BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

LADY JAYDEE NA MWENGE WA OLIMPIKI April, 15, 2008

Filed under: Burudani,Muziki,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 9:35 PM

Lady Jaydee, mwanamuziki nyota wa muziki wa kizazi kipya akiwa na mwenge wa Olimpiki wakati wa ukimbizwaji wa mwenge huo nchini Tanzania.

Advertisements
 

42 Responses to “LADY JAYDEE NA MWENGE WA OLIMPIKI”

 1. Edwin Ndaki Says:

  Jay Dee,Wallet,Komando na majina mengineyo.

  Hongera kwa kukimbiza mwenge wa TIBET..noo i mean mwenge wa China..no yaani mwenge wa HOLLY YA PINK…mmh..Olimpiki.

  Ninacho hofia leo hapa..watu badala ya kuchangia mwenge, aaaa haaa ..itakuwa kuchangia kuhusu “USAFIRI” yaani ze mguu mi simo.

  siku njema wazalendo.

  Tutafika tu

 2. Matty Says:

  Mh!shost siku nyingine uvae suruali maana kimini not reachable kabisa, sorry kama nakuingilia maungoni ila ukweli ndo huo.

 3. Chris Says:

  Didn’t knew that she gotta chicken-legs….

 4. any Says:

  She is perfect, She got perfect legs for her body, kama ameweza kusimama na miguu hiyo hiyo then miguu iko poa, imara enough to carry her whole body, ana mwili mdogo so what akiwa na miguu midogo! mlitaka na kaumbo kale awe na miguu ya tembo! mwacheni mdada wa watu! Mnamsakama, sura, nyumba, sijui mavazi ooh mtoto, sasa mmehamia miguuni, Mpeni break mama wa watu, ANAJIHESHIMU SANA! THATS A GOOD THING! mpeni credit

 5. baker Says:

  Ebwana J.d hongera sana kwa kuwa mmojawapo wa wakimbizaji mwenge wa Olympiki ni ishara ya upendo na amani duniani.
  Big up dada etu kazi njema.

 6. fukara Says:

  Kila la kheri dada

 7. Amina Says:

  Hapa hasakamwi anaambiwa ukweli,kwani ukweli hautakiwi?na anajiheshimu sana kivipi?nyendo zake tunazijua toka zamani hadi sasa….kwa kuziki yupo juu ila siyo vitu vingine,na hakutakiwa kua na miguu ya tembo ila hata ukiwa mwembamba kuna vimiguu flani hivi vya mvuto mbona vipo..msije mkasema ohh wivu hatumuonei wivu mtu hapa

 8. Kekue Says:

  Hongera dada, Ndaki ulijuaje watu watazungumzia naniii…. tehe tehe!!!

 9. Chala Says:

  Hongera lakini mimi langu ni kwamba huo mwenge ulitakiwa kukimbizwa na wanamichezo sio wanamuziki kama wale wa kuogelea , wanariadha etc… lakini sie tumekwenda kinyume haileti maana sijui kama nimekosea wenzangu ila mimi nadhani ndio haswa ulikuwa wakati wa wanamichezo kushiriki sio wanamuziki….ila tunashukuru pia kwa upande mwingine umeonyesha ushirikiano umeshiriki laki bado swala linakuja wanamichezo wetu watajulikana vipi???? haya na TZ yetu ya Ubinafsi.

 10. tatu Says:

  NILIJUA TU HAPA ITAKUWA MASUALA YA KUMJADILI JIDE
  HIVI BAADHI YA WADAU MKOJE NYIE KHAH! YANI
  MNABORE KWA KWELI HIVI HUWA HAMSOMI KICHWA
  CHA HABARI MKAJUA KINAHUSU NINI?

