BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

WANENGUAJI WA T-RESPECT April, 21, 2008

Filed under: Burudani,Muziki,Sanaa/Maonyesho,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 6:06 AM

Pichani ni wanenguaji wa Bendi ya T-Respect(zamani TOT Plus) iliyoundwa upya hivi sasa chini ya uongozi wa Ally Choki “Mzee wa Farasi”.

Advertisements
 

29 Responses to “WANENGUAJI WA T-RESPECT”

 1. sweetoh Says:

  Hakuna respect hapo ni udhalilishaji wa wanawake, mbona wanenguaji wanaume wanavaa kiheshma?

 2. TATU Says:

  T RESPECT NDIO HIYO MIE NILIJUA ITAKUWA INAFANA NA NA JINA LAKE KUMBE YALE YALE NDANI YA VICHUPI.

 3. Stambuli Says:

  Tamwa Mko wapi kila siku mnapiga kelele udhalilishaji wa Dada zetu,Huu sio udhalilishaji.Acheni unafiki.Kwa nini Wanaume wavae vizuri dada zetu wadhalilishwe kiasi hiki.

  Stambuli.

 4. Chris Says:

  full vitambiiiiiiiiiiiiiii………

 5. Kamanzi Says:

  Mi simooooo! Ingawa ukweli ni kwamba huu muziki ni wa kizwairwaa na kama wanautawala ni haki yao. Twanga na wengineo wanaiga tu ndio maana japo sijawahi kuingia maonyesho ya FM Academia au Acudo bado ninajua wako mbali zaidi ya wabongo kisebene maana mziki huu ni wao.

  Kama wao wasivyoweza kutushinda katika kuongea Kiswahili na kufanya ufisadi wa vijisenti, ndivyo na sisi hatuwawezi katika miziki yao.

  Wabongo turudi katika asili. Nasikia enzi za akina Mbaraka Mwishehe na Tabora Jazz wazairwaa walikuwa wanakopi nyimbo zetu leo sisi ndio tunakopi sasa hata kukopi tunaona uvivu tumeamua kwenda kuwaleta ili waimbe na kucheza wenyewe wakati vijana wetu ajira hazipatikani. Yaani ni ufisadi hadi kwenye muziki wa dansi. Tanzania aibu tupu kama unabisha jaribu kutafuta jema hata moja kama utalipata.

 6. baker Says:

  Ebwana ni full nawapa ma big up ya kutosha kwani ilo vazi halina kwere! ma miss wanavaa vichupi nyie mko poa ile k kweli kweli kateni mauno kinadada mko kwa kazi eti apo! msilale wa dada.Hiyo ni ajira tosha.

 7. nusrat Says:

  Sweetoh, kila siku tumechoka kusikia haya mambo ya udhalilishaji wa wanawake kwani wameshikiwa mtutu wa bunduki, hiyo ndio staili ya kazi zao inavyoruhusu.

 8. annie Says:

  Mhh jamani kweli hiyo ni bendi ya chama cha mapinduzi??? Chama kinachotakiwa kujenga maadili mema kwa watanzania??? Katika hali hiyo ya mavazi??? Nina wasiwasi????

 9. Subby Says:

  Jamani si kulitolewa amri na Baraza la Sanaa la Taifa kuhusu uvaaji wa stejini. Sasa hawa vipi tena bosi wao Mbunge kabisa anayeshiriki kutunga sheria.

  Jamani hawa si wako kazini hawa au zile sheria za mavazi kazini zinawahusu wanaofanya ofisi za serikali tuu! Basi wanawaonea wa maofini nao waruhusiwe kwenda na bukta kazini.

  Jamani hao watetezi wa wafanyakazi wako wapi si waajiriwa hawa?

  Na wale TGNP na Tamwa na Tawla wako wapi? Maana hao mabinti hizo nguo wanapewa na mwajiri wao sasa viweje huyo mwajiri awadhalilishe wafanyakazi wa kike kijinsia namna hiyo?

  Eti hiyo ndio respect? respect kumrespect nani?

  Sorry kama kuna atakayekuwa amekwazwa na maswali yangu lakini imagine huyo binti mwenye michoro tumboni ni binti yako wa kumzaa wa kwanza na hapo yuko kazini! Mungu apishie mbali!

 10. Gervas Says:

  Sweetoh, acha hizo, mbona wadada ndo wanamind kuchumpa kwa vipensi hivo. kwanza wamependeza afu wanavutia…viuno, viuno. wakivaa suti hata mauzo yatapungua, Hebu watizame wanaume wawili nyuma wako vifua wazi pia, nao ni udhalilishaji wa vidume sio? Kama ni udhalilishaji wa wanawake unafanywa na mashindano ya u-miss na vichupi vyao.

