BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

PICHA YA WIKI # 21 June, 8, 2008

Filed under: Photography/Picha,Weekend Special — bongocelebrity @ 10:53 AM

Picha na Father Kidevu.

Advertisements
 

23 Responses to “PICHA YA WIKI # 21”

 1. DUNDA GALDEN Says:

  BONGE LA PICHA SAFI.WAZEE WETU HAO KUTOKA TBR. MZEE DAUD NA RAFIKI YAKE MZEE RAJAB.MBALI NA KUVUTA SIGARA NI HATARI KWA AFYA ZA WAVUTAJI NAWATAKIA MAISHA MAREFU WAZEE WET WOTE UKO BONGO INSHALLAH NA WASIKILIZWE KWENYE KILIO CHAO CHA MDA MREFU AMIN
  CHAI GODA

 2. trii Says:

  inaonyesha uelewano kati ya wazee hao,pili wanabana matumizi ya kiberiti.

 3. Ed Says:

  Nice picture, nimeipenda sana. Inaonyesha wazee halisi wa kitanzania.

 4. Pearl Says:

  mmhhh!!!! hawa wazee sijui jamani………

 5. majani Says:

  Hii ndiyo Solidarity ukisikia! Vijana wa kileo wameambukizwa ubinafsi mbaya nani atakubali kuchangia njiti ya kiberiti kiasi hicho?Wazee walikuwa wanajua kuchunga Bajeti na waliijua starehe ya kuvuta sigara!

 6. EdwinNdaki Says:

  Nikiona hiyo picha inikumbusha moja ya “vesi” la John Walker..aliposisitiza tuwe na umoja ka wavuta sigara…

  wakutanapa hata kama hawafahamiani hususani huku kwetu bongo..kuna kaishaira ka kupiga vidole(kugongea)..basi unapewa fasta!

  Ila tukumbuke matumizi ya tumbaku ni hatari kwa afya zetu.

  Ushauri wangu..kuleni gambe.

 7. robyana Says:

  du hao vibabu,kuna kifua kikuu siku izi jamani.izo enzi za zamani sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa

 8. hombiz Says:

  Mafisadi wa Bongo wamedhurumu hata mafao ya wazee waliofanya kazi ktk EAC iliyovunjika baada ya ikitadi mbalimbali za viongozi wa nchi za Afrika Mashariki kutofautiana sana.
  Afadhali wenzetu wa nchi jirani ambao walishalipa wazee wao. Lakini Bongo, mafisadi hela wamezitafuna na wazee wachache wameambulia fidia kiduchu. Wengine wamefariki na bila shaka wengi wataaga dunia kwa kutoiona fidia yao.
  Ni huzuni na aibu kubwa sana! Ufisadi hata kwa wazee wetu ambao ndio nguzo ya hekima na baraka tele kwetu vijana!.
  Chonde chonde mafisadi, tuwajali na kuwatunza wazee wetu!

 9. Beatus Silla Says:

  Ni kubana matumizi ya njiti za kiberiti au ?

 10. binti-mzuri Says:

  excessive smoking leads to lung cancer and addiction – do avoid

 11. hans Says:

  pamoja na kuifurahia picha nzuri, lakini kikwete awaangalie hawa wazee wako mjini kwa sababu ya mafao yao, ni muda mrefu wanazungushwa tu. Lakini picha imeonesha ni wazee halisi wa kitanzania, wamependeza kitanzania kweli

 12. kekue Says:

  ss kwa nini mmoja asiwashe then ampe mwenzie nae awashe kwa kutumia ya kwake, mpaka vichwa vigongane ndo raha yake, du!!! Lakini mmependeza mwaya.

 13. maryciana Says:

  mafao gani?? wakalime

 14. hombiz Says:

  maryciana!. You realy need to check your ego.

 15. Dr Dr Says:

  “Cancer can be a cure for smoking”…It sounds wild! doesn’t it?!

  May be, when someone told them the health hazards associated with smoking they can stop and live longer!

  Of course, they need to live longer so that they’d fight this ‘unpredictable’ and ‘endless’ battle of pension, which sadly appears to be an uncurable disease in our country!

  Wazee wetu deserve better, bwana!

 16. polisi Says:

  maryciana. If it was your father,would you still write the same!!!!? follow Hombiz advice,na uache kupayuka.

 17. matty Says:

  mh! ni hatari kwa afya zao namna hiyo au ndo mambo ya uchumi duni??
  Maryciana usiseme wakalime!!!!!!!!unajua kuna wazee kibao waliokuwa EAC wanadai mpaka leo mafao yao hawajapata??au wewe ni mtoto wa fisadi unasema wakalime, imagine kama ni baba yako mzazi anadai unaweza kumwambia baba acha nenda ukalime???tuwe na upendo kwa kila mtu!!!!!!!!

 18. binti-mzuri Says:

  maryciana hujazeeka wewe

 19. DUNDA GALDEN Says:

  kweli hajazeeka na fainali yake haijui.pia hata akiwa mtoto wa fisadi au wa tajiri wangapi walio piga chini na kuwa choka mbaya anajua yeye kuandika utumbo atakuwa ameifurahisha nafsi yake na kusahau kuna wengine kwao maudhi
  TUWAHESHIM WAZEE WETU HATA KAMA SI DAMU YAKO
  KILA LA KHERI WAZEE WOTE WA KITANZANIA INSHALLAH IPO SIKU KILIO CHENU KITASIKILIZWA HIVI KARIBUN MSIJALI
  Chafosa

 20. Ms Bennett Says:

  serikali iweke sheria kwa wavuta sigara, wanakera sana utakuta mtu anavuta sigara alafu moshi anapuliza kwenda kuwaathiri wasiotumia,yaani hii tabia ya wavutaji huwa inakera sana wajivutia ovyo ovyo tu,serikali ingeweka sheria kwa watuvaji wa sigara ili isiwazuru wengine na kutengewa eneo rasmi la kuvuta sio popote tu, utakuta konda wa daladala anavuta sigara huku gari linaenda akipuliza moshi unarudi ndani kwa abiria ,kama moshi mzur basi angekuwa anameza kwa kuwa anaona haufai anapuiliza uwaathiri wengine wasiowavutaji .

 21. maryciana Says:

  nimeandika kiswahili,nashangaa majibu yamerudi matusi tena ya kingleza… jamani ni nini hii?mimi sikusema kwa nia mbaya!mmenihukumu bure,na wala SIPAYUKI wewe kaka

 22. binti-mzuri Says:

  hahaah pole bi wewe! ndio bc

 23. Amina Says:

  marcyana unalo leo


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s