BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

BALOZI MWANAIDI SINARE MAAJAR May, 6, 2008

Pichani ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Balozi Mwanaidi Sinare Maajar.Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza kwa kushirikiana na Jumuiya ya Watanzania nchini humo,hivi karibuni uliandaa mkutano/au kongamano lililoitwa Tanzania Diaspora jambo ambalo limechukuliwa na wengi kama mfano wa kuigwa na balozi zingine za Tanzania duniani.

Tovuti ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza unaweza kuitembelea kwa kubonyeza hapa.

Picha kwa hisani ya TanzaniaOne UK

Advertisements
 

38 Responses to “BALOZI MWANAIDI SINARE MAAJAR”

 1. Renee Says:

  Great job mama balozi and your team!
  It’s a high time Tanzanian embassies represent it’s people and not just names!

  Asante sana BC.

 2. any Says:

  Anachapa kazi, ila naona kama ni mwanaccm badala ya balozi wa watanzania wote, kutwa yuko kwenye ufunguzi wa matawi huko London.

 3. binti-mzuri Says:

  mkutano ulisaidia sana ule..nilikuepo..big up mama sinare..afu ana shepu balaa huyu mama!..aka mama shose!

 4. Chris Says:

  Mmmmh Binti_mzuri, kwahiyo umekubali na uzuri wako wa kibinti lkn humfikii kwa shape?

  Nakubaliana na ANY kwamba ni mchapakazi, ila U-CCM unataka kumzidi… but hope hauingiliani na wa itikadi zingine…

  Hv The Netherlands kuna kuna balozi??????? Kumedorora huku!

 5. trii Says:

  jamani waturahisishie upataji wa visa za uk,plzz kama kuna mtu anajua jinsi ya kunisaidia contact za huyu mama ningefurahi.au BC saidia plzz.

 6. binti-mzuri Says:

  trii hapo juu,mrahisishiwe nini?kama huna qualifications rafiki yangu nchi yeyote utapigwa chini-iwe kusoma au kufanya kazi.kwanza watu wengi huku UK hohehahe,nasikia US pia..hamna wanalolifanya huku,wanakuja kwa gia za kusoma ila wanakuja kufanya tu trouble huku,visa hamrinyuu,mnazamia..siwalaumu kwa kuwa na restrictions kali.nilikuaga nalalamika zamani,ila baada ya kujionea,naona bora hata waziongezee ugumu ili watu wawe serious na wanalokuja kulifanya huku

  chris- huyu mama uzuri anao,kizuri chasifiwa….

 7. any Says:

  Wee binti mzuri, mambo vipi, yaani baada ya wewe kuja hutaki na wenzako waje, selfish,
  mwenzetu apo juu kauliza contact za balozi awasiliane nae. Huenda ana qualifications ila hajui where to start. Anahitaji mwanga wa jinsi ya kujaza form na mambo muhimu ya kuzingatia kabla hujatupa pesa zako za application fee, unakuta hujajaza information muhimu. Kuwa negative hakusaidii, wangapi nyumbani wana qualifications zote lakini hawana mwanga wa jinsi ya kufanya! balozi atakuwa na msaada kwake kama alivoamua kumtaka yeye aongee nae, on how to go through. Mwache na yeye abahatishe bahati yake, na sio kuwakatisha tamaa.

 8. The king Says:

  Mama jitahid sana lakini achana na siasa kumbuka huko ni ugenini au unataka cheo hime ? utaweza?

 9. trii Says:

  ANY —thanks,achane na huyo mwenye kijamba cha roho(Binti-mzuri/MBAYA)usilolijua litakusumbua,wewe haujui what i need if u dont want to help me plzz shut up!!!!plz NAY help me with the contacts if u know.

