BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

WALIOJISHINDIA TUZO ZA VINARA June, 2, 2008

Filed under: Filamu/Movie,Television,Tuzo,Uncategorized,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 10:41 AM

Ijumaa iliyopita ilikuwa ndio siku Tuzo za Vinara zilipokabidhiwa. Kwa maana hiyo historia mpya imeandikwa ingawa ni wazi kwamba kazi kubwa bado iko mbeleni kama ni kweli kuna dhamira ya kuiweka Tanzania katika ramani ya dunia kwa upande wa filamu na maigizo. Kwa wale ambao mngependa kujua, hii hapa ndio orodha kamili ya waliokuwa wameingia fainali za kuwania tuzo hizo(na vipengele walivyokuwa wanawania) na majina ya washindi yakiwa yanajionyesha.

Pichani ni washindi wa tuzo hizo wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi,Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo,Joel Bendera. Kwa picha zaidi kuhusu tukio hili mtembelee Ahmad Michuzi wa Jiachie.

WASHINDI WA TUZO ZA VINARA WA FILAMU TANZANIA

Mapambo na Maleba

Misukosuko 2

Macho Mekundu

Kolelo (mshindi)

Utata

Copy

Mnasa Sauti Bora

Adam Waziri (Fungu la Kukosa)

Creophance Ng’atingwa (Kolelo)-mshindi

David Sagala (Copy)

Camillius Kamili (Fake Pastors)

Swaleh Juma (Misukosuko 2)

Adui Bora kwenye filamu

Mohammed Aziz (The Body Guard)

Irene Uwoya (Diversion of Love)

Sebastian Mwanangulo (Misukosuko 2)-mshindi

Ahmed Ulotu (Silent Killer)

Elizabeth Chijumba (Copy)

Mpiga Picha Bora wa Filamu

Mbalikwe Kasekwa (Misukosuko 2)

Sylon Malalo (Kolelo)

Rashid Mrutu (Copy)-mshindi

Nicholas Mtengwa (Kilio Moyoni)

Sylon Malalo (Simu ya Kifo)

Mtunzi Bora wa Filamu

Lucy Komba (Utata)

Nicholaus Mtitu (Diversion of Love)

Single Mtambalike (The Stranger)

Ahmad Halfan (Copy)-mshindi

Hammie Rajab (Kolelo)

Mwandishi Bora wa filamu (skripti)

Seleman Mkangara (Malipo ya Usaliti)

Hammie Rajabu (Kolelo)

Kulwa Kikumba (Diversion of Love)-mshindi

Lucy Komba (Utata)

Elizabeth Chijumba (Copy)

Mhariri Bora wa filamu

Moses Mwanyilo (Misukosuko 2)

John Kallaghe (Miss Bongo 1)

Rashid Mrutu (Copy)-mshindi

Hassan Mbangwe (Malipo ya Usaliti)

Sylon Malalo (Kolelo)

Muongozaji Sinema Bora

Gervas Kasiga (Fake Pastors)

Jimmy Mponda (Misukosuko 2)

Kulwa Kikumba (Macho Mekundu)

Hajji Adam (The Stranger)

Ahmed Halfan (Copy)-mshindi

Muigizaji Msaidizi Bora wa Kiume

Aliko Tshmwala (Segito)

Single Mtambalike (The Stranger)

Adam Kuambiana (Fake Pastors)

Ahmed Halfan (Copy)

Emmanuel Muyamba (Fake Pastors)-mshindi

Muigizaji Msaidizi Bora wa Kike

Irene Uwoya (Diversion of Love)-mshindi

Godliver Vedastus (Yolanda)

Irene James (Miss Bongo 2)

Susan Lewis (Behind the Scene)

Thecla Mjatta (Macho Mekundu)

Muigizaji Bora Chipukizi wa Kiume

Emmanuel Muyamba (Fake Pastors)

Laurent Anthony (Karibu Paradiso)

Hassan Nguleni (Body Guard)

Yusuf Mlela (Diversion of Love)-mshindi

Uswege Mbepo (Malipo ya Usaliti)

Muigizaji Bora Chipukizi wa Kike

Irene James (Miss Bongo 2)

Irene Uwoya (Diversion of Love)

Fatma Makame (Karibu Paradiso)

Jennifer Mwaipaja (Silent Killer)

Grace Michael (Malipo ya Usaliti)-mshindi

Muigizaji Bora wa Mwaka wa Kike

Lucy Komba (Diversion of Love)

Grace Michael (Malipo ya Usaliti)

Halima Yahya (The Stranger)

Elizabeth Chijumba (Copy)-mshindi

Riyama Ally (Fungu la Kukosa)

Muigizaji Bora wa Mwaka wa Kiume

Single Mtambalike (Agano la Urithi)

Nurdin Mohammed (Utata)

Jacob Steven (Copy)-mshindi

Hajji Adam (Miss Bongo)

Yusuf Mlela (Diversion of Love)

Tuzo za Heshima 2007/8

Steve Kanumba

Ndumbagwe Misayo (Thea)

Filamu Bora ya Mwaka

Copy (mshindi)

Crying silently

Diversion of Love

Fake Pastors

Kolelo

Advertisements
 

12 Responses to “WALIOJISHINDIA TUZO ZA VINARA”

 1. binti-mzuri Says:

  hongereni,yule jamaa wa big brother nae ni actor au?maana namuona kwenye picha!

