BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

MR AND MRS NKURUNZINZA + PICHA YA WIKI March, 23, 2008

Filed under: Photography/Picha,Weekend Special — bongocelebrity @ 1:30 PM
Pichani ni Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza(kulia) akiwa na mke wake,Denise Nkurunzinza,First Lady wa Burundi.Hii ndio picha yetu ya wiki hii na ni kwa hisani ya Issa Michuzi.
Advertisements
 

22 Responses to “MR AND MRS NKURUNZINZA + PICHA YA WIKI”

 1. mtoto wa mkulima Says:

  Safi sana bwana mdogo naona uko na my wife wako!

  Pasika nziza shaa!

 2. Albert Says:

  hutaki kuuliza huyu ni kweli Rais wa burudi ukimuangalia sura tu utajuwa ni kweli

 3. Desteria Says:

  Mtoto wa mkulima
  si mchezo, ni mdogo
  wako,pia na (my wife wako)

 4. fukara Says:

  yuko seriouse na hatma ya burundi
  si msanii anajua nini anafanya

 5. Mswahilina Says:

  Wamependeza.
  Kutoka Ualimu hadi mpigania haki za Wahutu msituni hadi Rais wa Burundi.
  Ninamkumbuka Shabaan Robert aliandika: ‘Jinsi nilivyo nimeandikiwa’.

 6. Saidi Situ Says:

  Nimeipenda hiyo suti ya raisi wa burundi hasa design ya collar. Sijui ni kaunda suti au inaitwaje?

 7. kyekue Says:

  first lady kapendeza, African woman….naye ana shuka?!

 8. Gene Says:

  Hao ndo wahutu au watusi?naomba kuwakirisha!!!!

 9. any Says:

  Huyu mama amekaa kitanzania kuliko Burundi. anafanana na marafiki zangu wa Mbeya. she is beautiful.

 10. Chris Says:

  Any I was asking myself the same questn…. BTW they’re great japo sijui sana issue za Burundi…

 11. Asha Kapuya Says:

  Yaani wamependeza wenyewe hadi raha. Huyo Naomba kuuliza,kwani hayo mashukamya Mama Kikwete ndio imekuwa fashion kwa wake wa marais na watu mashuhuri siku hizi?
  Antwats ndio mambo yenyewe.

 12. any Says:

  Ndo navoona Chris, mimi nilipoangalia chap chap bila kusoma nilidhania ni mbunge wa Kyela na mke wake, kumbe hata sio Watanzania, wabantu tuna damu kali sana.
  Swali la nyongeza, na ni nje ya mada, hivi hicho kichuguu apo kichwani ni style gani ya nywele? Naonaga maharusi wengi wa siku hizi wanafanyiwa hivo alafu wanachomekea roses pembeni na pembeni. Msaada kwa wanaojua fashion za nywele. “Nimeipenda”

 13. mkereketwa Says:

  Hicho kinaitwa “hair piece”, zinauzwa kama zilivyo an viko vya aina nyingi. Unachofanya ni kukipachika juu ya nywele zako za kawaida. Wanawake hutuwezi kwa urembo, bali zinapotoke ngumi ndiyo utaona vipisi mbalimbali vikiruka hewani! Halo halo!!!!!!!!

 14. ma'reen Says:

  Hawa nafikiri ni wahutu maana watusi niliobahatika kuwaona si mchezo,utadhani Mungu aliwaumba kwa upendeleo.Huyu mama ndo nadhani mhutu kabisaaa….

 15. Matty Says:

  Haswaaaaaa!!!naturo without mkorogo mh!!!!!na mashuka nayo hoyeeeeee!!!!kila mmama na shuka lake mweeee kweli kitu kikiingia inakuwa raha sana!
  Any hiyo style ya nywele inapendezaga kwa maharusi kama ulivyosema hapo mamaetu nae labda alikuwa harusini! ni kibanio cha rasta wengine wanatengeneza kwa rasta na chupio kibao haya sasa mambo ya saloon hayo!

 16. any Says:

  mkereketwa na mimi ni SHE PIA. asante kwa tips. bora kama ni vya kupachika, maana nilishawaza usiku nikiwa nimeutwika ulabu wangu nitalala na huo mzigo wote kichwani si itakuwa balaa.
  Thanks dear.

 17. mtoto wa mkulima Says:

  Huyo jamaa na my wife wake ni mtusi wa nguvu!

 18. Kekue Says:

  Matty uko right kwa hiyo ni style ya nywele, mkereketwa ulishawai kushudia vipande vikitoka kichwani? coz unaweza kumsahau mtu kama ni yule au ndugu yake?? Tehe tehe kina sisi tuna kazi kweli kweli , lakini ndo urembo!!!

 19. sikubaliani Says:

  kweli huyo mmother inawezekana akawa mhutu maana watusi usipime babake au atakuwa mnyalu au mnyakyusa.

  ila mmependeza wenyewe hadi raha utamu.

 20. Matty Says:

  Kekuu nilishawahi kushuhudia mdada kalewa harusini likadondoka banio lol! hutamjua kabisa!

  Sikubaliani ni kweli watusi si mchezo mwanawane wameumbika utadhani nilikaona mwakajana!!!!labda mwaka huu nitakaona!!!!!!

 21. M.M.M Says:

  jamani mimi sijafurahishwa kbs na huyu first lady…msema kweli mpenzi wa mungu…u first lady ni kitu kizito jamani,unakuwa kioo cha jamii na unaiwakilisha nchi anayoongoza mumeo,hivyo basi una wajibu wakuwa smart….basi yote ashindwe..hata nywele jamani! huo mlima hapo juu kulikoni?


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s