 10. binti-mzuri Says:

  any

  why your calling me selfish,i would never know. sijamkatisha tamaa, wala nini, nimesema the obvious. nimesema: nanukuu ”kama huna qualifications rafiki yangu nchi yeyote utapigwa chini-iwe kusoma au kufanya kazi” sasa hapo unavyosema labda qualifications anazo etc etc mimi hayo hayanihusu,ila taratibu za kuapply ndizo hivyo,hata akiwasiliana na mama sinare,i doubt she’ll get much help..akichukua application forms pale ubalozi wa UK bongo, afate maelezo,hata mbumbumbu atajua cha kuandika..complications wanazoongelea most of the times, ni vitu kama bank statement, barua kutoka shule etc ndio watu wanalalamika..ila nikiangalia in prospective ways,i dont blame why they are strict the way they are..kwasababu watu wengi wanakuja kufanya machafuzi huku…. its not healthy. njoo kwa means za maendeleo, not starehe za kijinga

 11. any Says:

  Binti Mzuri, haha, too judgemental for no reason. Kama hayakuhusu vipi unampa injili zisizo na kichwa wala miguu. The person just need contact, whether balozi can/cannot help is non of your business. Why do u think the trii want to go to UK for cosmetic reasons/starehe za kijinga? Do you know him/her personally hadi ukafikia that kind of conclusion? Kwani ungempa general information kama ulivosema apo juu like bank statement, barua ya shule, sponsors ukaishia apo ungepungukiwa nini? wewe kabla hujaenda nje ya nyumbani ulikuwa unajua yote hayo? si ulieleweshwa, au ulijua tu from nowhere. Eti mbumbumbu anaweza jaza hizo form, contradiction mama, maana mbumbu hawaitaji visa na kama ulivosema mwanzoni usipokuwa na qualification hupewi.
  Ndugu unaetaka kwenda UK, usikatishwe tamaa, just be yourself, apply na kama vipi utapata tu, na kama kuna mtu ambae ana idea on how to go kwa apo bongo ongea nao wakupe hints on what to do. hawa kina binti chaurembo waliopata hizo Visa hawakuwa from the Mars, na wewe utapata tu. Usiwasikilize hawa wanaofika huko na kuona wao walistahili sana, na wanaona wanaotaka kuja wanakuja kuchafua ni wivu tu hawana lolote. Siri ya ubalozi ni ukutane na nani na yuko kwenye mood gani. Kuna anaeenda anaulizwa maswali machache, na mwingine kidogo, na mwingine kama kila kitu kimejitosheleza kwenye form unaambiwa rudi saa nane ukachukue visa yako. So haitegemei how smart/dumb you are, saa ingine ni bahati. Nilienda embassy ya US apa Tz, zile interview zinavoendeshwa ni kudhalilishana tu, unaulizwa maswali kwenye tule turidrisha pale na watu wote kwenye viti wanaosubiria muda wao wanasikia unavojieleza and all that. Wengine hadi utawahurumia wanavojieleza, please sir trust me, please sir! eeh nilisikia vibaya siku hiyo mwanadada mmoja ananyimwa visa kwenda kumjoin mmewe kisa kajaza form zinajicontradict. Sasa apo kama angepata mtu wa kumwelekeza before huenda asingejichanganya, na sio wote wanaochanganya habari kuwa wanadanganya, wengine unakuta hawaelewi. Aah, apo unasubiria saa yako ifike unajiuliza napewa au sipewi, ukifika unaambiwa safari njema, rudi saa fulani uchukue VISA, na hamna maswali, sasa apo utasema nini? ni qualification? bahati au inategemea na umemkuta nani? Bint mzuri kama wewe umekulia kwenye familia yenye exposure usije generalize na kuona its that simple kwenda na kujaza form na kupewa tu, kwa wenzako ni kazi ya ziada.

 12. Amina Says:

  haya malizaneni wenyewe mlipo majuu sisi tunasoma tu..shushuaneni

 13. Ed Says:

  Total against kuhusu huyu balozi. Some of her comments are out of touch. I am glad sihishi UK, lakini ningekuwa na differ nae every morning. Ms Balozi is too political, and that turn me off 100%.

  Population ya Watanzania ndani ya UK ni more than 5,000, however Mh. Balozi ameshindwa kuorganize any smart movement ya kuwatambua watanzania waishio UK na qualifications zao. I still believe kwamba mabalozi wa Tanzania kwenye key countries wanaitaji international relation 101 course.

  NI shame kuona hakuna hata siku moja hawa balozi wakaandaa harambe ya kuchangia hata vitabu kwa shule za msingi nchini Tanzania. Wanachokalia wao ni kuwapaka matope Watanzania waishio nje, na kuwakata viongozi kuongea na watanzani sababu ya political reason zao.

