa au Pinda
  bora mwache kutoa maoni

 37. Pius Says:

  Kaka Fukara…
  “…Hakuna maana kumwambia maana mtu asiyejua maana kwani hata akijua maana atajifanya hajui ili kupotosha maana”

  Najua walijua kusema Mama Lowasa, Mama Pinda,Mama Jaydee nk sio jibu sahihi ila…

 38. Pope Says:

  Mh. Fukara…
  “…Hakuna maana kumwambia maana mtu asiyejua maana kwani hata akijua maana atapotosha ili kuutoa umaana…”
  Walijua kuwa kusema Mama Jay Dee, Mama Pinda, Mama Lowasa na Nk si jibu sahihi lakini…. aaah ndio wenzetu tena.

 39. Sam Says:

  Tatizo ni kama Mkenya au Mtz anachangia hapa. Bibi = Wife in Kenya. Sasa kama unasema ni bibi yake Baraka..ashakum si matusi.

 40. Sam Says:

  Na wewe Ben comment yako hapo juu. Nimecheka sana:-)


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s