BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

P-FUNK A.K.A MAJANI March, 27, 2008

Filed under: Bongo Flava,Muziki — bongocelebrity @ 11:09 AM

 

Sio rahisi kuongelea muziki uitwao wa “kizazi kipya” nchini Tanzania bila kumtaja au kutambua mchango wa Producer P-Funk maarufu kama Majani(pichani).Yeye amekuwa mstari wa mbele katika kuibua vipaji mbalimbali vya wasanii wa muziki huo wa kizazi kipya au Bongo Flava kama unavyotambulika kwa wengi.Karibuni wasanii wote wa Bongo Flava wanaotamba au waliowahi kutamba nchini Tanzania wameshafanya kazi na P-Funk.Ukitaka kujua mengi zaidi kumhusu P-Funk bonyeza hapa.

Advertisements
 

31 Responses to “P-FUNK A.K.A MAJANI”

 1. iiiiii Says:

  TIMBALAND WA BONGO FLAVA…..
  BIG UP MAJANI,KAZI YAKO HAINA MSHINDANI

 2. Dinah Says:

  Ah huyu jamaa ana nafasi ya pekee ktk kuprodyusi kazi za wasanii na kuwaibua, alafu kinachofurahisha zaidi nakutia moyo ni kuwa hana makuu kabisa (ktk utendaji wake wa kazi sio mengine)…..na heshimu kazi zako P-Funk!

 3. Chris Says:

  Huyu jamaa na MJ huwezi zungumzia bongo fleva bila wao.

  Hivi ni kwanini anajiita majani? Ni jina tu au ni mtu wa NYASI sana…

 4. Edwin Ndaki Says:

  wapi nari P?

  Mwendo ule ule..Grave yard!

 5. kijiwe Says:

  yap during my teens alikuwa anakuja kwa cousin wangu kujifunza kumix jamaa hakuchukua hata mwezi akaletewa full dj equipment from holland na baba yake then akapotea kambini ghafla before we knew it jamaa akapotea tena akaneda uholanzi kusomea sound eng.
  duh next time namsikia ana studio.kwa kweli he is one of a kind katika bongo flava very talented and humbled.
  ila kwa sasa kuna vijana 2 hatari watoto wa morocco 41 records a.k.a mandugu digital ni vichwa vikali sana but nadhani wakifuata nyayo za huyu don watafika mbali coz hili game ni la kubana mbavu -“Juma nature”
  big up Paul

 6. xxxxx Says:

  mmh we kijiwe ndo unataka kujifanya unamjua sana au vipi?hata kama ulipewa stori na mshkaji wako basi unajifanya alikua anakuja kwa braza wako…kwenda huko

 7. zama Says:

  kazi yako nzuri nakupa kumi

 8. Matty Says:

  Kwani huyu jamaa ni kabila gani naombeni kujua…mimi namuona kama mzungu au?
  Kazi nzuri zako hongera!

 9. kijiwe Says:

  xxxxx opinion yako nimeipokea na mimi nakujibu.
  Yes, there are stupid people. I wish it wasn’t so, but it is another one of those things that we have no control over and have to accept. Stupidity is not a choice. It simply means ‘slow to learn.’ Slow learners are usually born that way and can’t help being what they are. So let’s not dwell on them, because they aren’t the problem. Let’s talk about ignorant people instead. ‘Ignorant’ is such a misused word that I feel I have to point out that all it means is ‘lacking education or knowledge.’ That, unlike stupidity, is not an affliction. Rather, it is a condition that something can be done to rectify.
  Ushauri wa bure
  Kumjua au kutomjua P Funk hakuna ukubwa wala udogo katika maisha yangu so kwenda zako mwenyewe wewe siyo site moderator!
  usimaind vitu vidogo.
  togather tunawakilisha au siyo!

 10. Majita Says:

  Matty!!
  Huyu bwana baba yake ni mjita wa wa kata ya Bwasi ila alihamia kisiwani Ukara.Mama yake anaishi Irugwa japo wana nyumba Dar.Hiyo rangi ya huyu bwana atakuwa amechukua ya marehemu bibi yake na shangazi yake jirani yake pale darisalamu.

 11. xxxxx Says:

  ndiyo siyo issue kumjua majani sasa wewe mbona umejifagilia hapa nakushangaa wewe unababaikia vitu vidogo na hukutakiwa kusema..angekua dr dre je sindo ungepiga picha na kuletea hapa!usiongee sana na acha fix

 12. xxxxx Says:

  ndo nyie nyie wakina kijiwe mnakaa mtaa mmoja na msanii tu mkifika chuo mnadanganya wenzenu ohh juma nature mshkaji wangu sana mhhh..