  Balozi wa Tanzania hapa DC ndio the worse nightmare you don’t wanna come close to. Wanaleta politics zao za mtaa wa Congo kwenye nchi za watu. I think ni bora tuwe na balozi moja kwenye kila bara lather than spend tax payer money for nothing.

  sorry for being bitter, lakini i have bad experience na hawa mabalozi wote waliokuwa nje. I have been more than 5 countries and there is no difference kati ya balozi na balozi.

 14. trii Says:

  its true ANY visa hapa bongo its like BINGO/(bahati na sibu) u loose or win,tena siku hizi wala hawaku interview unless its something serious,ukifika pala una toa form,passport,hela+all documents u have,then wote mnaambiwa mrudi saa 8,mchana waanza kuwaita KIDIRISHANI unarudishiwa pport na kuambiwa SORRY YOUR VISA HAS BEEN REJECTED,una pewa karatasi yenye reasons,hamna kuuliza swali wala nn.bora face to face unaweza kujielezea.

  ANY thanks a ton,i will just go through it,God will guide me.

 15. binti-mzuri Says:

  we ANY y u decided to pick on ma comment,sielewi,and honestly speaking utaniwia radhi ila sijasoma hiyo risala yako,manake ni ndefu kuliko hotuba za Mkapa..muda huo sina..inaelekea umechukua time kutoa hasira zako zote za Salary advance kwangu!.. mpenz wangu,time ya kulumbana na watu dizaini yako sina. its a free world,every body is entitled to their own opinions..we toa yako,uende..mbona wengine wamesema waliyoyasema…we ndo winnie mandela unapigania haki au!?HAHA..whats funny is,wether trii gets the visa or not..hupati faida yoyote, ila umechukua muda kwenye lunch time yako,kuandika essay isiyo na marks!.la hashaa!!

  trii acha blaa-blaa… interview zipo, juzi tu mdogo wangu katoka kuchukua visa kapigwa maswali.. hela, hela kitu gani baana..unataka kusema unatoa hongo embassy!?…na kama ur application was unsuscessful,unapewa jibu asubuhi..wanaoitwa saa 8 ni wale waliofuzu… this procedures bado zipo..i know people wanaofanya kazi pale,na i get updated kwani kama nilivyosema,mdogo wangu katoka kuchukua visa juzi tu..hata ukimuombea MUNGU, kama huna qualifications au necessary documents, any country would turn u down..goodluck on that one!

 16. binti-mzuri Says:

  kaka ED i can see your point,ila i disagree ulivyosema: ‘I think ni bora tuwe na balozi moja kwenye kila bara lather than spend tax payer money for nothing.
  ‘… naona huyo mtu atakua na jukumu kubwa sana…bara moja lina nchi maybe lets say average 35 …. do u think its possible to cater to the needs of every tanzanian citizen in each country!?…lets say average number of tanzanians ni 100 in each country!?… those are just estimates,kwasababu we know population ya wabongo nje is higher than 100,na nchi ni zaidi ya 35… itakua vigumu sana!..

 17. salma Says:

  MH!!!!!!!!!!!!!! LANGU JICHO!!!!!!!!!!!!!!!!!

 18. Amina Says:

  haya malizaneni wenyewe mliopo majuu enhe tena..tunasubiri

 19. any Says:

  I am done with you binti mrembo, ambae unajua kuwa watu wanaenda Ulaya kwa starehe za kijinga ila wewe ndo unayeenda kwa sababu zinazoeleweka. “JUDGEMENTAL”, its also nice to hear that you are connected to the people who work kwenye hizi embassy! Good for you. Unajidai hujasoma nilichoandika, lakini from what i got from your comments, umeisoma yote!

 20. trii Says:

  weee soma uelewe sija sema hongo,kuna sehemu nime andika hongo au unamekengeza??? (visa fee).crazyyyyyy

 21. Ed Says:

  Binti-Mzuri, i know ni nguku kuwa na balozi moja kwa kila bara, lakini pia sioni umuhimu wa kuwa na balozi Belgium, England, Berlin na N.k. Hakuna takwimu yoyote inayoonyesha hawa mabalozi wameitangaza Tanzania kwenye anything.

