BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

FID Q FT ZAHIR ZORRO NA RIPOTI ZA MTAANI April, 6, 2008

Filed under: Bongo Flava,Burudani,Muziki,Single/Mpya — bongocelebrity @ 8:54 AM

Kama kuna jambo linatia moyo katika ulimwengu wa muziki nchini Tanzania ni kuona wasanii wakongwe wakishirikiana na wasanii wanaoitwa muziki wa kizazi kipya! Hii ni kama ilivyo kwa msanii Fid Q kumshirikisha msanii mkongwe Zahir Zorro katika “Ripoti za mtaani” au Street Report.Itazame video hapo chini.Ahsante Pius kwa video hii.

Advertisements
 

12 Responses to “FID Q FT ZAHIR ZORRO NA RIPOTI ZA MTAANI”

 1. DUNDA GALDEN Says:

  Inapendeza wakongwe wakijali iki kizazi kipya.kusuduo hapo ni kuboresha na ndio maana tukawa na ule usemi (Penye mkubwa basi hakualibiki neno) kwani yeye atayajumuisha yale ya kipindi kile hakiyakutanisha na haya ya sasa utkeo mtazamo furani tuu.
  Kila la kheri kizazi kipya msisahau kule tulipotoka kwani nyimbo za zamani kama za Jabal la music bado zinatamba mpaka sasa hadi uku mbali na Tza siku za wiki end kwenye vipindi vya Radio na Tv zinapigwa.lakin hizi za kizazi kipya uzinduliwa na kupigwa kwenye redio disko mitaani mwisho wake ni mda mfupi tuu
  Na BC chafosa chai goda(Darwin Australi)

 2. Mconel Says:

  Nimeikuabali sana hiyo track, yaani ni world class to be honestly.
  Nimefarijika na kutaka kurudi bongo kesho. anyway Big up FID Q

 3. Chris Says:

  The combination of the beats and lyrics make this a bomb. I feel this song. I deem this is wat bongo flava industry needs rite now.

  All I can say is nice production and the vid is ok too… gud work Fid

  BTW Zorro is an aging talent… feel him sana… Head up Fid Q

 4. bigy Says:

  Hii safi sana.Zorro na FQ big up!

 5. Msanii Says:

  Fid Q is the real deal! This video is better than average. No cheap shots, no fake imitations. Plain, simple, and subtle.

 6. zama Says:

  big up fid q eti hiphop uhuni awajui walitendalo washazoea kubana sauti kama watoto wakike achana nao tupe rahaaaaaaaaaaaaaaaa

 7. Amina Says:

  zama hehehhe una utani na wabana pua mi simo

 8. Marie Says:

  Inafurahisha sana na inaleta hamasa… wimbo mzuri na message yake imetulia ila katika video sijapenda anavyoonekana Zahir Zoro rangi haikutulia kidogo

 9. bigy Says:

  ni kweli, rangi haikutulia.imekua kama mchanganyiko wa black and white na colored.otherwise mwimbo umetulia.

 10. cecy Says:

  FIDDY DID IT AGAIN THIS GUY IS REAL AND PEOPLE SHUD WATCH OUT!HE IS DOING REAL THINGS

 11. Adili Magayuka Says:

  The rhymes, the beats and the video is like mwaah!! Mr Zahir have great vocal, congratulation u’ll.

 12. J Bigy Says:

  I like dis song.Message na art viko sawa.Fid Q anarap vzuri.Kiswahili chake kizuri na maneno yanaimbika. Zahir Zorro ni kipaji. Banana karithi toka kwa baba ambaye ana kipaji.
  Hongereni nasikiliza mara kwa mara huu wimbo.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s