  KIMEANDIKWA LADY JAYDEE NA MWENGE WA OLIMPIKI
  IMEANDIKWA UZURI KABISA NA HAIKUANDIKWA MIGUU YA JAYDEE WALA PICHA YA JAYDEE WALA SURA YA JAYDEE WALA NN?
  INSHORT NYIE MNAOJADIRI MIGUU YAKE KWANZA WEKENI MISURA YENU HAPA TUIONE PILI MVAE PENS AU MIN
  SKET TUWAONE NA NYIE SIO VIZURI WAPENDWA TUWE TUNACHANGIA AU KUJADIRI KUTOKANA NA BC
  ALIVYOANDIKA NA SIO TUNAIBUKA TU MWENYEZIMUNGU HAPENDI KABISA NAMNA HIYO WEWE UNAOJIONA
  UMEUMBWA NA GUU LA BIA MOLA HAKUKUKOSEA ANAJUA YEYE KWA NINI KAKUPA HIVYO NA JAYDEE PIA MOLA HAKUMKOSEA VILE VILE .

  JAYDEE MWAYA ACHANA NAO HAO WASIOJUA WANAANDIKA NN HONGERA SANA KUPATA NAFASI HIYO NAKUTAKIA KILA LA HERI.

 11. Lina Says:

  Jide hongera sana kwa kushiriki kukimbiza Mwenge wa Olympic. Hao wanaokusema pengine miguu yao kama ya Mbu na kama sio ya mbu basi ina Vigimbi. Mimi sioni ubaya wa miguu yako kwani kila mtu ameumbwa kwa jinsi yake. Na hao wanaosema hawana la kufikiri vichwani mwao. Wametegesha mijicho waone nani leo yuko waanze kumchambua. Hongera sana dada! Wewe ni Super Star tuuu hata waseme vipi.

 12. mimmy Says:

  Jide hongera kwa kupewa shavu mwanangu.

  vilevile mimi naipenda sana body yako, kwani iko bomba sana na miguu yako ni bomba tuuu kwani inaendeleana sawasawa na vody yako. ukivaa unapendeza.

  you are just WOW!

 13. sally Says:

  Hivi nyie watu mnanini nyie mnaanza kumkandia mwenzenu? whay don’t u talk about topic mmekaa miguu sijui nini mnaboa wajinga nyie mlimsema sana wakati ule kipanya kamuandika vibay PM sasa nyie mnaongea nini si yale yale mnaona mungu kakosea. Hasa wewe Amini, Matty, Chris point zenu zinakuwaga sio siku zote ngoja mzae wakwenu mtaona, manaona kama mzaa mnavyo muandika mtu lakini ndio imetoka kwenye mawazo yenu. Yani yuko bomba tu dada wa watu Big up J.D, achana na watoto hao wakikuwa wataacha

 14. Chris Says:

  Sally naona ww ndo kikua utaacha…. let truth be told and remain in those who dare remain truthful…. Ulio nao na unaoonyesha wewe ni unafiki tu… ukweli unaujua….

  Na kumbuka picha moja ni maneno 1000……

 15. any Says:

  kwa kweli sioni shida ya miguu yake maana inamtosha kwendea kazini na kurudi na hajaomba mtu ambebe mgongoni kisa miguu imeshindwa kazi. Lets be positive and discuss the topic kuliko kuchanja mbuga namna hii! jamani “HAMCHOKI”

 16. michelle Says:

  Hivi hapa tunatakiwa kuangalia tu picha, au pia tunatakiwa kutoa maoni? maana tukitoa maoni BC mnayabinya chini kwa chini vipi nini kinaendelea huko? maana huyu dada mi namfagilia sana hata ingawa siyo kwamba amekuwa mkali sana kwenye ulimwengu wa muziki ni wakawaida sana ila tu aliangukia wakati mzuri wa MEDIA, halafu akifanya mambo ambayo si mazuri lazima tumkanye kidogo.

 17. Subby Says:

  HUJAFA HUJAUMBIKA!

  ALIYEKUPA WEWE NDIYE ALIYEMNYIMA YEYE!

  MUNGU SI ATHUMANI WA KUMFANYIA MZAHA KWA VIUMBE ALIOUMBA. hebu umbeni wenu tuone? Japo wa kuzaa tu kwa kudura ya Mungu seuze wa kuumba!

  Tuache tabia ya kukosoa uumbaji wa Mungu, hujui kesho itakuwaje kwako!

  Sina la ziada leo!