 2. binti-mzuri Says:

  hii filamu ya copy ina maana ndio pekee that was outstanding au???maana naona tuzo sizizopungua tano hapo!

 3. DUNDA GALDEN Says:

  SAFI TUZO YA VINARA LAKIN MSIBWETE ONGEZENI BIDII
  UBUENI MAMBOMAPYA KWANI SAFARI YA SANAA NI NDEFU
  SANA.NA NYIE MLIOKOSA MSIKATE TAMAA SI KWAMBA HAMFAI LA HATA KIDOGO MUWE NA BIDII KWANI NANYI PINDI MWAKA MTASHINDA
  NIMEMUONA MRISHO A.K.A MJOMBA SLAM ZIKUFIKIE TUNZI ZAKO ZINA UJUMBE MKALI SANA.
  CHAFOSA CHAI GODA

 4. Pearl Says:

  mi hata sijaelewa hili zoezi liliendaje,halafu mbona tuzo hizo za heshima mi sijakubaliana nazo!!!??? kuna wengine wameachwa jamani,watu kama kina bishaga,aisha(tecla mgaya),waridi na richie(single mtambalike) mi nadhani hata wao walistahili ukizingatia wao ndo walikua watu wa mwanzo mwanzo kuingia katika fani hii wakati huo wakiwa “MAMBO HAYO”,ilitakiwa wapewe hiyo heshima jamani.
  Mambo Hayo wameplay big part ktk sanaa ya uigizaji Tz.
  Mimi kama mimi kweli nawatambua na kuwapa heshima zote.

 5. MieBana Says:

  Binti-mzuri huyo jamaa wa bigbrother kaalikwa kwenda kutoa awards,kama mgeni unapoaalikwa sio lazima uwe actor ktk filamu,unaweza tu ukawa ni mtu ambae unajulikana that is enough,second kwa admin Bongocelebrity,Sasa nini maana ya freedom of Press? na nini maana ya freedom of speech,Bila kutokanana hatutaweza fika tunakotaka tuende kaka,Ndiyo maana watu wanaomba tushikiane Bunduki siku moja after that utaona maendeleo ya kweli.Manake naona mnabania comments basi msiweke option ya mtu kutoa comments.lazima tufike maahari tuwe na uhuru hata wakukutusi ili ulireason kwanini umetukanwa

 6. zawadi Says:

  jamani mbona kina Kanumba,Johari,Mainda,Ray hawapo au sijaangalia vizuri.

 7. SANIA Says:

  zawadi hata mie nashangaa kulikoni na wao ndio waanzilishi duh sasa hii nomaaaaaaaaa

 8. hombiz Says:

  hongera kwa washindi changamoto kwa washindwa.

 9. maryciana Says:

  zawadi kanumba si yupo mstari wa pili kutoka chini kulia are you blind?

 10. wa ukweli from kg Says:

  jamani kilichoangaliwa ni nani kaigiza vizuri,mimi kama mimi nimeangalia takribani 50 film za bongo nyingi ziko ovyo lakn COPY nimeikubali ni nzuri karibu kila k2,location,story yenyewe dah bonge la filamu janeth[Elizabeth Chijumba] ka-act vizuri na ningeshangaa wasingempa tuzo

 11. Regina Says:

  Hongera washindi wote!
  Maonyesho Ijumaa ilikuwa safi sana!

  Tungependa kuwakaribisha waongozaji wote wa filamu hapa Tanzania kuzipelekea filamu zao pale Alliance Francaise – kwa ajili ya uchaguzi wa awali (preselection). Filamu za kiswahili, hata za kiingereza, za aina na mitindo zote zinakaribishwa.
  Tafathali mnaombwa kuja kabla ya mwisho wa mwezi wa sita kuzifikisha hapo.

  Filamu zitazochaguliwa zitaonyeshwa wakati wa Tamasha la filamu za Ulaya hapa Dar es Salaam. Tamasha hili linahuandaliwa kila mwaka, watanzania na raia wa nchi mbalimbali duniani hufika kuangalia filamu tofauti. Tamasha hili huandaliwa na balozi za nchi za Ulaya na Kamisheni ya Ulaya hapa Tanzania.

  Mwaka huu, kuanzia tarehe 10 mpaka tarehe 30 mwezi wa kumi, takribani filamu arobaini kutoka Ulaya zitaonyeshwa. Na zaidi kwa mara ya kwanza filamu za Tanzania zitaonyeshwa jijini Dar es Salaam na Arusha.

  Kama unahitaji maelezo zaidi yoyote, kujaza fomu, kujisajiri na kuumua filamu zako, nenda Alliance Francaise, barabara ya Ali Hassan Mwinyi, nyuma ya Las Vegas Casino, Dar es Salaam. Tel. (022)2131406 / 0755481374 or email director@afdar.com, cultural@afdar.com.

  Karibuni sana!

  Regina
  EFF Coordinator

 12. zawadi Says:

  Okeeee!!!!!!!!!! orait nafikiri sikucheki vizuri wapendwa, lakin kweli Sania wamewabania.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s