BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

SEBASTIAN NDEGE May, 13, 2008

Filed under: Uncategorized,Watangazaji — bongocelebrity @ 4:41 PM

Kwa wengi,jina la Sebastian Ndege sio geni.Huyu ni miongoni mwa watangazaji wa radio nchini Tanzania ambao waliwahi kujizolea sifa kemkem kutokana na utendaji wao wa kazi.Kipindi alichowahi kukiendesha(akiwa mwanzilishi) kinaitwa Njia Panda ambacho hurushwa na Radio ya Clouds FM.Leo hii hatangazi tena lakini kwa wengi anabakia kuwa “Mzee wa Njia Panda”.

Advertisements
 

33 Responses to “SEBASTIAN NDEGE”

 1. DUNDA GALDEN Says:

  Ongera BC nilikuwa nalisikia hilojina mda mrefu kule bongo
  mda mwengine pia kusikiliza kipindi cha njia panda (H I V)

 2. Edwin Ndaki Says:

  Namkubali sana mzee wa njia panda.

  Hususani kuna tukio la dada mmoja anaitwa Leah..alimsaidia sana sana sauti yake ikasikika lakini kwa bahati mbaya mudi si mrefu mauti yakamkuta.(RIP)

  Mchango wa Ndege kwenye jamii ya tanzania ni mkubwa sana.Nilikuwa mmoja wa watu walikuwa wasilikizaji sana wa kipindi chake.Ingawa tangu nije huku Tandaimba inakwa ngumu kukipata kipindi hicho.

  Kila la kheri kaka Ndege..Mola akuzidishie moyo wa kuwasaidia wenye shida.

  Tutafika tu

 3. Amina Says:

  mzee wa njia panda nakuaminia sana…..napenda kipindi chako ila siku hizi sikusikii umemuweka yule dogo mchaga!grate job

 4. binti-mzuri Says:

  edwin ndaki umenikumbusha mwanadada Leah..please do rest in peace,my sister. kipindi cha njia panda,kinasaidia sana aisee.. big up Mr. S Ndege

 5. mzee wa njiapanda Says:

  thank you,edwin,dunda ,amina and binti mzuri.inatia moyo kusoma such comments!hunisikii ni mihangaiko ya kuongeza elimu,lakini nipo,inshaalah soon i will be back on air!kwani njiapanda ni maisha yangu!thanks to all listnerners and fans.and to leah may the lord rest her soul in peace,im glad that she made an impact!much love and peace.bc great job!big up

 6. tish Says:

  sasa jamni seba mie sijui kithungu plz fafanua bas lugha ya taifa, kazi njema vipi au married au

 7. JJ Says:

  Kwa kweli Mzee wa Njia Panda namfeel sana kwa kazi zake. Kusema ukweli Kipindi chake kilikuwa ni taa. Namtakia kila la Kheri katika Masomo yake.

 8. Pearl Says:

  Seba,good job my friend,i just like you man.

 9. Ed Says:

  Jamani waandishi wa hii website kila siku napigishana kelele na nyinyi. Naomba mnapotaja watu wenye status fulani muwe mnatanguliza vyeo vyao. Huyu ni Dr Ndege, yaani mwisho wa jina lake ilibidi muandike S. Ndege M.D au Dr Sebastian Ndege.

  Plz, they guy worked hard to earn that status, just give to him. It doesn’t cost you guyz a penny.

 10. Edwin Ndaki Says:

  Mzee wa njia panda.

  Naomba kama utaweza kusoma ujumbe huu tafadhali tuwasiliane.Ukiclick jina langu utapa mail yangu.

  Kuna jambo inabidi tuongee chemba…lol..Kuhusu majukumu ya kusaidia na wenzangu walio njia panda.

  Natumaini tutawasiliana zaidi.

  Tutafika tu

 11. rachel Says:

  hello wadau
  mbona amjatuambia kwa sasa anafanya ninini uyo mzee wa njia panda? binafsi sijamsikia kipindi kirefu sana, nway natumai jibu nitapatiwa

  rachel

 12. Lina Says:

  Big up Mzee wa njia Panda (SEBA). Kipindi chako ulikimudu vizuri sana. Haswa enzi za Leah uliyateka masikio na hisia za kila msikilizaki wa kile kipindi. Yani umejaaliwa Sauti yenye mvuto wakati unapoendesha kipindi hata mtu unakua unatamani muda usiishe. Nilitamani siku moja nikuone Live na nilibahatika kukuona Pale Diamond Jubilee kwenye Send Off Party. Sina mengi ila nasikitika kwanini umeacha kutangaza kile kipindi. Kila la kheri bro!

 13. binti-mzuri Says:

  if you are married sebastian ndege, then your wife should be proud

  kuna watu wawili ninaowamaindi kichizi katika utangazaji..that is sebastian ndege and godwin gondwe

 14. mariam Says:

  nakufagilia sana kwa kazi nzuri unayoifanya, wengi wetu tunaangalia maisha yetu tu bila kujali wengine na tabu wanazozipata, inapendeza kwa kijana mtanashati, msomi kama wewe kujishusha na kuangalia shida za watu walio chini kimaisha… God bless u………..

