BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

PASAKA NJEMA March, 20, 2008

Filed under: Dini,Sikukuu,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 12:05 AM

 

Pasaka imewadia.Ni wakati mwingine wa kujumuika na ndugu,jamaa na marafiki kusheherekea kwa pamoja.Muhimu zaidi ni wakati mwingine wa kukumbukana na kutakiana kheri na fanaka.Sisi hapa BC tunapenda kukutakia wewe msomaji wetu,Kheri na Fanaka katika kipindi hiki cha Pasaka na siku zote.Jumuika na ndugu,jamaa na marafiki zako kimwili na kiroho mfurahie Pasaka kwa amani.

Pia tunakukaribisha kutuma salamu kwa ndugu,jamaa na marafiki zako kupitia hapa hapa kama utapenda.Pasaka Njema.Enjoy!

Advertisements
 

8 Responses to “PASAKA NJEMA”

 1. Saidi Situ Says:

  Same2U

 2. Chris Says:

  Kweli naona imewadia… washika dau wote wa BC, BC team inclusive Pasaka njema, Matty karibuuuu…

  “As we celebrate Easter, lets remember the real Reason for the period of Easter”.

 3. Gervas Says:

  Napenda kuwatumia salamu za heri ya Pasaka wadau woote wa Bongo celebrity, waseminari wote waliosoma Nyegezi Seminary miaka ya 1992-1995 na Makoko Seminary miaka ya 1996-1998, walasha na wakongwe woote wa enzi hizo, mko wapi? mimi napatikana katika “wonderfulh@gmail.com”

 4. Dinah Says:

  Maulidi njema leo, Ijumaa Kuu njema kesho na Pasaka njema J2.

  Heri ya pasaka iwafikie hawa:-
  Wewe unaesoma my post, Ndaki, Si Kitururu, Jeff, JiiKwuu, Da’ Chemponda, Zeze, Mandingo, Chris, Abs, MwnKjj, Washikaji wa BR (Bongo radio), Killo,TanzanianaDream, washikaji wote EaTube, washikaji wote DHB, washikaji wote wa D’hicious.

  You mean half of world to me, Mungu awabariki sana.

 5. Dinah Says:

  I meant JiiKyuu hahaha!

 6. Mswahilina Says:

  Nami pia ninawatakia BC, pamoja na wadau wote wa blog hii HERI YA PASAKA.

  The best gifts to give At Easter……..
  To your friend ……………. LOYALTY
  To your enemy …………… FORGIVENESS
  To your boss ……………… SERVICE
  To a child …………………… A GOOD EXAMPLE
  To your parents ………….. GRATITUDE & DEVOTION
  To your mate ………………. LOVE & FAITHFULNESS
  To all men and women … LOVE
  To God ……………………….. YOUR LIFE

  Wishing you & Ur Loved ones a Wonderful and Blessed Easter holidays, Drive safe & arrive alive.
  Keep Well & Stay Healthy.

 7. binto Says:

  watanzania wakati wa easter tushirikianena kupunguza chuki na uadui, ili tufanikiwe maishani ndio watu wanafanya ivyo, sio kuwa na chuki.

 8. Yesu ni Jibu Says:

  Asanteni sana BC kwa kututakia heri ya Pasaka.

  Muonyeni Rafiki yenu Mjengwa aliyetuwekea picha ya mwanamke mwenye mimba aliyetundikwa msalabani kama yesu. Ajue sisi tumeshakisoma na kukitafsiri kitabu kilichoandikwa na Salman Rushdie ‘The Satanic Verses’. Uislamu tunaufahamu vizuri pamoja na Mapungufu yake yote, tukiamua kuuponda uislamu kama wao wanavyoponda ukristo, basi ajue hakuna binadamu atakayependa kuwa muislamu.

  YESU NI MUNGU.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s