BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

WANAWANIA TAJI LA MISS UNIVERSE TANZANIA ’08 May, 27, 2008

Filed under: Fashion,Sanaa/Maonyesho,Urembo,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 7:11 PM

Pichani ni washiriki wa shindano la urembo la Miss Universe Tanzania 2008, wakiwa katika picha wakati wa uzinduzi wa kambi kwenye Hoteli ya Belinda, Kunduchi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam hapo jana Mei 26,2008. Shindano hilo linatarajiwa kufanyika keshokutwa kwenye Hoteli ya Movenpick Royal Palm jijini Dar-es-salaam.

Photo/Msimbe Lukwangule

Advertisements
 

33 Responses to “WANAWANIA TAJI LA MISS UNIVERSE TANZANIA ’08”

 1. michelle Says:

  Wamechoka, hamna kitu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

 2. Pearl Says:

  haya naona jamila ameamua kushiriki tena huku baada ya kushindwa face of tz. that is the good spirit of not giving up,go girl i am behind you.
  ila uache kujishaua hope umejifunza sasa pia dont under estimate wenzako. otherwise mi nawatakia mafanikio mema vimwana wote hao.

 3. Albert Says:

  wasichana hawa wana umri gani angalie sana Tanzania wenenu wanalipa harama kubwa ka madhara ya jamii zao kazikwenu

 4. Lizzy Says:

  mhh wadosi sasa wameasha ona ushindi kila mwaka watakuwa wanaingia kwenye mashindano ya uzuri tuone kwenye miss TZ watajitokeza hao si mchezo

 5. lola Says:

  Namuona Jamila hapo alieshiriki face of Tanzania na hakuingia top five au huku anajaribu bahati yake?
  Ila huwezi jua akawa Miss Universe Tanzania.
  Kila la heri

 6. trii Says:

  asante sana.

 7. DUNDA GALDEN Says:

  MABINT WA KIBONGO MNAPENDEZA KINOMA SAFI BC ANGALAU TUWE TUNAOSHA MACHO MAAANA NYUMBANI SI MCHEZO,LAKIN WAOSHA VINYWA LAZIMA WATAKASHIF AIDHA WOTE AU MMOJA KATI YAO.(W2 JUU NA CHI..KUSHOTO)
  CHAFOSA

 8. sasha Says:

  MBONA MSHINDI KUMPATA NI RAHISI 2 WA4 KUTOKA NYUMA KTK HUO MSTARI WA CHINI…WOTE WAPO POWA LAKINI HUO NI MTAZAMO WANGU MIMI….

 9. kimamy Says:

  jamani vimwana ndio hao.

 10. binti-mzuri Says:

  namuona mdogo wake richa pale(as in muhindi) au ni macho yangu yana upepe jamani!!?!?

  ila warembo..

 11. SANIA Says:

  Halafu we MICHELLEsijui ubwabwa uje uweke lipicha lako tukuone lisura lako linafananaje yani wewe kila kitu ni kuponda tu unabore sio siri umewachokesha wewe?wewe ndio umechoka.

  Jamila jaribu bahati yako mwayaha mko bomba sana watu wetu achana na hao wasiopiga miswaki midomo yao.

 12. Jennas Says:

  Huyo wa kwanza kulia mstari wa juu inaonekana ni mnene ila diet imefanya kazi, mikono inaonyesha cyo ya kimiss.

  Ila wametulia tafadhali naona kuna harufu ya kidosi hapo juu na ole wao wampe nataka wampe mtu mweusiiiiiiiiiiiii mwafrika asili niko hapo na mie. amina uko wapi?????????//

 13. jonas Says:

  JAMANI KILA NIKITAZAMA SIONI ATAKAYETOKA HII NAMAANISAHA YA KUWA KATIKA UCHAGUZI VIGEZO VIZINGATIWE NA RUSHWA IWEKWE PEMBENI.
  KWANI WOTE NI WAZURI NAAMINI YA KUWA MTALITANGAZA TAIFA KUPITIA SURA ZENU

 14. Chris Says:

  Upara unamaana atapata mafanikio ya aliepita au inakuaje? Wish them the best!

 15. Mnyalu Says:

  I see Alice Lupembe presenting the wanyalu..that’s whats up Alice.

 16. Vanessa Says:

  YAANI HUKO KWETU HIYO NCHI NZIMA HAMNA MWANAMKE AMBAYE ANAYEONEKANA HATA KIDOGO AKATUPA HATA TATU BORA ZA DUNIA JAMANI?

  EBU WACHENI MCHEZO JAMNI !!!!!

 17. DUNDA GALDEN Says:

  BC WIKIEND INAKARIBIA VIPI OMBI LETU?AU LIMEWEKWA PEMBENI NASI WAPENZI WAKUBWA WA BLOG YENU
  chafosa

 18. Bablii Says:

  ….wengine ndani ya jeans, wengine ndani ya skirt, wengine mini au magauni ya vitambaa vyepesi, mradi istihizai wanipore uhuru wanafsi….!

