BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

REHMTULLAH DURING TEMPTATIONS SHOW May, 29, 2008

Filed under: Fashion Designer,Sanaa/Maonyesho,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 3:58 PM

Mbunifu wa mitindo ya nguo anayekuja juu kwa kasi nchini Tanzania,Ally Rehmtullah,akipita jukwaani kuwasalimia na kuwashukuru watu mbalimbali waliohudhuria show yake iliyofanyikia katika Hoteli ya Kilimanjaro Kempiski jijini Dar-es-salaam wiki iliyopita.Rehmtullah aliita show yake Temptations.Kwa habari zake zaidi unaweza kutembelea tovuti yake kwa kubonyeza hapa.

Advertisements
 

8 Responses to “REHMTULLAH DURING TEMPTATIONS SHOW”

 1. Chris Says:

  Frankly, this fella and Hasannali aren’t the cup of my coffee! I dont have any ans for that!

 2. binti-mzuri Says:

  wow,is he single?hongera sana ally remhtulla,huyu yuko kamamustafa hassanali.wana bidii na kazi

 3. Mswahilina Says:

  Ndugu wa Bongo Celebrity, leo ni Ijumaa. Music upo wapi? hadi sasa saa kumi na nusu jioni?

 4. kimamy Says:

  bint mzuri wacha matata wewe

 5. tish Says:

  binti mzuri huyo ni mwenzetu

 6. binti-mzuri Says:

  this are temptatioooons,they can lead to confusiiiiooonsss 0ooh nooo0oo

 7. maryciana Says:

  sio siri simjui

 8. Jbigy Says:

  Ni wa-Asia hawa?


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s