BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

K-CI & JOJO NDANI YA BONGO March, 22, 2008

Filed under: Burudani,Muziki,Tamasha — bongocelebrity @ 10:00 AM

Wanamuziki waliowahi kutamba kutoka nchini Marekani,K-Ci & Jojo wapo nchini Tanzania kwa onyesho moja tu litakalofanyika leo usiku ndani ya Movenpick Hotel jijini Dar-es-salaam. Hizi hapa picha kidogo zinazoonyesha walipotoka na walipo hivi sasa.Onyesho hilo limedhaminiwa na Tigo.

Hapa K-Ci(wa pili kutoka kushoto) na Jojo(mwisho kulia) walipokuwa na wenzao na kundi lao la mwanzo lililojulikana kama JODECI
Bado JODECI ingawa hapa umaarufu na fedha vilishapiga hodi.
K-Ci akiwa jukwaani mwaka jana.
Advertisements
 

25 Responses to “K-CI & JOJO NDANI YA BONGO”

 1. Mwingira Says:

  Unajua kwanini naizimia sana hii site?Kwa kweli you guys knows how to get things straight.Kwa kuangalia tu hizi picha utaweza kuona jinsi gani jamaa wamechoka.Hivi kwanini sisi Tanzania ndio “dampo” kila siku.Yaani jamaa wamechoooka ndio wanaenda kuganga njaa huko.Duh,Ndaki tutafika kweli?

 2. any Says:

  huku hawana fans tena, ivo lazima waje nchi zetu hizi ili kupandisha status.
  Alafu wana sura za ganja, yalaaaaaaaah

 3. Jodeci-D Says:

  Ni kweli kabisa Mwingira. Hawa jamaa walikua na kesi kubwa ya tax evasion kule marekani. Kwa hio watakubali kufanya shoo bongo bila kulalamika ili @ least wapate hella kidogo manake wamekwisha kabisa.
  Tracki yao ya mwisho kutoa ilikua lini ?? Jamani, i think hawajatoa rekodi kwa mda wa kama miaka nane.

  Nway, hongera sana kwa ma-promota. Kiingilio 80,000 for a wash out group like this.
  Afadhali tungesmbubiri Akon apitie hapa tena.

 4. Dullah Says:

  Mwingira you’er abslolute right! Thanks 4 your comments Mwingira, you read my mind. Also Thanks BC kwa kuweza kuwaonyesha hali halisi ya jamma kuanzia mwanzo mpaka sasa jinsi walivyo. Picha ya mwisho inaonyesha jamaa yuko bwiiii!!! jukwaani.

 5. any Says:

  I cant pay my almost laki moja kuangalia hawa watu! najifunza nini kwao? walevi tu hao.

 6. mzalendo Says:

  hivi wabongo mbona mnapenda kuuwa sana,tatizo ni promota,lakini huwezi kusema kwa sababu wamechoka ndo wanakuja bongo,bongo huku europe pia hadi leo hawsanii walopoteza ramani wanafanya show na zinajaa,watu kama boyz 2 men,collio, ni mapromota tu,wakati nchi kama mali ambayo iko nyuma kwa kila kitu ukiifananisha na bongo wasanii wakubwa wanapiga show mara kibao.

 7. kijiwe Says:

  maunga nomaa! picha y mwisho yamaa kajipinda ili asijehinanihii..

 8. Chris Says:

  Kazi kweli kweli……..

 9. Edwin Ndaki Says:

  Mwingira,

  hakika hapo inakuwa ngumu.

  nilitegemea makampuniya kwetu yatumie pesa kuendeleza wazawa..leo wanakimbilia…hao waliocoka..

  Ila poa tu,tutafika

 10. Saidi Situ Says:

  Jamaa wako Ok mimi naenda kuwaona. Waandaaji wametupa nafasi na sisi ambao ilikuwa ni ndoto kwetu kuona hawa jamaa live. Kweli ni kuwa wameacha kusifika lakini lets be realistic mwanamuziki anayesifika bongo hatuwezi kumlipa na viingilio vyetu vya 20K.
  Msiifananishe Tanzania na America. Mnataka mpaka Pdidy aje ku perform bongo ndo mkubali? Tatizo hatuwezi kumlipa.
  Bongo Tambarare

 11. Dinah Says:

  This time wale ma-miss-miss acheni kujibamiza na kugawa ngono ovyo, mnatutia aibu wanawake wa Tanzania.

