BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

KUTOKA OLD SCHOOL PARTY July, 7, 2008

Filed under: Burudani,Muziki,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 9:41 AM

Mwisho wa wiki jiji la Columbus,Ohio nchini Marekani lilishuhudia mkusanyiko wa aina yake wa watanzania.Hiyo ilikuwa katika Old School Party iliyofanyikia jijini hapo.Ulikuwa ni wakati muhimu wa burudani na pia kukutana na ndugu, jamaa na marafiki.

Hata hivyo,watu mbalimbali waliohudhuria na pia kuongea na BC,walionyeshwa kukerwa na baadhi ya kasoro zilizojitokeza katika maandalizi.Zaidi ya hilo,ni kwamba it was nice to meet a lot of folks,old and new ones.Mpaka lini tena?

DJ Bonny Luv akiwa mitamboni ndani ya Columbus,Ohio

DJ Luke(Mix Master) naye alikuwepo kuwapa watu raha.

As you can see, a lot of people showed up!Party People!!

Kama una picha kutoka Columbus,Ohio ambazo ungependa tuziweke kwenye ukurasa huu,unaweza kututumia kupitia bongocelebrity at gmail dot com.

Advertisements
 

33 Responses to “KUTOKA OLD SCHOOL PARTY”

 1. Kitu Says:

  This thing sucked big time…u ain’t deserve to do this again.

 2. piga chabo Says:

  ni kweli maandalizi yalikuwa michosho kinoma, ukimbi godown, joto halitamaniki, sound mbovu, muziki unakatika kila baada ya dkk 15 na hiyo ilidumu mwanzo hadi mwisho wa shoo, choo kwa wanaume ni kimoja na ni mtu mmoja kwa wakati na umati ule wote wa walevi! Tamaa ya hela mmewaharibia majina vivutio wa shoo kina Bonny Love japo hawakuhusika na chochote kuhusu maandalizi!

 3. Mimi Says:

  The party sucked big time!!!! From muziki to ukumbi to maandalizi!

 4. monsa Says:

  Jamani mbona hivyo waandaaji wenyewe mnawajua kama kuna tatizo ni kitu cha kawaida huu ni mwanzo subirini inayofuata mambo yatakuwa danga chee kama kiswahili cha old school.

 5. monsa Says:

  nafikir hapo ni AMANA CLUB ILALA hayo ni machezo ya kompyuta inaonekana kama MAREKANI.

 6. Mkereketwa wa oldies Says:

  AIBU AIBU AIBU TUPU………..YAANI JAMAA WAANDALIZI WALIKUWA WANAJARIBU KULIPIA MADENI WALIYOTANULIA BONGO YAANI NI WASHENZI WA ALFA NA OMEGA. DAY ONE UKUMBI MDOGO YAANI TULIKUWA KAMA WAKIMBIZI WENYE NJAAA ISITOSHE NI OLDIES DAY LAKINI TUNAPIGIWA AKINA LIL WAYNE YAAANI BOLINGO MBILI TU…YAANI AKINA DJ LUKE NA WENZIE WAMETUAIBISHA SANA …SATURDAY NDIO UHANITHI MTUPU……NO BBQ MCHANA HUKU TUKISUMBULIWA NA TEXT MESSAGES YAAANI HAWA WATU WA TANO KAMA SIO SITA WAMEWEZA KUTUIBIA KIMACHOMACHO DUH !!!!!!!!!!!!WALISHINDWA KUTOA ATLEAST $200 WALIZOZIIBA FRIDAY KATIKA KIINGILIO KUNUNULIA HATA WING DINGS KWELI HAWA JAMAA SIJUWI IRS ILIKUWA IMEWAPA ULTIMUTUM WASIENDE JELA YAANI WADAU NATAFUTA JIBU KWANINI ILIKUWA VILE……. BASI HATA KUWALIPA WATU MINIMUM WAGE WAGAWE BIA IKASHINDIKANA WAKAWEKA WAKE ZAO YAANI WAMEJIDHALILISHA SAANA KWELI PESA MBAYA TANGIA ENZI ZA YESU ALIPOUZWA NA YUDA SASA NIMEAMINI YAANI WATU WANAOESHIMIKA MACHONI PA WENGI WANAAMUA KUJIZALILISHA NA VIJISENTE…..LOL KWA WENZANGU TULIOTOKA MBALI POLENI SAANA I HOPE U GOT HOME SAFE.

