BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

TANGA NA MAANDALIZI YA MISS TZ 2008 June, 2, 2008

Filed under: Fashion,Sanaa/Maonyesho,Uncategorized,Urembo — bongocelebrity @ 10:08 PM

Hekaheka za kumtafuta kisura mpya wa Tanzania kwa mwaka 2008(Miss Tanzania 2008) zimeshaanza na zinazidi kupamba moto kote nchini Tanzania. Mojawapo ya mikoa ambayo ilifanya vizuri mwaka jana ni mkoa wa Tanga ambao ndio ulimtoa Victoria Martin(pichani) ambaye baadaye alishinda taji la Miss Kanda ya Kaskazini na kisha kutwikwa taji na majukumu ya kuwa Balozi wa Redds. Victoria Martin pia ndiye Dollywood Miss Photogenic kwa mwaka 2007.

Je mkoa huo wa Tanga unajiandaaje kuhakikisha kwamba mwaka huu mambo yanawaendea vizuri tena? Ukitaka kujua hayo tafadhali tembelea blog yao kwa kubonyeza hapa.

Advertisements
 

35 Responses to “TANGA NA MAANDALIZI YA MISS TZ 2008”

 1. kekue Says:

  Da!!! haka katoto kazuri sana cjui ilikuwaje hukupata miss tz, any way big up mamaa.

 2. Pearl Says:

  huyu dada yuko vizuri uongo mbaya,tatizo dogo alilonalo hajui namna ya ku-address issues on the public mi nime-refer wkt wa face of tz jinsi alivyokua anaongea na wale warembo,kweli aliongea nao vibaya kwa kuwaaibisha tena on television!!! so ajifunze kuongea with courtesy nadhani akifanya hivyo status yake ataimaintain vizuri sana.

  Otherwise she looks amazing and fabulous.

 3. trii Says:

  mi namuona mzuri tuu sijui kwa nn kamati ya miss tz hawakumvika taji wakampa muhindi,na jua uzuri sio sifa pekee ya kumfanya binti awe miss tz,lkn kama mambo mengine naamini mtu anaweza kuwa trained,mbona ni balozi mzuri tu wa redds?

 4. Jennas Says:

  katoto kazuri haka jamani nimekipenda bure kweli mama yake hakumbemenda

  Juzi nilimuona mahala cjui ana pozi ama ndiyo ukiwa miss unatakiwa huwe hivyo samahanini mie

 5. han"s Says:

  jamani mimi uwa nampenda sana uyu mtoto!! ila niko mbali tu,hakika kama nigekuwa karibu nigejalibu kumwambia kilichoko moyoni mwangu!!!!kametuli,ni mzuri,anafaa kuwa pamoja nami!!mwenye kumfaamu afikishie habari hii!!!!!

 6. EdwinNdaki Says:

  Waja leo waondoka leo.

  Mjengoni..eckernforde,mabawa,kisosoro,chumbageni,makorora sahare..majani mapani.kange,popatlal..kwa michi..I miss tanga.

  Ila kama kweli huyu dada walimyima Taji la miss tanzania mwaka jana..mhh..nina mashaka sana na mchakato mzima wa kumpata mrembwende wetu.

  Ila naamini ipo siku.

  Tutafika tu..ufisadi hadi kwenye burudani?

 7. binti-mzuri Says:

  watu wa tanga wengi wao ni wazuri, TUNAWAKILISHA!!!!!!!!

 8. DUNDA GALDEN Says:

  BINT UMETULIA SAFI SANA
  SASA SI KUNANI TENA
  ONGERA BINT MZURI WAKILISHENI
  CHAFOSA

 9. kekue Says:

  Binti mzuri we ni binti wa kitanga???

 10. SANIA Says:

  wewe mrembo haswaaaaaaaaaaaa ngoja waje waosha vinywa hapa utasikia tu wazee wakuponda vizuri na vibaya.

 11. maryciana Says:

  pearl tupe habari kamili basi,mbona unatupa nusu nusu wengine hatukuiona hiyo face of tanzania.

  shes cute-ila nasikia hana akili za kujibu maswali kwa haraka haraka

 12. michelle Says:

  Kazuri sana, kaambieni kaongeze nyama kidoooogo tu katapendeza zaidi.

 13. Jbigy Says:

  Du ni kazuri kweli haka katoto.Sijui katazeeka pia! inawezekana kanatokea kule kwa waja leo warudi leo!
  Jamani ombeni maadress mkamuvuzishie salam na kukachumbia pia.

 14. any Says:

  Tanga wanatoaga vimwana wazuri wa sura kwenye mamiss, ila kwenye maswali, mhh mambo fulani is not reachable. huyu sijamwona akijieleza, ila miaka ile ya late 90s nilikuwa nawaangalia kwenye kujibu maswali unawaonea huruma.