 13. matty Says:

  Wewe xxxxx tuondolee ushamba hapa kwani kijiwe kumjua ni hatari?? mbona ni mtu wa kawaida tu watu kibao wanajua na watu wengi tu na ni vitu vya kawaida sasa wewe unamuona kama …..afadhali Kijiwe umempasha.

 14. any Says:

  Big up P Funk

 15. kijiwe Says:

  xxxxx narudia tena jibu langu kwako ni:
  Yes, there are stupid people. I wish it wasn’t so, but it is another one of those things that we have no control over and have to accept. Stupidity is not a choice. It simply means ‘slow to learn.’ Slow learners are usually born that way and can’t help being what they are.

  matty achana naye huyo anasumbuliwa na identity crisis ndiyo maana anajiita xxxxx LOL

 16. pyupyu Says:

  sitaki kuchochea mabishano ya xxxxx na kijiwe ila kusema ukweli nimependa jinsi kijiwe alivyo respond.
  It’s reasonable.

  Big up P Funk kinywele kimoja.

 17. mtoto wa mkulima Says:

  Huyo jamaa anayebishana na kijiwe ana kitu wadhungu wanaita inferiority complex. Yaani anaona huyo PF ni matawi ya juu kwa hiyo kijiwe hawezi kumfahamu wakti hamjui kijiwe ni nani. wengine tuko funny? funny indeed! Ndo maisha lazima hizo sample ziwepo, ndo dunia iwe tunavyoiona.

 18. xxxxx Says:

  fix tupu hapa hata mimi namjua nilicheza nae sana kibaba baba.a tunakaa wote jirani pale bamaga..hahahha mbona unataka kulia we kijiwe

 19. amina Says:

  kwani hapa kuna nini?hata mi namjua bwana kipindi kile soggy doggy yupo pale kwake na profesa ludigo walikua ni wasaidizi wake..we matty nakwambia nilikua nawaona na majani pale bamaga karibu na hongera bar basi we nakwambia kijiwe basi nawasanii wote wa bongo flava…na siku moja kulikua na bday ya mtoto wa pfunk basi wakina juma nature walikuepo nakwambia asikuambie mtu…haya namimi mnishushue

 20. xxxxxxx Says:

  kijiwe ndo unataka kulia

 21. matty Says:

  Asante kijiwe kwa kunifahamisha huyu jamaa ni mtu gani…huyu XXXXX ANALO!

 22. marrianne Says:

  Big up man!!!!!!!!!!nakufagilia !!!!!!

 23. xxxxxx Says:

  matty unalo wewe unaedandia treni kwa mbele unaingilia yasiyokuhusu..we changia hoja!nawewe mtoto wa mkulima mi sioni huyo p kama ni babkubwa ila nyie ndo mnaona babkubwa na kujidai mnamjua..mnalo nyie

 24. kijiwe Says:

  xxxxx
  Yes, there are stupid people. I wish it wasn’t so, but it is another one of those things that we have no control over and have to accept. Stupidity is not a choice. It simply means ‘slow to learn.’ Slow learners are usually born that way and can’t help being what they are.

 25. matty Says:

  Unataka kusema nini wewe xxxxx???acha ujinga wewe hilooooo!!!!!!!!

 26. Membe Says:

  p funk mzuuuuuuuri! kweli tunafaidi

 27. Eddie Says:

  Majani you are awesome!! yaani mie nipo mbali na bongo lakini bongo flava fever inaniua watui kibao wanashangaa…you are a blessing to TZ man Im tryn to get ma producin thang on who knows labda kuna siku tutakuwa wote kwenye prokect ya Fid Q, Profesa Jay au Juma NAture watch this space big up..majani!!

 28. karimatty Says:

  It’s not about the smalltalk…It’s about the music…Sikilizeni…Chezeni na Furahisha…That’s music!
  When it comes 2 Bongo Flava…U rock!! Keep it up!!
  Inspire the young people with your beatz,coz Tanzania will shine paka hapa Ulaya!
  Man I miss Bongo& the Nyama Choma!
  Big up Lil’ Bro, from your Big Brother hapa Ulaya!

 29. florah Says:

  Mimi km mimi sijaona sababu ya kuwaongelea hao p-funk maana hawanisadii chochote.Mimi nawafagilia hao wanamziki wetu.so hainihusu kuhusu p-funk na mj.

 30. Alfa k Says:

  ebwana kazi yako imetulia arica nzima

 31. Nani Says:

  Mie nainjoi kuckia majbzano yenu lkn cku hz naona kimya vp wanakijiwe, au mumeishiwa mada? Kijiwe unamfahamu Marco chali kama ndio unaweza ni2mia contact yake No. Cmu au email yake. Wana kijiwe kazeni but au kwa vle hasie na jina kawa kimya {xxxxx} mie naboreka navyowakosa wa2 wangu.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s