BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

ALUTA CONTINUA NA NANI KAMA MAMA? April, 5, 2008

Filed under: Uncategorized — bongocelebrity @ 11:46 AM

Profesa Jay akighani jukwaani jana jioni ndani ya Diamond Jubilee wakati wa uzinduzi wa albamu yake mpya ya Aluta Continua.

Prof.Jay akiwa na mama yake mzazi, Bi.Rosemary Haule ambaye pia alihudhuria uzinduzi huo katika kumuunga mkono kipenzi mwanae. Nani kama Mama? Photos Credits: Global Publishers.Kwa picha zaidi za uzinduzi huu bonyeza hapa.

Advertisements
 

10 Responses to “ALUTA CONTINUA NA NANI KAMA MAMA?”

 1. Bob Sankofa Says:

  Katika wanamuziki wa kibongo wenye nidhamu ya kazi ni huyu bwana. Jay hajawahi kuchuja na kila ninapotabiri kuwa huenda akajiuzulu baada ya mafanikio fulani ili rekodi yake ibaki juu huwa ananishangaza kwa kufanya mambo makubwa zaidi.

  Long live Jay.

 2. Chris Says:

  Inamaana BC ile picha ya mwanzo mlimpiga time ndo ameulalmba for show? Ila ya juzi ile picha? Ni kama Tee ya Mi-soup?

  Yuko juu mshikaji hata hivyo….

 3. Mswahilina Says:

  Mimi ninampongeza Prof. J.
  Lakini swali langu kwake ni: Hivi hana Baba?

 4. bigy Says:

  Jamaa ana nidhamu na kazi yako. Nampongeza pia.

 5. osmundy Says:

  Nakuaminia Jay lakini ingekuwa bora kuwa nani kma wazazi

 6. matty Says:

  safi sana Mama first, hongera kwa mama mzaa chema.
  Mswahilina sasa dingi wa nini tena unaulizia?pengine hakutaka kula photo ya pamoja.

 7. matimbwi Says:

  Ebwana Fukala nadhani sikosei weka hiyo albam kwenye Internet tushangilie.

 8. any Says:

  mamake chuma kweli, she is young, and good looking gal! keep it up! prof mtunze mama umfute machozi asahau shida zake wakati anawalea. Big up!

 9. sikubaliani Says:

  Prof J wewe mbona haupondeki babu upo juuuuuuuuu japo kuwa wanasema HIP UP HAIUZI .

  KWELI HAKUNA KAMA MAMA JAMANI LOH! NYIE ACHENI TU.

 10. solange Says:

  maswali mengine bwana eti hana baba…..kha kuna asie na baba? hapo anazindua albamu hayupo kwa ajili ya kuonyesha familia yake…..kama marehemu je? utajuaje…..hongera prof na mama mrembo kweli….mpe matunzo azidi kuchanua…..


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s