BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

ETO’O/ CAMEROON NDANI YA DAR June, 11, 2008

Filed under: Soka,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 3:08 PM

Blog ya Yahya Charahani inaripoti kwamba timu ya Cameroon ikiongozana na nyota wake Samuel Eto’o(pichani) wametua jijini Dar tayari kuvaana na Taifa Stars jumamosi.Tuwatakie Kheri Taifa Stars maana bila hivyo inaweza kuwa balaa tupu.

Advertisements
 

21 Responses to “ETO’O/ CAMEROON NDANI YA DAR”

 1. Mickey John Amos-Denmark Says:

  Vijana wetu wanao uwezo na kipaji cha kuwashinda Cameroon tusiogope majina,kinachotakiwa watanzania wote kujitokeza kwa wingi na kuwapa moyo wachezaji,badala ya kuwa na mawazo tofauti kila wakati.

  Tupo katika mipangilio ya kuwatafutia wachezaji wetu nafasi za kuchezea ligi za ulaya ili tufikie kiwango sote tutakachokifurahia,kiwango cha hali ya juu hakipatikani kwa ligi zetu zisizo na malipo ya kutosha kwa wachezaji,tujipe moyo na kuwa wavumilivu zaidi na sisi tutafikia kiwango walichokifikia wengine.

  mickey@mail-online.dk
  Copenhagen.

 2. nchecheto Says:

  Mickey ungefaa sana kuwa Kocha wa Taifa Stars!Uko very Bright and Super Intelligent.Maximo should read this!according to maximo,’this mechi could be very difikut,we should all inkarej our team to win bikooz cameroon is bitabo!

 3. EdwinNdaki Says:

  Binafsi naamini kabisa “TUTASHINDA”

  Na ushindi wetu utawastua wengi kwani maandalizi yetu siop mazuri hasa upande wa wapigilia misumari kwenye jeneza(wasahambuliaji).

  Ila kwa kuwa mpira una dunda basi msiofu tutashinda hapa kwa ushindi mwembamba ila tukienda kwao wata “TUSENEGAL”…

  mUNGU IBARARIKI AFRIKA..MUNGU IBARIKI TANZANIA.

 4. SALLY Says:

  Jaribuni basi stars msiogope onyesheni miujiza basi ya kuwafunga mataita hao.

  all the best stars

 5. trii Says:

  chonde chonde TANESCO plzzz msitukatie umeme plzzzzz,mwengine twapenda kutizama from home.

 6. trii Says:

  Mungu ibariki Tz,Mungu ibabriki taifa stars.

 7. Matty Says:

  mh!jamani haya ni masihara au Maximo yuko serious?maana navyohisi kabla ya mechi tushafungwa!mh!nimtizamo tu jamani.

 8. ma'reen Says:

  Mimi sitaki kujipa matumaini ya uongo.Hata stars wafanye mazoezi wakiwa utupu wa mnyama hamna kitu, si tukubali tu wajameni! Hapa la muhimu Maximo awafunde jinsi ya kuzuia magoli ya kutia aibu nyumbani basi! Matatu manne ivi poa ila yasizidi itakua noma!

 9. Side Says:

  Kikubwa ni kutokata tamaa,Ni kweli Cameroon wakali…Lakini pamoja na ukali wao isiwe sababu ya kujikatisha tamaa.E’too ana miguu miwili kama ya wechaje wengine wa Stars.Komaeni tu Stars kizali kinaweza kuwadondokea.Kila la kheri!!!

 10. Eddo umenigurahisha sana.Any way Mungu ibariki Tanzania na taifa Stars

 11. Kamanzi Says:

  Mimi nishasemaga TAnzania michezo ilishatushinda. Walikuwepo akina Bendera kwenye soka, Bayi kwenye marathon, Matumla kwenye ndondi ila siku hizi hakuna kitu. LA muhimu tuconcentrate kwenye TAARAB maana huko hatujambo. Sio kwamba naponda utanzania jamani ila ukweli lazima usemwe. Ndio maana nchi kama India zimejikita kwenye Kriketi na kuwaachia soka wanaolijua. TAARAB tu inatutosha wabongo wenzangu.

