BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

PICHA YA WIKI # 19 May, 17, 2008

Sifa moja ya miji mingi mikubwa duniani huwa ni pamoja na kuwa na majengo,ma-sanamu au kitu kingine chochote kikubwa ambacho hutumiwa kama kitambulisho au alama rasmi ya jiji husika.Kwa jiji la London lililopo nchini Uingereza, Tower Bridge(pichani) ni mojawapo ya “landmark” muhimu za jiji hilo.

Unaweza kusoma kuhusu historia ya Tower Bridge kwa kubonyeza hapa.Lakini wengi nadhani tungependa zaidi kusikia kutoka kwa wenzetu wanaoishi London au nchini Uingereza kuhusu umuhimu wa Tower Bridge kwa jiji la London.Tunakaribisha pia picha kama hizi kutoka katika majiji mengine duniani ambako tuna hakika watanzania wametapakaa huko.Hii yote ni katika kusaidiana katika kufunguana macho.Na je kwa jiji letu la Dar-es-salaam,tunaweza kusema “Askari Monument” ndio kitambulisho chetu rasmi?

Advertisements
 

9 Responses to “PICHA YA WIKI # 19”

 1. Alikuniki Says:

  Picha inapendeza
  mwenyekiti je tunaweza
  kukutumia picha?nzuri na za matukio
  lengo kuelimisha jamii au kuona yaliojili

 2. Editor Says:

  Alikuniki,
  Bila shaka kabisa.Kama una picha unaweza kututumia kwa kutumia bongocelebrity at gmail dot com.Ahsante.

 3. Ed Says:

  Sanamu wa askari pale posta mpya hana hata taa. Nadhani labda daraja la manzese.

 4. Amina Says:

  hihihihihihihihi Ed usinichekeshe

 5. Alikuniki Says:

  Sawa hamna tabu ahsante

 6. Gervas Says:

  Nikuupromoti tu Mlima Kilimanjaro, ndo kitambulisho cha Tanzania ambacho ni unique, ngorongoro crater n.k. kama ni kuitambulisha Dar basi tupige picha ya twin towers Bank kuu ikiambatanishwa na picha za mafisadi wote wa EPA.

 7. trii Says:

  duuuu daraja kama hili lingejegwa pale kigamboni/ferry mmmmmmmm.sio kubwa hivyo najua cost zake c mchezo at least something similar.

 8. sponge bob squire pants Says:

  Hili daraja huwa linafunguka kama Meli ikiwa inapita

 9. binti-mzuri Says:

  mh sponge bob squire pants we know jamani!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s