 12. Mdau Says:

  Wabongo bwana kwakujifanya much knows..hawa jamaa wamerealese Albam lao jipya na linafanya poa
  linaitwa “”K-CI & JOJO “LOVE” 2008″” hilo ndilo albam lao Jipya kabisa na lina track 14

  wabongo fuatilieni News Please……Hacheni majungu

  “”K-CI & JOJO “LOVE” 2008″”
  1.i just wanna be with you
  2.Tsubomi
  3.I believe
  4.Every Time I Close My Eyes
  5.Winter Song
  6.History
  7.Story
  8.Keep holding U
  9.What I wanted the most
  10.Snow Flowers
  11.Take a chance on Love
  12.Baby I
  13.I just Wanna be with you
  14.Winter Song

 13. Kamanzi Says:

  Jamani namna hii tukisema mnatuona tunachonga sana. Sasa hawa jama na hizi step kweli si wahuni tu hawa? Yaani jamaa kama hawajitambulishi utajua tu kuwa ni waimba mchiriku wa pale tandale kwa mtogole. Tena wanywa gongo kisha wanachan’ganya na bangi. Nakwambia kweli bila bangi hiyo step hapo juu haichezeki. Jamani kutokea US ndio tuwababaikie? Si afadhali wangewaita Acudo au Msondo wakaimba miziki yenye uhakika?

 14. any Says:

  hawa wasipopiga pamba za maana wakapita mtaani hawakawii kupigiwa kelele za mwizi. haaaaaaaaaaaaaaa! (msiibanie hii comment), wamekaa sura za unga mno jamani, khaa.

 15. kijiwe Says:

  wewe mdau andika kiswahili sanifu…
  kwanza agenda siyo nyimbo zao agenda ni uchokaji mbaya kama unavyojionea mwenyewe picha ya mwisho hap jamaa amebanwa na ninihii tehe LOL

 16. kyekue Says:

  Dina hebu wataje basi hao mamiss nitaenda kuwakanya, mfano…. wewe ni dada wa live huna mambo ya kufichaficha, msema kweli mpenzi wa Mungu

 17. Matty Says:

  Kwani super star mpaka awe na tatooo!!!!!! afadhali Dinah waambie mapema warembo maana hawakawiagi kujibamiza kwa hao choka mbaya wa majuu!

 18. Masaki Says:

  Dihan kelele zako ni kama za chura, hazimzuii tembo kunywa maji, ma miss wametafunwa kama kawaida tu na hawa jamaa. Kama huwa wanatafunwa na wajinga wajinga kibao tu wa hapa Bongo, sembuse hawa jamaa wa Unyamwezini?

 19. jitu bahari Says:

  we ina chaumbea unaleta habari za mamiss,mamiss gani?ni shoga zako unawajua au ni wewe mwenyewe

 20. Dinah Says:

  Hehehe Masaki kumbe unafika mpaka huku? Naona nabatizwa tu hapa mara dihan mara ina basi raha tupu.

  Kyekue nikiwataja nitawaharibia mambo(mwambie masaki atakutajia) au tuagize vijana wa Shigongo……Matty, ma-miss ndio zao kujipanga foleni hotelini au nje ya hoteli ambazo hawa jamaa wa nje hufikia….aibu kweli!

  Jitu bahari ushaoga na ma-miss nitauanzia wapi mwenyewe msaka nyoka hata fashion/mitindo sijui hehehehehehe!

 21. any Says:

  Wee dinah kama hupangagi nao foleni umejuaje? Kibaka hujua vibaka wenzake wanapojificha. Be nice to ur fellow gals. kuwa positive kidogo, au criticize kunakojenga. thats my .02 cents.

 22. Dinah Says:

  Yaani mimi huyu-huyu nipange foleni kwa ajili ya nanihii ya M-USA? hahahaha any I 4gave u 🙂

  Sija kritisiaizi na wala sijawa negativu nimejaribu kuonya tabia yao chafu ya kujipendekeza kwa Celeb wachovu wa nje (Wakiwa juu kwenye chat hawaji Bongo) wakiporomoka wanakuja kutuibia tushilingi twetu mxsii!

 23. amina Says:

  mi siwazimiii kabsa hizi sura za ganja na unga tu

 24. any Says:

  This is for you dinah! try to be positive inapokuja kwa wadada wenzako, usiongee kama wee ndo judge wa kujua mema na mabaya! hata wewe una yako ambayo jamii haipendi na unayafanya. Ni personal choice yako.

 25. abbou Says:

  Ebwana ndo maana waswahili hatuendelei na itakuwa vigumu! kuendelea! hao jamaa! wamechoka kweli si utani kwenye ramani ya muziki uku mamtoni awapo! Hicho kiingilio si bora ata ingekuwa Akudo au Ngwasuma! fedha ingebakia bongo na si ajabu ambao wangefaidika na mzunguko wa fedha hiyo ni wabongo hao hao! kutokana na mzunguko wa fedha! ahahahah labda kwa kuwa ni wa Marekaniiii!!!!!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s