  Hongera kwa kukimbiza mwenge wa Olimpiki Jide, na wanamichezo wote walioshiriki pamoja na wanamuziki waliowakilisha wenzao. Hapo walikuwa wanamichezo, wanamusic na wanamitindo kwa mchango wao katika jamii. Kuna siku hao wanamichezo wanaweza kumuita Jide kufanya show ya kuwachangishia pesa kwa ajili ya michezo na watanzania tumeanza lini kubaguana?

 18. marrianne Says:

  Hongera jd !!!!!achana na watu maana hawakosi la kusema!!!!!!

 19. any Says:

  michelle ni kipi alichokifanya kibaya ambacho mnatakiwa kumkanya kidogo, I hope hakiusiani na maumbile yake, au picha iliyowekwa apo. Kama ana issues zijadilini, lakini sio kuelekeza kwenye maumbile yake, ambayo kwangu mimi she is just fine.

 20. Amina Says:

  Sally unachokiongea hujui…eti tuzae wa kwetu tuone?mi mbona tayari nina mtoto na anaguu la bia we unataka kusema nini hapa?we siusifie kimpango wako

 21. Matty Says:

  Sally, punguza jazba rafiki unadhani kuna ubaya kama nikimwambia asivae kimini kutokana na umbile lake?haya nishasema na ujumbe umefika, ndo maana hata Stara Thomas sikumoja hapa tulisema anavaa kulingana na umbo lake au siyo jamani?

 22. solange Says:

  mie nakupendaga tu wew mdada yaani….vumilia mwayego maneno ya wanaadamu hayaishi, atleast we una maendeleo yako kimaisha sasa hao wenzangu na mie mhhh komplaini kibao hawana lolote,,,,kip it up my dia

 23. zama Says:

  (Yote mlosema mlotenda nasahau nasongambele magapi mlosema magapi mmeona ) nimewapa kipande kidogo sio maneno yangu ni jide lakini mumewe kampendea iyoiyo miguu ( mmesema sana amchoki) HONGERA SANA JIDE

 24. mbuche Says:

  hongera jay dee nakupendaga sana

 25. sally Says:

  Achana nao hao Jide Mwendo mdundo siku hazigandi watachoka hao kubwabwaja. Amina umesahau hujafa hujaumbika sikutakii mabaya lakini nimesema tu ule msemo wetu wa kiswahili. any way am done.
  Big up Jide

 26. Bigy Says:

  ni kweli kabisa.., kuona udhaifu ni rahisi kuliko kuona kilicho kizuri.
  Tunapohusudu vitu ambavyo hatukufanya bidii wala maarifa kuvipata ni sawa na kutukana ukunga uzazi ungalipo. Kuna mtu alichagua kuzaliwa alivyo?
  Hata hivyo kama una hakika utaendelea kuwa hivyo ulivyo hadi unakufa, basi ruksa kuwasema wenzio.
  Kama ukiwa na miguu minene huugui, hufi, hukosi hela, hupati ajali n.k.. basi naungana na mnaomkandia JD ambaye namwona yuko vizuri na hana tatizo. Yetu hatuyasemi tunasema ya wengine.Taratibu wangwana.

 27. Mswahilina Says:

  Lady Jay Dee, ‘SIKU HAZIGANDI’ dada yangu, Big up.

 28. Nina Says:

  Hey hey jamani hamchoki, huko kusema sijuwi miguu ya chiken au ya beer ni kukosa elimu na kukosa kutembea sehemu mbali mbali. Jamani mimi nilie huku London ndo ninaefaa kukuambieni nyinyi binadamu wa nyumbani kwetu mlivyo wajinga. Jambo la kwanza alie muumba ni Mungu na hajakosea lolote lile,la pili nguo hizo alizo zivaa hazijatengenezwa kwasababu ya watu wenye miguu minene na wala hazijaandikwa asivae mtu mwenye miguu myembamba,la tatu aibu noma JD ni msanii angelikuwa na aibu asinge panda stejini na kukuburudisheni kwa kazi yake na la mwisho anayo pesa ya kununuwa kinacho mfuraisha na kutakatisha moyo wake ladies and gentlemen tulieni nendeni shule pia tembeeni muione dunia na watu na vituu mnaniaibisha kwa kweli. Dada yangu heeeeee usiwe na complex kakupenda mumeo na miguu yako hadi kakuowa ayo ni maneno ya wa kosefu, pita pita watu wakuone. Big up komandoooooooooooooo……………..