 11. fukara Says:

  Komba mwqiko naye arudi kunengua Ubunge hauwezi
  Na achimenengulew yake

 12. anon Says:

  hivi hawa mademu wa kibongo matumbo makubwa kwao ni kawaida?

 13. michelle Says:

  Mmmm kazi ipo matumbo makubwa sana hayo, na hizo sunglasses za nini tena, kulikuwa na jua usiku humo ndani ya hilo jengo au ni ulimbukeni tu?

 14. Kisu Kikali Says:

  Hapa wamechemsha! Tena aibu kweli !
  yaani bendi kama TOT inayomilikiwa na CCM
  inatoa ajira kwa wasichana wa nje,tena kunengua!?
  na kuacha wasichana wa nyumbani?!
  Hapa Ali Choki na John Komba wamechemsha

 15. Chala Says:

  mmmmhhh !!! haya weee wanaume wavae sawa wanawake wadhalilishwe ndio bendi hiyoooooo ati!! tena ya Chama Cha Mafisadi… mmmmmmhhhhhhh!!! haya.

 16. Matty Says:

  Mimi naona wamependeza tu ila hivyo vitambia vya ze laga sijui na hayo mazoezi haviishi tu?
  Michelle umenena mwanawane miwani ya jua usiku lol!!!!!!!!!!!au ndo ustar wenyewe?

 17. Twaha Figo A-City Says:

  Ebwana T-Respect tunawasubiri kwa hamu,matumaini yetu mtairudisha juu TOT ya zamani,aminia mzee wa farasi na squad yako.

 18. Gervas Says:

  Michelle, Matty….mwanamke tumbo bwana, mgongo eh?? kila kitu hihaa! thats Africa men!

 19. Mtukwao Says:

  Kila kazi ina vazi lake, na kila vazi lina mahala pake!!!!

  Wapo kazini na hilo ndo vazi lao. ndo maana wakina dada wahaogelei wakiwa wamejifunga kangha. ndo maana wanamama wakiwa labor hawavai nguo au hawachagui doctor yupi awazalishe!!!!!!!!!!!!

  Maadam hawajalazimishwa, then it’s up 2them!!!!!!! ilimradi 2 wasijikobowe kama wale wakina fulani………….

 20. zama Says:

  Wakivaa mabaibui viuno mtaonaje ? apo wapo kazini kila kazi ina sheria na kanuni zake siombaya kikumbwa kujieshimu mwenyewe unaweza kuvaa baibui matendo ovyoooooooooooooo

 21. Matty Says:

  Aaaaa wapi Gervas mwanamke tumbo la kawaida tu hata ukivaa top au nguo inayotaiti kiaina unavutia sio mtumbo tumbo tu wa kujitakia…mazoezi muhimu wakina dada/mama kwa kujiweka fit na kuweka shepu zetu fresh.

 22. any Says:

  nawasifu hawajajikoboa kama kande za upareni. hahaha

 23. Chala Says:

  hahahhaa mtukwao lakini hilo ni vazi la mazoezi au unaonaje? maana hata wewe tizama kwa makini pale gym Oilcom wapo wanaovaahivyo…. nadhani wangeangalia kitu tofauti kdg kama wameridhika na “stomach out” ila ni kweli hasa kila nguo inapahala pake…nashauri wangevaa za kupunguza ukali wa …. ni mtazamo tuu.

 24. Nina Says:

  full uzungu girlsssss……….kamueni kikweli maana watu wametowa hela zao kwa sababu hio.

 25. Jennas Says:

  Na nyinyi bwana,
  Udhalilishaji uko wapi sasa hapo
  wakati unaona hakuna hata body yakutia hamasa hapo
  Hivi wazaireee nao wanakuwaga na vitambi ama ni hizi ofa za msimu za mbege.

  Wenzenu wanavaa hivyo kupenda wenyewe wanakazi mbili hapo kujiadivataizi wenyewe na kazi yaunenguaji sasa huoni akivalishwa bazee hatopendezewa?

  Hivi mbona kina stara thomas wanavaa mabazee tunawasikia sauti na miili tunaona inavyoneng’eneka?

  Naombeni msibanie post yangu waungwana

 26. BLACKMANNEN Says:

  Duh, hiyo kali wangu “Jennas”!!!!

 27. mariam kabula Says:

  mbona hawana mvuto kabisa. we komba usitunzingue.

 28. mambo Says:

  Wanaharakati mpo wapi hiyo ndio gender balance and equity?


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s