BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

FREDDY MARO NA MAGGID MJENGWA April, 15, 2008

Filed under: Photography/Picha,Serikali/Uongozi — bongocelebrity @ 3:27 PM

Picha moja ni sawa na maneno elfu moja.Hata sijui tutarudia mara ngapi kusisitiza kuhusu msemo au dhana hiyo. Na hii sio kusema kwamba maneno hayafai au hayana faida.La.Ni katika tu kuonyesha jinsi gani picha huweza kuongea mengi zaidi bila kutumia nguvu ya ziada.

Sasa ukizungumzia picha hawa jamaa wawili pichani huwezi kuwaweka pembeni.Kulia ni mwanablogu maarufu wa picha, Maggid Mjengwa akiwa na “Raisi wa wapiga picha”, Bwana Freddy Maro, ambaye ndiye mpiga picha mkuu wa Rais Jakaya Kikwete. Picha hii ni kwa hisani ya Maggid Mjengwa.Mahojiano yetu rasmi na Maggid Mjengwa yapo mitamboni ili kukujia hivi karibuni.

Advertisements
 

7 Responses to “FREDDY MARO NA MAGGID MJENGWA”

 1. Mconel Says:

  Si nia yangu kusema vibaya, ila inaonyesha hata ukiwa mpishi wa ikulu utananawili tu, pole mwenyekiti wangu.Nawe siku moja utakuwa mpiga picha wa ikulu.

 2. Chris Says:

  Nasikiaga tu mpiga picha wa Raisi… kumbe ndo huyu Fred Maro…. Raisi mweupe, mpiga picha mweupe….

  In this foto Mjengwa seems to be seriously aging…. labda ni macho yangu ndo yanayonidanganya….

 3. any Says:

  mh, hiyo nayo inaitywa afya? mbona kama kibendi, aka nyama uzembe/mwitu? haha

 4. Amina Says:

  Jamaa limewiva unafanya mchezo nini?kwahiyo ziara za raisi zote anakwendaga nayeye?mhhh

 5. changalamacho Says:

  Hapa Shehe wangu uongo mbaya, mmewaka kwa Ulabu au naongopa?Maana macho yako Mjengwa yanapiga indiketa mze! Nasikia Dar siku hizi wana Import Ulanzi toka Iringa, ni kweli hayo?

 6. michelle Says:

  Mi sijui simo wala sishiriki hiyo zambi wajomba

 7. Kamala Says:

  Kumbe wewe ndo paparazi wa Kikwete hahahahahaha.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s