BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

JAJI EUSEBIA N.MUNUO June, 22, 2008

Filed under: African Pride,Serikali/Uongozi,Sheria,Wanawake na Watoto — bongocelebrity @ 6:48 PM

Miongoni mwa wanawake wanaofahamika na kuheshimika katika fani ya sheria nchini Tanzania ni Jaji Eusebia Nicholas Munuo(pichani).Hivi leo yeye ndio Makamu wa Rais Mteule wa Chama Cha Majaji Wanawake Duniani(IAWT).Mbali ya cheo hicho,Jaji Munuo pia ndio Mwenyekiti wa Chama Cha Majaji Wanawake nchini Tanzania(TAWJA).Yeye ndio Hakimu wa kwanza mwanamke nchini Tanzania na pia Jaji wa kwanza mwanamke katika Mahakama ya Rufaa nchini Tanzania.

Miezi kadhaa iliyopita Jaji Munuo alifanya mahojiano maalumu na mwandishi Happy Katabazi kuhusiana na mambo mbalimbali ya kijamii,kisheria na pia kumhusu yeye binafsi.Je ni kweli kwamba Jaji huyu aliwahi kuamuru kwamba mumewe atiwe ndani kutokana na kuidharau mahakama?Ili kupata jibu la swali hilo na mengine mengi kumhusu Jaji Eusebia Munuo,bonyeza hapa uitembelee blog ya Happy Katabazi.

Photo/Happy Katabazi

Advertisements
 

8 Responses to “JAJI EUSEBIA N.MUNUO”

 1. Kimori Says:

  Justice is not only to be done, but is to be seen done!

 2. Edwin Ndaki Says:

  Hongera mama.
  mfano mzuri wa kuigwa

 3. hombiz Says:

  Kanyaga twende mama!

 4. DUNDA GALDEN Says:

  Inaonyesha njia ya matumaini mema. bali tuu italeta faraja ikiwa mtapongezana nyinyi wakina mama kwa kila hatua nzuri
  nasi tufuate nyao zenu Lah kazii bado nzito.kwenye mataifa mengine sehem nyingi utakuta mpo……
  HONGERA SANA MAMA
  Chafosa

 5. binti-mzuri Says:

  make that money!i envy your profession

 6. kapisi Says:

  great,great….

 7. Matty Says:

  safi mama wakilisha!

 8. kekue Says:

  Hongera sn mama, ngoja nifuate nyayo zako. Nitafika tu.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s