  Kama huyu balozi Mwanaidi ndio out of touch. Wanaenjoy tax payer money tuu, wakati watanzania wanashindwa hata kupata dawa kwenye public hospital.

  I think hii tabia ya do nothing tumezaliwa nayo watanzania, yaani balozi zetu hazina tofauti na serikali yetu huko Tanzania. God help us.

  I can’t wait kusikia hizi balozi zimefungiliwa mbali

 22. mkereketwa Says:

  Jamani eeh mbona hamuwi specific? Mabalozi mnaowazungumzia ni wa miaka gani? hivi nyinyi mnatakwimu current za mambo mabalozi wanayoyafanya? Suala la Tourism and investment katika nyanja mbalimbali kutoka USA zilidouble and triple kipindi cha 1995 to 2002! Mimi nilisafiri kwenda bongo mwaka 2002 na nilisafiri na wamarekani toka USA kwenda KIA kupanda mlima kilimanjaro na kuona mbuga za wanyama, tulikuwa kama waafrika chini ya 20! Sullivan summit inafanyika Bongo mwaka huu, Tanzania ipo kwenye matangazo ya biashara hapa states so what are u guys talking about? Nilipokuja miaka ya 90’s nobody knows what the hell Tanzania is! Sasa hivi ukisema you are from Tanzania unaambiwa ooh Nyerere’s country? with beutiful mountains and animals. Please watu wa tourism hembu saidieni kidogo data za kazi za balozi zetu. Hoteli ngapi za kimataifa zimejengwa na investors from different countries? hii yote ni kazi za mabalozi zetu. Fananisha Bongo na nchi jirani (kenya, uganda, rwanda, burundi n.k.) we are steps ahead! Hili ndiyo tatizo la watanzania hawacomments with facts!

 23. binti-mzuri Says:

  mmmmmmmmh…msaada kwenye tuta PLEASE!

  ”Fananisha Bongo na nchi jirani (kenya, uganda, rwanda, burundi n.k.) we are steps ahead! Hili ndiyo tatizo la watanzania hawacomments with facts!” …. KENYA IS WAY AHEAD OF US,HATA MLIMA KILIMANJARO HALF OF THE WORLD THINK ITS IN KENYA!

 24. maryciana Says:

  Balozi Mwanaidi Sinare,Big up… msilaumu sana kwamba yeye ni mwana CCM, serikali yetu ni CCM, na mabalozi wote ni CCM. wanaendeleza vyama

 25. maryciana Says:

  CCM nambari waaniii!

 26. any Says:

  huku kuna watu wanajua kushadidia? kila kitu wanajua, balozi wanajua, globalization wamo, taarabu wamo, ngasuma wamo. Holly crap.

 27. mkereketwa Says:

  Wewe binti mzuri, nimekwambia wasiliana na tourism ya bongo watakwambia tofauti yetu na kenya na uganda. Wote hawatupati! Among all east african countries why was TANZANIA selected to host the sullivan summit? unaishi wapi?kama upo huku marekani basi ungejitahidi kuhudhuria sullivan award diner iliyofanyika wahington D.C na usikie kwa masikio yako mabalozi wote waliowahi kuserve Tanzania na nchi nyingi Africa zikiwemo Kenya na Uganda walivyoizungumzia bongo kwa uzuri na maendeleo! Au wewe ni mkenya? hata wakijaribu kuuiba mlima kilimanjaro hawatupati. Contact the embassie of Tanzania wakupe takwimu ya watalii tunmaopata na investors then compare with any east african countries na uniambie matokeao yako. Please use facts siyo kuwa mkosoaji bila vigezo!!!!!!!

 28. Ed Says:

  Mkereketwa, wewe unajua sana hizi balozi? Sasa naomba uniambie kazi ya ile balozi yetu pale DC? Swala la Richmond wao ndio wametuingiza, wale macounselor kazi yao kwenda kulewa na kwenda gentleman clubs. Hakuna jipya wanalofanya, plz save that crap.

  Hakuna wanachofanya cha maana, kuna mwaka nilifiwa na ndugu zangu wawili, kupigiwa muhuri tuu kwenye passport walisema hawawezi kutuma kwa fedex, ili bidi maiti iachwe na ndege ili nisafiri kwenda DC.

