BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

DINA NA ASIA NDANI YA KIMASOMASO June, 25, 2008

Filed under: Fashion,Fashion Designer,Watangazaji — bongocelebrity @ 11:54 AM

Mbunifu wa mavazi Mama Asia Idarous (kulia)akiwa amepozi na mtangazi wa Clouds Fm,Dina Marious,wakati wa fashion show iliyokwenda kwa jina Kimasomaso hivi karibuni jijini Dar-es-salaam.Vazi alilolivaa Dina ni mojawapo ya ubunifu wa Asia Idarous.Mavazi mengi yatumikayo kwenye harusi yalionyeshwa katika show hiyo.

Photo/Ahmad Michuzi

Advertisements
 

11 Responses to “DINA NA ASIA NDANI YA KIMASOMASO”

 1. MapigoSaba Says:

  Wabunifu wa mavazi TZ wajitahidi kujitangaza nje ya nchi kupitia vyama vya waTZ katika nchi mbalimbali. Kwa mfano, Edmonton Canada, kila summer kuna heritage festaval watu wa mataifa mbalimbali wanaonyesha kazi zao. Wanablog mnaweza kuwasaidia kutengeneza networks.

 2. hombiz Says:

  Mmetoka Ki-TZ

 3. Amina Says:

  Dina pungua ona unalingana na mama asia idarous na wakati mwenzio mtu mzima

 4. any Says:

  Mapigo saba unaishi Edmonton sehemu gani? Nina swali sijui nitakuandikia wapi?
  By the way dinah umependeza, sikujua uko mmama wa kiafrica haswa. Radio zinatupa picha ndio kumbe sio.

 5. rose Says:

  hee dina kumbe ndioivyo i thought u were mdogomdogo iviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.ila nakufagilia kinoma dada yangu haipiti siku sijazikiliza leo tena haki ya mungu tena

 6. kahindi Says:

  jamani nimeamini..kweli duniani wawili wawili,,yaani dina umefanana na rafiki yangu aitwaye elizabeth francis…mhh sina la kusema…ila napenda sana kipindi chako na haswa ile jingle yakooo..big up.

 7. Angeline Says:

  Dinah, designer wa hiyo nguo uliyovaa hajakutendea haki kabisa

 8. any Says:

  haaa, Angeline umenichekesha daah, kama nakuona vile, ingekuwa wewe unagoma kuivaa hadi wakupe ingine. Jamani wamemtwisha dada wa watu utu uzima mno! kama vile anaenda bungeni na kina ana abdala.

 9. MapigoSaba Says:

  Unayejiita “any” na kutaka kuniuliza swali, niulize tu ntakujibu! weka email yako kwanza, baadae utaipata yangu, kwa sasa nasita kuweka email yangu kwenye kadamnasi.

 10. Mickey John Amos-Denmark Says:

  Extra Ordinary….Outstanding wedding design or rather say “Casual Summer wear” in Europe.

  we need “International Sponsors” to invest necessary amount of money for Marketing & Export outside Tanzania.

  mickey@mail-online.dk
  Copenhagen


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s