 7. Mkereketwa wa oldies Says:

  SAT. PLACE WAS A GARAGE PILI VYOO VIWILI FOLENI YA BIA NA YA CHOONI SAWASAWA………….KIINGILIO $20………..WAKUSANYAJI FWEZA WAKE ZAO.WAUZAJI POMBE WANUGU FRO DA GHETO …….MUZIKI ZERO YAANI HAWA WATAYARISHAJI WALIKUWA WAHUNI TU KWANI WALIJUWA MZIKI ULIKUWA MBOVU LAKINI WAKAAMUA KUMUUA NYANI KWANI HAWAKUANGALIA MAKUNYANZI YAANI HAWA JAMAA INABIDI WATENGENEZE WEBSITE YA KUOMBA MSAMAHA NA SOMESORT OF REFUND.DAMN!!!!!!!!!!!!!!! NO NYAMA CHOMA KWAKWELI INAUMA SAAANA….LAKINI WAKUMBUKE LAWAMA ZA WENGI ZINA MAAFA YAKE OHOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

 8. biwi Says:

  Waandaji wametuangusha poor plan kuanzia hall la ijumaa, mpira wa miguu nao pia haukuwako ,tafrija ya jioni iligubikwa na uzembe uliokithiri , kilichonikera zaidi ni kukatika kwa burudani mara kwa mara ukiachilia mbali joto lilikuwako humo ndani ya hilo godauni maana haukuwa ukumbi kabisa wa kutoa watu mbali na familia yake ukizingatia kuwa ulikuwa mwisho wa mwezi na mmoja sikukuu chache katika majira haya ya joto hapa marekani na watu wengi upendelea kuwa na familia zao , jambo kubwa la kukumbukwa ni kuwa tafrija hii ilikuwa na vijana wa rika zote za kistarehe 80’s ,90’s na hata kizazi kipya na ndugu na jamaa ambao wako mbali .

 9. Malenga Says:

  Msiwalaumu sana jueni tu kwamba “DEBE TUPU,,,,”

 10. Mtu na box Says:

  this event was crap big time and didn’t live by itz big ass so called “oldskool party of the year”. it should be called a biggest “disgrace of the decade” .on friday event the spot was small as shit and couldn’t accomodate all of us. vinywaji (hard liquor) za kununua zikaisha na bartenders walikuwa wanugu with damn attitude. on saturday mchanaa there was no simba na yanga wala nini. kwanza hata mgoli ya mpira hayakuwepo pale park. no bbq..! and pse dstop using the word bbq halafu hata majiko hamna watu tunaishia kwenda kuangaliana tu. at nite tukapelekwa kwenye warehouse/canteen. the sound system was crap, unazima everyother minute. in 2 days kutokana na lile joto la kwenye venues nime-loose kama 2-3 pounds hivi..! i jus can’t believe ya kuwa hawa jamaa walishindwa kupata the old spots they used to host their memorial parties. all in all hii kitu imenisikitisha sana especially kutupotezea muda na $$$.

 11. masha Says:

  LolWaandaji wenyewe ni matapeli walikuwa wanataka kutengeneza pesa tuu sio kuburudisha watu… But they will pay back big tyme…

 12. baker Says:

  Hhahaha kweli kazi ipo! twende tuish wandugu!achaneni na hayo fainali uzeeni.

 13. Lizzy Says:

  Guyz forget it all we can say mmetapeliwa basi kwani ndio mara ya kwanza kutapeliwa wasameheni waandaaji hatutarudia tena kosa

 14. kekue Says:

  Poleni sn jameni!!!!

 15. Gervas Says:

  Mjini shule wajameni, sasa si wandaaji walikuwa na hamu ya vijisenti. hamjui ufisadi ume-cross borders !! a spade is always a spade. no dig ferra next one gonna be rocking!! dont miss.

 16. Stranger Says:

  Wabongo wameingia viwanja wanasahau standard zao. Acheni kufananisha standards za marekani na asilia yenu. Tafrija hii ni old skool kukumbukia enzi za zamani na enzi hizo ma DJ hao walikuwa wanapiga bongo na standard za bongo. Kwanini hamuelewi standard zote hizo zilikuwa part ya theme?