 29. Gervas Says:

  Matty, Chris na Amina…..jamani inamaana kama una macho mabaya, inapofika wakati wa kupiga picha uvae miwani? acheni hizo jamani, Jide anajikubali na jinsi alivo, mkimkosoa nawashangaa kwani ni kosa lake kuwa hivo? au mnamkosoa muumba wake? hivi nyinyi mpo perfect kimaumbile? kama ni hivo basi hongereni sana. hizo pensi ni uniform ambapo kila aliyeshika mwenge ni lazima avae.

 30. Chris Says:

  Yuck! Nina unaonekana ni jinsi gani ulivyo limbukeni, kila mtu akisema yuko wapi mbona patakuwa hapatoshi humu BC… Eti London…. unajua kila mtu yuko wapi humu BC! Seems hata kama una elimu, kama ya sasa ningesema ya shule za kata…. Usianike pumba zako sehemu kama hii next time…..

  Gervas tofautisha kukosoa na kushangaa maumbile….. Jamani picha moja maneno buku….. Mtazamo wako unaweza kutofanana na wangu….

 31. Mama wa Kichaagg Says:

  Nicheke mie,

  Alijiandikia Leonard Da Vince siku nyingi “Where there is shouting there is no true knowledge”.

  Ukiona wee mara zote ni kumzungumzia bin adam mwenzio MAVAZI YAKE, MALI ZAKE, MAUMBILE YAKE tena kwa kumkandie, basi jipe maksi 100% kuwa wewe ni mjinga na huna ujuzi wowote kichwani mwako hata kama una madigrii 4!

  JD songa mbele dada na ukipata kabukta tinga mwanangu maana Mungu alipanga na akaamua uwe ulivyo.

  *FURAHIA UMBILE LAKO KAMA ULIVYO HATA KAMA HAWATAKI SHAURI YAO

 32. Amina Says:

  Chris mpashe huyo nina..akiwa london ndo anajua kila kitu hehehehe hoooi,tumetoa maoni hatujatukana hapa ndomana bc anayaweka hata sisi yawajinga!eti yeye yuko london makubw a haya tumeingiliwa,hivi we ulieenda shule ndo unaandika hivi?pumba

 33. Amina Says:

  Chris umenena

 34. trii Says:

  MLITAKA akimbie na gauni/khanga???hizo ndo nguo za sports.yeye kwake sio tatizo kwa nn kwako liwe tatizo PILI PILI usio ila yakwashanini????????

 35. Shuu Says:

  we mama wa kichaga ndo uanona umeongea hapo

 36. Chris Says:

  “Ukiona wee mara zote ni kumzungumzia bin adam mwenzio MAVAZI YAKE, MALI ZAKE, MAUMBILE YAKE tena kwa kumkandie, basi jipe maksi 100% kuwa wewe ni mjinga na huna ujuzi wowote kichwani mwako hata kama una madigrii 4!”

  Nime-quote kutoka kwenye statement yako Mama wa Kichagga… unaongelea na wewe kitu hiyo hiyo… so u-mjinga zaidi na usie na ujuzi zaidi nafikiri….

 37. Amina Says:

  Chris hehehehhe….tatizo la wabongo hawataki kuongea ukweli,ukweli wanaujua ila wanabaki nao moyoni kwani hawaoni hapo

 38. Mama wa Kichagga Says:

  Chris

  Hongera kwa kujipa asilimia 100%

 39. Mama wa Kichagga Says:

  Shuu,

  Kumbe na wewe umejipa 100%, pole nilikusahau

 40. Shuu Says:

  Mama wa kichaga unajifanya unapointi sana ila hamna kitu..nawewe upo kwenye mkumbo huo huo wa 100%

 41. janeth Says:

  u guys msiojua mnaloliongea miguu yenu yenyewe ni vituko unawish ungekuwa kama JDhamna lolote wajinga tu .

 42. shuu Says:

  he we janeth umefufukia wapi unafkiri atakuchukua kwenye video zake thubutu?


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s