BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

BALOZI OMBENI SEFUE April, 18, 2008

Filed under: Balozi,Serikali/Uongozi,Watanzania Kimataifa — bongocelebrity @ 8:56 PM

Pichani ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Ombeni Yohana Sefue(kulia) akiwa na Rais wa Marekani, George W.Bush. Hii ni wakati wa utambulisho wa Balozi Sefue kwa Rais Bush mwezi wa saba mwaka jana.

Tumeweka picha hii ili kukidhi haja ya baadhi yenu mliotuandikia kutaka kuanza kuwaona(japo kwa picha tu kupitia hapa) mabalozi wa Tanzania katika nchi mbalimbali ulimwenguni.Tumeitikia wito na tutafanya hivyo, mmoja baada ya mwingine.

Kabla ya kuhamishiwa Marekani, Balozi Sefue alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada.

Picha ya Ikulu Marekani.

Advertisements
 

6 Responses to “BALOZI OMBENI SEFUE”

 1. Simfukwe Says:

  Brilliant idea BC,
  Mimi nimeishi hapa US kwa miaka takribani kadhaa sasa na mpaka leo nilikuwa sijawahi kuona hata sura ya balozi wangu.Labda ushauri kidogo tu kwa balozi,pale ubalozini kwake kuna ukiritimba mkubwa mtu ukitaka ku-renew passport na hata kupata information zozote.Hata Rais JK akija hakuna hata system ya kutuarifu watanzania tuishio hapa japo tuwe aware kwamba rais wetu yupo.Tengeneza mambo hayo balozi.

 2. Bob Sankofa Says:

  Safi sana BC, unajua mabalozi wetu ndio marais wetu kule kwenye nchi wanazotuwakilisha sasa kukaa bilal kuwafahamu kwa kweli ni mbaya sana. Wazo safi sana hili BC, endeleeni kufanya mambo.

  Tuko pamoja sana.

 3. kino Says:

  ukweli ni kwamba, huyu jamaa mgeni bado us, kafanywa tu kuhamishwa ghafla na kikwete, uhamisho wa ghafla.

 4. Malenga Says:

  Simfukwe,usemyo ni dhahiri kwamba Wabongo popote tuwapo hatuachi kasumba haswa huo ukiritimba.Sio tu ku-renew pass bali,uwapo na shida au tatizo lolote ambalo litakufanya uende/ uonane na balozi wako,basi jiandae na kukutana na mambo usiyoyatarajia.

 5. kino Says:

  kweli kabisa usumbufu wa hali ya juu na kukatishwa tamaa, ili siku ingine usiwafwate kabisa. ndio tabia waliopandikiza kukatisha watu tamaa. watu wanaoshughulikia passports, karibu wengi walihangaishwa.

 6. mkereketwa Says:

  Nakubaliana na hapo juu, mawasiliano baina ya watanzania tuishio hapa washington na ubalozi wetu simzuri. Kuna mambo mengi sana yanatokea hapa kuhusu nchi yetu na most of the time hatuyajui (mfano; viongozi toka nyumbani wanakuja kupresent mada mbali mbali kwenye colleges). Najua tuna wanasheria, madaktari, manurse na researchers, engineers, college professors, wafanyabiashara na profession nyingine nyingi, ambapo kwa ushiriakiano wetu tungeweza kuleta maendeleo huko nyumbani. Kuna vitu vingi sana we can all do together, lakini hatuwezi kufanya hivi without togetherness. Some of us tumeacha mawasiliano yetu kweye jumuiya ya watanzania hapa mjini washington, ubalozini, lakini hakuna any information tunapewa. Labda ubalozi uwe na kipengele cha current issues in their website ili kiwe kinakuwa updated whenever there is any event ambayo inataka kuwashirikisha watanzania wa hapa D.C. This is justa suggestion!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s