 15. asaki Says:

  mh hii picha tu hana uzuriwowowte kakauka kama mti mkavu hata nguo hapendezi im sorry to say

 16. SANIA Says:

  HEHEHE MICHELLE UMEKUBALI

 17. Nyota Says:

  naungana na Any hapo juu . ni kweli Tanga kuna vimwana. lakini sijui labda exposure au kuendekeza uswahili sana… maswali yanawashinda. Victoria mwenyewe kwenye kujibu maswali mwaka jana , unatamani uchukue kapu ujifunike masikio kwa aibu… alikremishwa sijui… mhhh it was Fedheha Ltd.
  mi nashauri makampuni yaanzishe not only ku skauti warembo but also wawe na kama camps labda twice a year, kufundisha watu sijui niiteje- ETTIQUETTES za maisha. yaani namna ya ku behave, namna ya ulaji [ nayo inakuwaga isshuu kula mbele ya hadhara, ukamataji wa kisu , uma endapo utajishaua kula kizungu] , uongeaji, usikivu [ watu wengi si wasikilizaji wazuri. utakuta mtu anamkatisha mtu kauli inakuwa kama ligi ya kuongea], namna ya kujibu maswali kiungwana na kwa lugha mbali mbali – mainly kiswahili na kiingereza, na vile vile neno samahani na maneno appropriate katika ulimwengu wao. manake saingine unakutana na mrembo, mrembo but akianza tu kuongea unahisi sio yeye labda kaazima kichwa…..
  ni hayo tuuu

 18. Bablii Says:

  No comment…!

 19. polisi Says:

  Jamani huyu mtoto ukimuangalia kwa haraka utadhani ni mdoli.she’s so cute,yani infact there no words to express her beauty.hebu compare this chick na yule mshindi wa mss universe tz.naomba musitoe jibu coz naweza kulia hadi kesho.but no 1 is perfect.mdau pearl you are right.
  nikimuuona huyu demu razima nimuarest with kwa kuwa ribyutifull sana.

 20. matty Says:

  haya kazuri naona siku hz kamejua kutumia make up uso soft no pimples kabisa….he binti mzuri na wewe ni tange kunani kumbe hongera!

 21. binti-mzuri Says:

  haha@ polisi,nimecheka aisee

  duh kumbe watu mnazuzuka na watanga ee..lol..na mbadooo…hamjajionea

 22. pyupyu Says:

  Haya umzuri mashaaallah,shule je?Rudi shule ukapige buku.Urembo unamwisho wake mtoto.

 23. any Says:

  Sura + shule ndo package inakuwa imetimia. Sura peke yake hailipi, na ikilipa ni temporary. my 2 cents.

 24. JMbigy Says:

  Ni kweli mliyosema. Kabinti ni kazuri bila kujali kametoka wapi. Hongera kuumbika.
  ‘Tuition’ kabla ya ku-contest akiwa tayari mtu mzima haitasaidia saana. Tukilea watoto tangu utotoni wakiwa na confidence, ‘uhuru’, uwezo wa kujenga hoja bila kuogopaogopa n.k itawasaidia wao ukubwani wanapofikwa na hali hii ya kutandikwa maswali.
  Lugha inapokuwa ‘not reachable’ pia ni issue. mtu anaweza kusema malaria insect akijua anasema malaria parasite. Hii haimaanishi hana akili ila Lugha.
  DU! Ila mungu hatoi vyote.

 25. binti-mzuri Says:

  ujue basi tu,mwenyewe hakuwa focused but kwani akili kitu gani,i feel like kila mtu ana akili duniani,sema tu wengine wana motivation kuzidi wenzao.

 26. DUNDA GALDEN Says:

  KUMBE BINT MZURI UKITULIA 26 June 4.08 UNAKUWA NA POINTTT AU KWA VILE NA UNATOKA KULE KUNANI?
  CHAFOSA WASIJITELE

 27. kapisi Says:

  kajiimbia rushashu,mabint wa kitanga ee wanajua kujipambaaeee………………………………………………aminia VICTORIA,wee mzuri 100%.

 28. Joyce Says:

  Mtoto mzuri kweli nakubali mambo ya urembo yameisha maoni yangu karudi shule sasa maana bado ni mdogo still she has a chance dunia ya sasa bila shule mmh maisha magumu mdogo wangu kapige shule sasa at least mbaka first degree inatosha ukishakuwa na certificate nothing is immposible under the sun,good luck mtoto mzuri

 29. mimmy Says:

  ni mzuri, naunga mkono kwa wale walisema kw yuko poor ktk kujieleza, hasa atumiapi kiswahili kw. mfano nawaambieni yy husema namiambieni. kiwahili cha kibondei kabisa jamani, ushamba na bado hajawa na comfidence ya kutosha.

  kwa sura mashallah

  hata mie ni wa tanga mwenzio.

  ndg yng wa waaaaaaaaaa!

 30. maryciana Says:

  kuwa mtanga dili kumbe siku hizi

 31. Amina Says:

  hata mi mtanga namiembieni..aambiwa kule sahare kuna anti yangu,mkwakwani kuna mjomba angu,na raska zoni kuna bibi yangu mzaa mama nilikua sijamiambia tu

 32. Matty Says:

  hahahahahahaha Amina kumbe na wewe ni mtanga da utakuwa bomba inaelekea haya karibuni kwetu kule bk!

 33. jb Says:

  mh!!, cuuute…

 34. marvin Says:

  looking good girl sasa watu kaa hawa ndio wawe trained for competetion.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s