BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

UNAMTAMBUA HUYU? April, 22, 2008

Filed under: Photography/Picha,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 9:49 PM

Unamtambua mrembo huyu?Ni nani na kazi yake ni nini?

Advertisements
 

47 Responses to “UNAMTAMBUA HUYU?”

 1. michelle Says:

  Mmmm huyu mrembo kazi kweli kweli!!!

 2. Mchome Says:

  Huyu ni Pauline Nzongo. Kazi yake ni Mwanamuziki.

 3. Mchome Says:

  Huyo hapo juu ni Pauline Nzongo ambaye kazi yake ni Muziki.

 4. jamal Says:

  pauline zongo!!!mwanamuziki!!dah nadhani siku hizi ni mama wa nyumbani zaidi….ha haha

 5. Haule Osmound Says:

  Habari za leo!

  Huyu ni Pauline Zong, na kazi yake ni mwanamuziki.

  Sauti yake ni Bombaaaaaaaa sanaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Bye

 6. MAKWINJA Says:

  Bila shaka yoyote, huyu ni Pauline Zongo; MWANAMUZIKI.

  Ana vipaji lukuki, ikiwa ni pamoja na kuimba na kupiga guiter: to mention a few.

 7. MAKWINJA Says:

  Pauline Zongo ni mwanamuziki ambaye amejaaliwa vipaji, kama vile kuimba, kupiga guitor n.k.

  Sijamsikia sana siku za karibuni; huenda ame-concentrate kulea mwanawe.

 8. Pearl Says:

  mrembo huyu anaitwa Pauline Zongo na ni mwanamuziki ambaye anajipigia gitaa akiwa anaimba na ameshirikishwa kwenye nyimbo na baadhi ya wasanii mfano GK kwenye nyimbo ya sister sister na nyinginezo.
  mi namfurahia tu huyu mwanadada,kazi nzuri.

 9. Chiddo Says:

  Huyu anaitwa Pauline Zongo alikuwa mwimbaji wa East Coast,halafu akahamia TOT.nasikia anakaa mitaa ya fao karibu na victoria na ana mtoto(tetesi)

 10. Mtukwao Says:

  mmhh mie simjui, but all I know she’s cuteeeeeeeeeeeeeeeeee!!

  Lookin’ good sis , keep the nature girl!!!!!!!!!!!!!!

 11. Belo Says:

  faraja kota

 12. mimmy Says:

  Huyu ni kimwana mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni pauline zongo. ni mwanamuziki wa bendi TOT aliyenzia kwenye muziki wa kizazi kipya.

  namkubali sana kwa sauti yake ila ajitahidi katika kupangailia pamba tu kama mwenzie lady jay dee.

  big up pauline

 13. solange Says:

  pauline zongo….duuu siku hizi kanenepa haswaaaaa

 14. Twaha Figo A-City Says:

  Paulin Zongo,mara ya mwisho alikuwa mwanamuziki wa bendi ya TOT,sasa sijui kama mpaka sasa bado yuko bendi hiyo maana toka alivyojifungu hajaonekana jukwaani.

 15. firidaus Says:

  Huyo paulin zongo ni mwana mziki wa kizazi kipya

 16. Liz Says:

  Ni Pauline Zongo, mwanamuziki. Nakumbuka alikuwa akiimbia bendi ya TOT, sijui kwa sasa kama bado anaimba au la, ninapenda anavyopiga gitaa.

 17. Komba .H Says:

  Huyu ni mwanadada anacharaza gita na si mwingine ni Paulin Zongo.Hongera Dada kwa kazi yako lakini sasa hatukusikii mbona kimya au ndio kimya kingi kina mshindo.

 18. ibrahim Says:

  josephine,msanii wa bongo flava.

 19. Kaka Poli Says:

  Huyu ni Pouline Zongo (mama nanihii….) Ni mwanamuziki aliyewahi kuimbia kundi la East Coast Team chini ya uongozi wa Gwamaka Kaihula na bemdi ya muziki wa dansi ya Tanzania One Theatre (T.O.T). Ni mcharazaji mzuri wa gitaa pia.

 20. Amina Says:

  huyu ni mwanamuziki Pauline zongo

 21. sweetoh Says:

  Pauline Zongo, Mwanamuziki.

 22. sally Says:

  Jamani mie simfahamu, msaada kwenye tuta

 23. Angeline Says:

  Pauline Zongo, Mwanamuziki….alikuwa kwa GK akaenda TOT. Kwasasa sijui yu wapi.

 24. Kekue Says:

  Pauline Zongo km cjakosea!!! mpiga gitaa mzuri sn huyu dada na anajiheshimu.

 25. baker Says:

  Duh kazi ipo ata simjui!! ila anaonekana ni mwanamke mwynye tabia nzuri si unaona yani ni mswahili alisi uso ata mavazi, sio kama wale wanawake wanao painting nyuso zao. Huyu uypo bomba figure na face asili ya mwanamke wa kia Africa. Big up dada yangu.

