BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

MISS UNIVERSE 2007 NA DR.MIGIRO May, 26, 2008

Filed under: Fashion,Uncategorized,Urembo — bongocelebrity @ 4:37 PM

Pichani ni Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Dr.Rose Asha Migiro(katikati) alipokutana na Miss Universe 2007, Riyo Mori(kushoto) jijini New York mwezi uliopita.Mwingine katika picha(kulia) ni Mwakilishi Maalumu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Mazingira (UNEP),Tokiko Kato.

 

Nchini Tanzania,maandalizi ya shindano la kumtafuta mrithi wa Flaviana Matata(Miss Universe Tanzania 2007) yanaendelea vizuri kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na kampuni ya Compass Communications ambao ndio waandaji wa shindano hilo kwa upande wa Tanzania.Nani atamrithi Flaviana?Ni suala la kusubiri na kuona.

UN Photo/Paulo Filgueiras

 

Advertisements
 

8 Responses to “MISS UNIVERSE 2007 NA DR.MIGIRO”

 1. TRII Says:

  BC tuleteeni picha za hao ma miss (tz) universe ili tuwape kura zetu.

 2. binti-mzuri Says:

  mama migiro yuko juuu,juuu,juuu zaidi!

 3. Ms Bennett Says:

  mama migiro kanenepa sana jamani ule mwili wake aliotoka nao tz umeisha,cheo kizuri duh.

 4. any Says:

  amezeheka majukumu yanakaribisha uzee.

 5. binti-mzuri Says:

  mi mwenzenu eti naona kama hajabadilika.lol.sema tu kanenepa kiduchu

 6. Queen Says:

  Mama Migiro mwaaaaa,kapendeza amengaa kweli jamani pesa tamu na mazingira ya huko majuu yamemkubali,ila pia ni muhimu nigusie kwamba pamoja na mazingira mama huyu ana mvuto na akivaa nguo anapendeza.Kuna mama amewahi kuwa ktk nafasi hapa nchini lakini hakuwahi kupendeza hata,jina namhifadhi mama huyo aliweka kila style ya nywele hakuvutia,akakata nywele wapi,akivaa suti wapi,akivaa kitenge wapi,sura pia ilikuwa haina mvuto,haya ni maoni yangu tu

 7. any Says:

  wee queen, umeweka wasifu hadi tumemjua ni nani! ila nae huyo hajatofautiana sana na mama Migiro, just my opinion

 8. any Says:

  sema hajabadilika sana. Ukisema hajabadilika ila kanenepa kiduchu, apo tayari kashabadilika. au ni zile za kupinga kila kitu!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s