BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

OLD SCHOOL PARTY IN COLUMBUS,OHIO! May, 25, 2008

Filed under: Burudani,Muziki,Tangazo/Matangazo,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 2:30 PM

Je unakumbuka enzi zile disco lilipokuwa disco?Kama jibu ni ndio,basi mwaka huu utapata nafasi ya kurudisha saa na tarehe nyuma mpaka enzi zile ulipokuwa ukiyaruka majoka mpaka asubuhi.Kazi kwako.Usikose.Tizama kwa makini tangazo hili hapa chini.Kwa habari zaidi tembelea tovuti maalumu kwa ajili ya party hii ya mwaka kwa kubonyeza hapa.

Advertisements
 

2 Responses to “OLD SCHOOL PARTY IN COLUMBUS,OHIO!”

 1. Pishu Says:

  Eh, watu wa maraha!!!
  Wat a better way to go back in time than doing it with Boniluv?
  Yaani nakumbuka enzi zetu za Twiga, New Africa, Pool Side… oh!
  Vipi jamani Bluepalms bado ipo? I miss saturdays at home tunajirusha tu na mamgoma ya zamani

 2. ranga lirai Says:

  Huyu dj wa UK ni Pailonga nini? Parti itachosha hasa.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s