  I hope kuna mwaka hizi balozi zintakuwa productive, kwa sasa ni msalaba tuu.

 29. binti-mzuri Says:

  we kaka mimi sio mkenya,ni mbongo halisi kwa mama baba,kaka dada hadi mashemejii.. kusema hivyo usidhanie coz i prefer kenya ama i love kenya,i only say that kwasababu thats the way it is. i hate to admit,kwamba hapa nilipo a FEW people know Tanzania,and its actually London,U.K .. every where you go, watu ukisema Tanzania wanasema oh near Kenya..i’ve been to a safari in Mombasa,au seen their mountain Kilimanjaro …. tatizo la Watanzania ni kwamba,tunakuwa wagumu kukubali ukweli halisi. we unaesema,tunapata watalii kuliko Kenya, hizo takwimu umezitoa wapi!?au that trip uliyokuja na watu kwenda Kilimanjaro!?…if u do,please give me the source. Tanzania,bado tupo nyuma sana kiutalii thats a Fact!!!…. mseme nashadadia,mglobalisar,au mwanachama,all i know is,i say nothing but the truth!

 30. binti-mzuri Says:

  sullivan summit nini bwana… its a thing to be proud of,because its not like Tanzania holds any big events frequently.. but its not the greatest thing in the world is it!?

 31. binti-mzuri Says:

  Ed toa seraaaaaa,toa seraaaaaaaaaaaa mpaka wagugumie!

 32. Amina Says:

  mi naona hapa bora nitoke maana sielewi,basi wakitia na vizungu ndo kabsaaaa

 33. mkereketwa Says:

  Binti mzuri! Labda unakaa shamba ya U.K. Please, Nimekwambia wasiliana na balozi zako wana up to date ya wataliii na investors wanaotembelea Tanzania. CHECK NA U.K., USA, GERMANY AND OTHER EUROPEAN COUNTRIES. I’M NOT SURE UNAINTARACT NA WATU WA LEVEL GANI!! SASA TUNA COMMERCIAL YA ONLY TANZANIA INATEMEMBEA KWENYE TV ZA MAREKANI. HIVYO IT DEPENDS NA WATU UNAOONGEA NAO, I’M TALKING ABOUT INTERLECTUALLS! WATU WENYE ELIMU NA WALIOTEMBEA NA KUIONA DUNIA SIYO WALE WALIOISHIA KUOSHA USO U.K. you need to make use of internet badala ya kutype ukosoaji usio na base check the records you can google tanzania embassy in foreign countries and make your inquiry you will get the answer to your questions!

 34. any Says:

  wee uko upande upi? naona kama unafagilia mambo ya balozi wa UK, at the same time unamsifia one of the members anaesema balozi hazifanyi kazi! ama kweli mdundiko, unafuata tu mlio wa ngoma na kucheza hata kama hujui kinachoimbwa, haaa, am out of here.
  amina unafurahia eeh! huelewi nini sasa?

 35. mkereketwa Says:

  O.K. Waosha vinywa nimewafanyia kazi, type this in your browser, http://www.weforum.org/en/media/Latest%20Press%20Releases/Tourismpressrelease, then scroll it down and select “Download the full Travel & Tourism Index Rankings” in the world siyo barani africa na vigezo vyake Tanzania tupo namba 87 na kenya wako 101. This is what Iam talking about. Hizi blog ukisoma wachangiaji wengi huwa ni wakosoaji bila ya kufanya utafiti wa jambo. Kabla hujachangia mada please fanya utafiti wa kina siku hizi kuna mitandao kibao with the published cuurent and realiable info! Umeuliza source this is one of the sources, ziko kibao mtandaoni.

 36. binti-mzuri Says:

  thanx for the source 😉

 37. walikh Says:

  hana lolote ni mtaka misifa tu anashindia kfungua matawi ya CCM tu UK nzima hiyo si sahihi hata kidogo huwezi kufungua chama cha siasa ugenini, naona ana maono ya mbali utasikia ni mbunge tena waziri, kalagabao

 38. salamu Says:

  Binti mzuri, mama balozi si ..aka Mama Shose, kama hujui uliza mpendwa.

  Huyo ni mama wa Gigi na Zena na ni auntie wa Shose


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s