 15. hsdfhsdfsdhf Says:

  hUYU kaka kumbe ndio handsome hivi…mtumeeeeeeeeeeee!!

 16. Pope Says:

  Unajua huyu bwana ukimuona unaweza kusema Brotherman fulani tuu ila binafsi nilisha guswa hasa na msaada wake pale Muhimbili ward ya watoto (2005) na alinisaidia sana, anyway kazi ya udaktari ni wito na Dr. Ndege nafikiri anaguswa na utashi wa kuitumikia jamii,
  Hongera kaka

 17. Mtango Says:

  Nakumbuka kipindi cha njia panda mkiwa na mzee Diggos aka Dibala. Mmesaidia sana kuelimisha jamii ingawa wengi wa wa Tz bado ni illitrety wanahitaji nguvu za ziada kuelewa despite of the poverty.
  Hongera sana Mzee wa njia panda with your Good Progressives determinations.

 18. JJ Morogoro Says:

  Jamani Seba ameona tena ana mke mrembo na ni Daktari kama yeye upo hapo Binti Mzuri

  Kwa sasa Seba yupo Masomoni anasaka nondo zaidi Rachel upo hapo

 19. Ngosha-ombasa Says:

  Binti-Mzuri, Double G, Godwin Gondwe naye ameoa mwaka huu…

 20. Amy Says:

  …wanaume wazuri wote wameoa, tena wake zako wamefanya extra effort to make them look great, so nashauri usipende tu…nenda kampendezeshe wako!

 21. mzee wa njiapanda Says:

  thanks to all of you once again,tish naweka kizungu kwa msisitizo,rachel now masoma hapo ifm,pia nina shughuli zangu binafsi za kijasiliamali.edwin,notakucheki on your mail then!pope;yaani sikumbuki kuhusumuhmbili, ihope mtoto now amekua sana,thanks thou;jj,mtango,marium,binti mzuri,lina..asanteni.mariam thx.ed naonaumemaindi mambo ya title,muhimu ni utu wako na faida kwa jamii,unaweza kuwa na title kubwa ya kielimu au kisiasa lakini hauna faida kwa jamii…so i dont mind wakitumia mr.au dr.

 22. binti fulani Says:

  Wow…….Umekuwa mkaka!!!!!! Hongera sana Dr. Ndege.

 23. frank Says:

  Tafadhali kipindi cha njia panda pale radio Clauds kilianzishwa na Taji Liundi na sio Sebastian Ndege REKEBISHA…………..

 24. mjombaa Says:

  Bwana sebastian Ndege, hongera sana kwa kazi yako nzuri unayoifanya kwa jamii yetu hii ya kitanzania..kumbuka mambo yote mazuri uyafanyao kwa watanzania wenzako mungu hukuongezea baraka tele zisizo na idadi…mungu akubariki nimeguswa sana na vipindi vyako ambavyo vingi vimelnga kusaidia watu wenye matatizo katika jamamii yetu ambayo ndio wengi…ni wengi wenye uwezo lakini hawana utu..this is a big challenge.. Ni aibu kuishi ukiwa tajiri(wamawazo au Mali) lakini wakuzungukao ni maskini na wenyematatizo ya kutupwa… big up..keep in touch…in this we can speak a one language.

  K

 25. binti-mzuri Says:

  DAH ASANTENI WAUNGWANA .. ILA NIMEULIZA TU,SIO KWAMBA NAMTAKA 😉

 26. maryciana Says:

  BINTI-MZURI KUMRADHI,SASA UMEULIZA ILI IWEJE??

 27. tish Says:

  haya bas mie namtaka kiukweli seba tuwasiliane bas

 28. Mimi Says:

  What ever happened to Roots and Shoots, Seba???!!!

 29. joe Says:

  Helo boy umeenda wapi?Pls sema bro.
  kwema lakini……?

 30. binti-mzuri Says:

  maryciana we mwenyewe unaniuliza ili IWEJE!?!?!?!

 31. Amy Says:

  …mbongo ukimuuliza swali anajibu swali, sasa kazi kwako Maryciana na binti mzuri!

 32. binti-mzuri Says:

  we amy,mambo vp mpenzii… sasa we eti ni mzungu?mi mbongo ati

  ivi ‘mimi’ roots and shoots ilikua sio yule mama mzungu,anaependa kucheza cheza na nyani?mrs jane goodall or something?

 33. mama pinnoh Says:

  KWA KWELI KIPINDI CHAKO KILIKUWA BOMBA ILIKUWA HUWEZI KIKOSA NAPIA CLAUDS ILIKUWA INAPATA WASIKILIZAJI KIBAO WARIKA ZOTE BIG UP MZEE UENDELEZE GURUDUMU HILO ISIWE NDO MWISHO TUNAKUKUBALI


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s