 12. usinijue Says:

  nothing impossible………….mungu ibariki tz,mungu ibariki taifa stars

 13. Bablii Says:

  Hata kama Mungu angekuwa wa watanzania peke yao basi hata “draw ” wasingelipata.

  Yaani ushindi wa Tanzania ni kufungwa 2-0, lakini tutarajie kipigo kitakatifu cha magoli 4 au zaidi.

  Kuna msemo unasema hivi ” Fortune favors the brave”
  Taifa stars sio brave kwa hiyo msitegemee bahati!

 14. kapisi Says:

  mimi hata taifa siendi

 15. tafa Says:

  Hili ndilo tatizo letu watanzania, yaani hatujiamini kwamba na sisi tunaweza kufanya maajabu, tunawakatisha tamaa wachezaji,kocha na hata wadhamini, ‘yaani kufungwa 2-0 ni ushindi?’, nimeishiwa nguvu .

 16. EDNA MTIZED Says:

  aah wacha nicheke mie maana huyo ETOO joto ya bongo ameiona leo.Watanzania,we should pray for our TEAM,MAXIMO/TAIFA STARS YOU ARE THE HERO GOD WILL ALWAYZ BE WITH YOU GUYZ.EXPECT OUR FULL SUPPOR GUYS.

 17. Liemy Says:

  Babii sasa leo utatuambiaje? maana stars wametoka droo na ma super staa.

  Nakushauri, daima usikate tamaa, unatakiwa kufa kishujaa.

  Pole pole tutafika, tuwe wavumilivu, maana hata Roma haikujengwa kwa siku moja, ilichukua miaka.

  Mimi naamini miujiza ipo, na itatokea zaidi.

  Mungu ibariki Stars, Mungu ibariki Tanzania.

 18. Matty Says:

  Jamani samahanini sana wana BC nilianza kuogopa tungefungwa nyumbani ila naomba niseme kumbe tunaweza ehhhheee?sasa tumeanza kuonyesha na fani ya mpira tunaimudu si bongo flava peke yake atleast….wameinama wameinuka wanaona haya kupigwa chenga ugenini hao!!!!!!!!!!!!

 19. Mickey John Amos-Denmark Says:

  Kulikuwa hakuna sababu yeyote ya kuogopa majina ya wachezaji wa kulipwa-Cameroon,kinachotakiwa wa-Tanzania tuanze kujifunza kuwa wavumilivu katika kufikia kiwango cha hali ya juu wa mpira wa kisasa, tuna vijana wenye vipaji vya kuzaliwa na MOYO wa kulichezea TAIFA, haitotosha bila ya sisi wote kuwapa mchango wetu wa kuwatafutia vijana nafasi za ligi za Ulaya kama wachezaji wa kulipwa na kujitokeza kwa wingi kuwashangilia, viongozi,Maximo na wachezaji wana lengo moja kuleta mabadiliko ya mchezo na yatakuwepo.

  mickey@mail-online.dk
  Copenhagen

 20. trii Says:

  watu mliwaponda taifa stars lkn sasa imerudi kuisifia.MMMM aibu kwenu.

 21. furaha Says:

  unajua siku zote usipende kujishusha maana hakuna aliye zaliwa akiwa anafahamu kitu kila kitu tunajifunza nadhani unapokuwa unafungwa unajifunza vitu vingi kuliko ambavyo
  ungefunge maana usingejua mapungufu yako,mfano mtu anapojifunza kuendesha baiskeli atakapo ndondoka baada ya hapo anakuwa mtaalamu zaida. kwa hiyo msiwakatisha timu yetu tamaa zaidi tuwape moyo ili nao wajione wanaweza kama sio leo basi kesho.
  mungu ibariki Taifa Star waepushe na maradhi


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s