 26. Gervas Says:

  Easy..Bi kidude huyu

 27. Kamanzi Says:

  Sasa huyu anaweza kujiita mwanamuziki na sababu ni dhahiri. Kwanza anaweza kutunga nyimbo hata kama sio nyingi ila anaweza. Pili anaweza kupiga gitaa tena kwa ufasaha mno. Tatu anaweza kufanya vyote hapo juu kwa wakati mmoja yaani kuimba na kupiga gitaa kwa mpigo. Sasa acha nichombeze kidogo kuanzia namba nne.

  Nne hajichubui. Tano sio msagaji. Sita kasoma kwa kiasi chake tena Ufaransa. Saba nyumba anayoishi inatisha kwa viwango. Nane muziki sio jambo pekee analolitegemea na ndio maana yupo likizo ya kimuziki sasa. Tisa hakuna hata siku moja akakutwa na kashfa kama za ngono nakadhalika. Kumi havai vinguo vya kujizalilisha. Zongo unafaa kwenye jamii.

 28. pyupyu Says:

  tulipokutana sote tulifurahia,tuliahidiana kuishi sote pamoja,tutusikilize maneno ya watu………

  Sikiliza gitaa lake kwenye wimbo wa unanitega wa mwanaFA.

  Huyo ndo Pauline Zongo mwanamuziki mwenye sauti tamu ila nahisi hatilii sana maanani sanaa hii.
  Labda majukumu.

 29. Amina Says:

  kamanzi naungana nawewe kabsa..manake unaweza ukawa umefanikiwa kimziki lakini sifa za mwanamuziki huna wa kiafrika huna,mikashfa,nguo za ajabu nk lakini huyu demu kasimama

 30. TATU Says:

  Pouline mwana wa Zongo mwanamuziki wa kizazi hiki cha sasa/wanakiita kipyaaaaaaaaaaa napenda anavyopiga gitaaaaaaaaaa we acha 2 wanawake tunaweza bana haswa tukiwezeshwa.

 31. Chala Says:

  Kamanzi nakuunga mkono!!!!!!!!!!!!!!

 32. Jennas Says:

  HE mbona kanenepa hivi jamani ila poa kabisa anaonyesha uhalisia wa mama africa.

  Pauline zongo binti naniiii

  Jamani za macku

 33. roder Says:

  huyo ni mwanadada pauline zongo.i like her dress

 34. roder Says:

  kapendeza sana,thats how african women suppose 2 wear.big up sister.

 35. pyupyu Says:

  mmmh! Tatu ndugu yangu hii tabia ya kusubiri wanawake wawezeshwe ndo inapelekea mambo mabaya yafanyike.
  Huu si wakati wakusubiri tena kuwezeshwa,simama kwa miguu yako mwenyewe ujiwezeshe.
  Vinginevyo utaendelea kutumiwa hadi mwisho ama umsubiri huyo wa kukuwezesha na asitokee.

 36. hombiz Says:

  kinda qute!

 37. Huyu nani Says:

  ah nyote mmechemsha. Huyu anaitwa Kalapina wa Kikosi cha mizinga.

 38. grmavura Says:

  duuh yaani huyo dada angecheka tu kidogo tukaona mwanya tungejua ni nani kwa urahisi, lakini sasa inabidi tukadirie tu kuwa ni pouline zongo

 39. Dedox Says:

  Paulin Zongo, anavipaji lukuki na anajiheshimu ucbonyeze!

 40. Haule Osmound Says:

  ni Pauline Zongo !!!!

  ni bonge la mwanamuziki, namfagilia sanaaaaaaaaaaaaaa

  big up sister

 41. rachel Says:

  pauline zongo uyo ila siku hizi amekuwa kibonge sana namshauri afanye mazoezi kidogo kwani unene sio issue kwa wanamuzi

  be goo dbaby ni mtazaamo tuuu

 42. godliving raymond Says:

  huyu ni PAULINE ZONGO. Nakumbuka sana enzi zake hasa akiwa EAST COAST TEAM na TOT BAND

 43. J.J Says:

  huyo ni Pauline zongo na kazi yake ni mziki

 44. Hole filler Says:

  not well known, dont have idea , but african beauty she posses Tyra Banks, Naomi Campbell, Jane Jackson hawaoni ndani lol

 45. demetria Says:

  Kweli huyu dada enzi hizo kabla hajaamua kuitwa mama alikua anatisha zaidi ya sasa…..

 46. demetria Says:

  Alikuwa mwanamziki mzuri tu na anasauti nyororo sana katika kuimba kwake…..

 47. hans Says:

  huyu ni paulin zongo, alieshirikishwa na gk katika sista sista


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s