BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

MISS TANZANIA EU 2008 NI LUCY FUNDIKIRA July, 1, 2008

Filed under: Bongo Flava,Urembo,Watanzania Kimataifa — bongocelebrity @ 1:36 PM

Pichani ni binti aitwaye Lucy Mwiza Fundikira ambaye hivi majuzi amejinyakulia taji la Miss Tanzania 2008 EU (nchi za Schengen).Shindano hilo lililofanyikia katika mji wa Essen nchini Ujerumani,lilipambwa pia na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya,Ali Kiba(kama inavyoonekana katika picha hapo chini) ambaye yupo ziarani katika nchi mbalimbali za Ulaya.

Lucy Fundikira ana umri wa miaka 18 na anaishi na wazazi wake katika mji wa Rotterdam nchini Uholanzi.Kwa picha na habari zaidi kuhusu tukio hilo bonyeza hapa.

Ali mwana wa Kiba akiwarusha mashabiki huko Essen,Germany.

Advertisements
 

31 Responses to “MISS TANZANIA EU 2008 NI LUCY FUNDIKIRA”

 1. Angeline Says:

  Mmmmmh!

 2. TEACHER-DENMARK Says:

  TUKO WENGI KUMBEEEE HUKUUU DUUU

 3. anonymous Says:

  my god i think am in love with ali kiba…every time i listen to his songs i get homesick…somebody tell me how to get hold of this brotha..msinibanie jama, mwenzenu nimezama..lol

 4. iAUWDQ Says:

  Afadhali hapa naona mademu wako mbele, maana waBongo wamezoea madume ndio wana jaa mbele ya stage, 50 cent alishangaa kuona siku ana perform in DAr mbele wamejaa madume tuu,

  Picha za Alikiba UK nako midume imemjalia mbele tuu hata haina aibu, wachieni mademu wakae mbele

 5. Matty Says:

  Mbona sasa kaacha chakula cha mtoto nje?au kitambaa kilikuwa kidogo?

 6. kekue Says:

  Du!!!!!!!!!!!!!!

 7. Chris Says:

  Rotterdam, The Netherlands! Seems wabongo Rotterdam ni wengi sema hatujuani! Duuuuuuuh!

 8. Fresh Says:

  OMG,Is that Miss Tanzania or…,I don’t mean to sound so critical but mmh mmh mmh sijamkubali

 9. polisi Says:

  Safi sana kijana.But watch out ukirudi Bongo sio watu wote watakuonea raha kwa hiyo tour yako.Angalia sana watu wenye roho mbaya wasikuduru na wewe mwenyewe usidharau mtu coz umezunguka nchi nyingi.wengine ndio tunakoishi na hatuna makubwa

 10. mimmy Says:

  kwa kweli ths guy anaimba vizuri, na nafurahi imemsaidia kujichangaya kidogo majuu ili akajifunze kuvaa vizuri. nakufagilia Broo!

  big up!

 11. Lilian Says:

  mhmh. Wala hakusemeki hapo…

 12. Neema Says:

  Kitoto kizuri hila bado hakajajua mapozi
  Anyway hao ndio ma miss shengen.Bongo watoto wanajua kuvaa na kupozi paka kutembea,Lakini hao wa shengen wanavaa kama wazungu wenyewe
  Hayo ndio maoni yangu

 13. any Says:

  Wee Matty, umesahau mambo ya mavazi na personal decision? haaaaaa, usinitoe macho

 14. sdfyfhuds Says:

  Huyu miss hana mvuto hata kidogo. Yaani hata wale wa bongo wanamzidi sana tu.

 15. solange Says:

  sijui niseme nini…okay hingera.

 16. Matty Says:

  Hahahahahahahahaha Any nilisahau ndugu yangu kuwa na yy hii ni personal decision yake!

 17. Pearl Says:

  jamani huyo miss mbona kama hana mvuto kabisa!!!!???? au picha kapigwa vibaya!!!???? yaani kama yeye ndo miss hao washiriki wengine walikuaje!!!!???? NGACHOKA.

 18. sally Says:

  Big up, A. Kiba

 19. mie Says:

  MH huko majuu ndio wanajua kuvaa vizuri mie nipo hapa UK huu mwaka wa tatu wala sijaona bado uvaaji wa kutisha naona kawaida sana acheni dharau lol.

 20. binti-mzuri Says:

  mie UK kubwa,yawezekana upo vijijini tembea uone

 21. any Says:

  huyu dada wamemwonea! waliomvesha hizo nguo wamemfanya aonekane ananyonyesha.

 22. Matty Says:

  Ahaaaa, kumbe Any na wewe umeona ehee? sasa kwani alilazimishwa kuvaa hiyo nguo?? hata kama ndo imeandaliwa kwa ajili yake lakini anauhuru wa kuivaa au asivae!

 23. any Says:

  Matty huenda kuvaa hivo wanafanya pia ni biashara, impliedly labda ni ku advertize nguo za huyo designer kwa kuwavisha hawa watoto hizo nguo. umesahau na dina marios na personal decision yake kwenye maonyesho ya mavazi akatinga lile tenge la UWT!

 24. wetu Says:

  mbona warembo wetu na mamiss waliopo bongo ni bomba kuliko wa huko schengen jamani?njooni bongo mchague vimwana akina kaka mliopo ulaya..vibamba kibao huko.by the way mmejitahidi..hongera wote na wadhamini,,,,lakini hamtufikii huku kwa warembo bongo…mmechemsha kusema kweli ,sio kama nawafagilia watoto waliopo bongo.nyinyi wenyewe jaribuni kufananisha na vimwana wa home na hao wa kwenu ulaya..naona hamtuwezi

 25. Matty Says:

  hahahahahahahahahaha wewe Any wewe unatafuta ngumi ya uso lile tenge la dina mbona bomba mbaya!!!!!!!! mh! ila lilimtoa kama kizee nilimezea tu!

 26. toyota Says:

  Huyo ni mtoto wa mshama fundikira nini?

 27. any Says:

  Matty mi umri umesogea lakini kitenge hunipati apo kwa kweli. Sitavaa maana naona kama kinanipeleka miaka mitano mbele ya actua age yangu! hizi personal decision acheni ziitwe personal decision.

 28. Matty Says:

  Hhahahahahahahahahahaha duuuu shikamoo dada Any, wewe mbona fashen za vitenge ndo zenyewe? mimi huwa natinga na lile shuka begani kabisa tetetetetetetetet!!!!!!!

 29. lady uniq Says:

  jamani ndugu zetu wa huko schengen hebu muwe na ushirikiano, mnapokua na shuhuli kubwa kama hii muwage mnawaanda hao warembo wenu. Sisi huku bongo sio mchezo, watoto wanavipaji vya umiss mpaka unashanga.

 30. marvin Says:

  guys you’ve got tobe serious. hatufanyi michezo ya kuigiza duuuuuuuuuu. huyo ndiyo miss who from where;;;?

 31. MAVI Says:

  ACHENI UZUSHI WAJAMENI, NIKINUKA HAPA! OHOOOOOOO….


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s