  Watoto wakibongo hakuna mchezo, kuna walatino, waafrika, na wasantadomingo….natumai sifunzi hasara ni hadithi ukishindwa inshaallah

  Kuna kifua kama cha ZeyB, kiuno kama cha Rayc, na pozi kama za Jay D, sauti kama ya Fina au labda ya Anti Ndina ipo njema, ma tabasamu kama binti Maumba wa Kino, msionizamu mtafanywa mupende ngono, “hold on”, kuna pozi za kimtoni kama Tausi Likokola unataka ni full bakora, mabinti ni ngali wana ng’ara, warefu, warembo kama twiga mithili ya Happy Magese, midomo kama Shose…..au ungependa kithethe kama Radhia, mimi kwa mabinti ni sahauliwe

  Kuna mabinti wako kamili kila idara, familia bora, akili zisizo lala,maumbo bomba na sura kuwapa ta ni full gospel, wao ni ajira na hawaitaji zaidi ya sera, kuna mitego ya kanga mambo ya kitanga, kama unajicho hii unapaswa uwe imeiona, michirizi ya utamu nyuma ya goti mi hoi..! Nna moyo hai sio “toy”…….!

  Wachumba wote mko pina, wote funga kazi hakuna, msiache washkaji wawafanye watumwa, nyie ndo mama, anaewaponda apate laana!

 19. Matty Says:

  Hala hala mwaka huu tupate mdosi tena maana majaji wanapenda kutupeleka sana.
  Warembo wazuri lakini bado hawajawa na confidence plsssssss wanatakiwa wapewe mazoezi ya kutosha na wajue jinsi ya kupoz.

 20. Chris Says:

  Babli nimekukubali! Jamaa alichana lkn hilo songi! Aiseeee Babli nakumbuka kuna kitabu fulani tuliongelega humu BC! Sijui ushakipata Mkubwa!

 21. Bablii Says:

  Chris;

  Kile kitabu bado Mkuu, s kuna jamaa anaenda likizo zenji akirudi atanipa jibu, nakumbuka sana. Ntakupa information tupo wote. Mzee hiyo mistari ya Mwana falsafa iko juu sana!

 22. Yassin Says:

  Huyo mstari wa chini wa tatu kutoka kushoto na yeye anashiriki anaweza kushindaaaaaaa swali hilo

 23. Msanii Says:

  Bablii kageuza msanii…umesahau huu msitari “mpasuo toka chini mpaka kando ya kiuno…” Aminia

 24. polisi Says:

  Kwa kweli kina dada mmependeza sana tuu.ila ningewaomba kwamba,kando na kwamba mashindano ni ya urembo,kuna vigezo vingine kaka SELF CONFIDENCE ambavyo ni muhimu sana katika mashindano haya unapokuwa ughaibuni ambako ndiko mshindi anapoenda,kushindania taji lengine ama kuwa balozi wa nchi ya tanzania.huku lughs ni kiingereza na sio kiswahili.Naomba tuifanyie kazi hii lugha kabla ya kweda mashindanoni,na kwa mshindi inabidi baada ya kushinda pia asione aibu kupata mtu wakumuweka sawa.tusije kukaaibisha nchi yetu huko kama tulivyozoea.

  Big up.

 25. kano Says:

  confidence muhimu, na jinsi pia aliyesema huwezi vaa jinsi mahali fulani nani, jinsi na khanga ni vazi la kawaida, tena inatakiwa kupromote khanga kwa sana tu, khanga oyeeeeeeeeeeeeeeee.

 26. nino Says:

  nakubaliana na annon wa hapo juu, mnatakiwa kujivunia khanga wasichana wa kitanzania, sasa nyie mtaanza kutangaza khanga lini? muwe mnapanda na khanga majukwaani pia, mbali na jinsi.

 27. jewel Says:

  mie nilimpenda wa kwanza juu kushoto mwenye mwanya

 28. bino Says:

  wasichana muwe mnajifunza na style mbali mbali za kupozi, ndio wenzenu wanafanya, sio kuwa na hizo hizo, jifunzeni style mbali mbali.

 29. maryciana Says:

  sasa aliekua miss ndio yuko wapi hapa?

 30. hombiz Says:

  good luckz

 31. esther Says:

  ukweli ni kwamba mashindano ya urembo ncini kwetu yanatofauti kubwa sana na zamani. yana hadhi ya juu tofauti na zamani. nawapongeza sana wale wote wanaojitokeza kushiriki japo watanzania huwa tunamatatizo ya kutosifia cha kwetu pale mtu anapoanza kufanikiwa, mara nyingi tunaopndana hasa sisi wasichana. walimponda sana richa lakini katika warembo wote ameitunza heshima ya taji lake kwakutokuwa na skendo za kijinga. nawapongeza viongozi na waandaaji wa urembo nchini. ongezeni bidii.

 32. sunshine Says:

  sikilizeni ma Bibi na Mabwna, hawa wakina dadaz wanatuabisha Mdaa mkubwa! Ati kazi kuiga western styles jamani nawaombeni mjifunze kurepresent Tanzania!!!! ndomana mnachekesha hapojuu. no offence.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s