BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

JAY-Z NA BEYONCE WAFUNGA NDOA. April, 5, 2008

Filed under: News,Special Interest News — bongocelebrity @ 1:21 PM

Baada ya kudumu kwa miaka takribani sita kama boyfriend na girlfriend, wanamuziki wawili maarufu kutoka nchini Marekani, Jay-Z na Beyonce, hatimaye wamefunga ndoa ijumaa iliyopita katika sherehe ambayo imefanyika kisiri-siri. Kwa habari zaidi unaweza kubonyeza hapa.

Pichani ni Jay-Z na Beyonce walipoitembelea Tanzania mwaka 2006.

Advertisements
 

20 Responses to “JAY-Z NA BEYONCE WAFUNGA NDOA.”

 1. Aaaaaaaaaaah safi sana hongera kwao wanandoa, maisha mema yenye baraka ktk ndoa yao…huyu bibie alikuwa anataka kuwa na familia muda mrefu sana uliopita ni jzee tu ndo alikuwa bado anataka kutanua..Uamuzi wa busara kabisa.

 2. iiiiii Says:

  I ADMIRE THIS COUPLE SO MUCH,THEY BEAT THE ODDS.
  LOVE SURPASSES ALL,HATA MAJUNGU.

 3. michuzi Says:

  wow…..jigga umeamua kufanya kweli..
  ur the envy of every man,trust me,i mean EVERY MAN!!!

 4. toto Says:

  wanapendeza pamoja,beyonce kafika kwa jigga

 5. Saidi Situ Says:

  Hongera sana, Ndoa za celebrities huwa hazi last. Sijui nyinyi yenu niipe mda gani. I guess miaka 2 hivi kabala hamja separate. Mwaka wa 3 ni divorce.

 6. Chris Says:

  Lovely dovey…… wish ’em the best in the new lyf…..

 7. kijiwe Says:

  BC it was just a rumour hawajafunga ndoa ilikuwa engagement party fuata hii link for habari zaidi
  http://allhiphop.com/stories/rumors/archive/2008/04/04/19595403.aspx

 8. matty Says:

  Haya nawapongeza na mdumu katika upendo kila siku kwenu iwe honeymoom sawa eheeeee?

 9. Dinah Says:

  Hii haituhusu honestly….promote Bongo artist pls. 🙂

 10. Kijiko Says:

  Dinah,
  Naona ushaanza kuchemka tena…haituhusu kivipi?Kwani hujaona kwamba ndio maana BC kaweka kabisa picha yao walipokuwa bongo na pia habari yenyewe imewekwa kama special interest news?Mbona mtu unakuwa mzito?

 11. ma'reen Says:

  Said Situ ni watu wenye roho ya korosho tu ndo manaohesabia wanandoa miaka ya kuishi pamoja badala ya kuwatakia best wishes…wewe sidhani kama una roho ya korosho,jirekebishe!Dinah mbona taarifa za ndoa zinaku-irritate kiasi hicho dada yangu kunani?Many many congs to the new couple!

 12. Amina Says:

  Dinah umekua mzito kweli kuelewa roho inamuuma alitka aolewe yeye

 13. solange Says:

  wewe dinah sema hainihusu sio haituhusu, kapange mambo ya kuweka kule kwenye blog yako na sio kuwapangia wenzio….kawapromote kule kwako basi.

 14. kijiwe Says:

  dinah dada yangu take it easy sio lazima ucomment kila kitu maana sasa unacomment pumba.Unamlazimisha BC awa promote artist wa bongo ili iweje?Hatutaki kula mlo mmoja kila siku na ndiyo maana BC leo katupa mlo mwingine.
  Kama kijiko alivyosema BC amepost habari za hawa jamaa sababu walienda bongo 2006 na wakasaidia kidogo miradi ya maji n.k
  Pia isitoshe what if BC anawamaind?I mean he/she is entitled to do as he/she wish hii ni blog yake/yao dear wewe/mimi/wengine ni wachangiaji/wadau tu.
  ni hayo tu!

 15. any Says:

  hahahahaha! sisemi sana maana comments hazitatolewa.

 16. Amina Says:

  humu kuna mashushu humu weeee usiombe ukabugi step

 17. anny Says:

  wow! it is gud, i wish them gud lyf full of happiness.
  congratulations.

 18. salma Says:

  nawatakia kila la kheri

 19. binti-mzuri Says:

  yani nimecheka,amina nakubaliana na wewe..mashushu ya humu naona hadi dinah mwenyewe katokomeea

 20. Amina Says:

  na katokomea kweli..alibugi step


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s