  Muandaaji
  PS sisi sio matapeli

 17. young millionaire Says:

  jamani tajeni hao waandaaji ambao ni mafisadi wa us jamani tuwe tunawaogopa loh.
  mimi sikwenda lakini imeniuma sana kusikia watu hamkufuraishwa pole sana na muwasamehe
  mwakani wataandaa kitu cha maana

 18. mtz Says:

  The party was okay. Watu mmesahau mlikotoka na kwamba you had more fun seeing other Tanzanians after a long time. Hamna aliyefata muziki, watu walikuja kupiga story na that’s what happened.

 19. binti-mzuri Says:

  we mtz wewe ndio hukufata mziki,some people went thea for the ‘oldies’

  ila nimecheka walahi,poleni,sijashangaa sana..kwani hata huku ni same storyy..ni aibu na inasikitisha maana siku izi wabongo hata wakisikia kuna vi party hawaendagi huku,maana wanajua uzushi-time.com umewadia.

  sasa kwanini waliweka ma black americans kama bartenders?HAHAHAHHAHA

 20. freddie Says:

  lol for 10 bucks haaha thass was okey.
  stop blaming u idiots !!!!!!!!! it was only freky 10 bucks.
  so easyy like tha park walking

 21. mtz Says:

  Binti mzuri, huku hatuiti black Americans wanaitwa African Americans. Sababu ya kuweka weusi hao ni kwamba hakuna bia za bure, wako very professional. Party was okay unless watu wanaona wivu, nimekutana na watu niliosikia walishakufa

 22. injinia Says:

  Jamani wabongo!! The party was okay, watu walipata nafasi ya kukutana na watu waliowamiss long time. Ask yourself how many friends you met or made?! Party ni watu; na nakwambia wakiandaa nyingine watu wataenda. Old skool songs unaweza kusikiliza kwenye ‘youtube’ waliokwenda Columbus walienda ku-vacation na kuhave fun, meet wabongo, etc. Kama mziki ulikuwa mbovu mbona watu hawakuondoka mapema?? Watu walikuwa more interested kupiga stori kuliko muziki; and thats always the case kwenye party ya wabongo. Party ni watu!!

 23. anon Says:

  injinia Says: July, 10, 2008 at 3:26 pm na wenzako wapenda story
  kulikuwa na haja gani ya kusema ni oldskool party? si MNGESEMA ITAKUWA MEET OLD FRIENDS PARTY, STORY PARTY OR SOMETHING
  nyie watoto ubishoo umewazidi sana, mnataka muishi kama rockstars wakati hamna hela ya kulipia gharama za hiyo lifestyle ndo mnaibia wabongo kufunikafunika gharama za maisha, yana mwisho hayo
  mtakua mtajutia dignity na reputation mlopoteza

 24. […] KUTOKA OLD SCHOOL PARTY Mwisho wa wiki jiji la Columbus,Ohio nchini Marekani lilishuhudia mkusanyiko wa aina yake wa watanzania.Hiyo ilikuwa katika Old School Party […]

 25. binti-mzuri Says:

  hahahha we anon mie sina mbavuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

 26. DUNDA GALDEN Says:

  Poa wajameni si mmekutana na washkaji mlioptezana nao zamani.pia kama home vile some time matangazo alafu hamana kitu.Tade kwako part ilikuwa safi angalau umemuona mdeni wako na kukuacha solemba (gizani)sasa achange pesa kumzamini mama yao
  chafosa

 27. Matty Says:

  Mhhh!

 28. Mkereketwa Says:

  IT was a Party Not the Meeting! Tungetaka kukutana na watu basi mngesema Old School Meeting! tune kama kuna mtu angekuja! Natokea Columbus, na kwa kweli TULICHEMSHA, Why Lie?? kwahiyo wewe MTZ n Stranger, acheni kujitetea! n DO u have explanations ya kwanini kulikuwa hamna BBQ au Mpira! Watu Wali Mind kinomi nomi! na Choo??? Hata bongo hamna mambo hayo siku hizi! Kwenye pombe unawawekea wadada choo kimoja??? Afadhali hata wakaka walikuwa wanajisevu nje!

  TAtizo lenu, ni kwamba mtu mmoja au wawili ndo walitaka kula hizo hela zote! so ni wao na wake zao walikuwa wanauza pombe kuchukua viingilio n.k mngegawanya Majukumu hamna kibaya kingetokea!

  Haya Muziki nao ukaleta matatizo! Jamani! Ni nini nyie?? msiseme ni Dola 10 tuu! Kuna watu tunafanyia saa moja kazi hizo dola Kumi! na isitoshe watu wamepoteza muda wao, pounds, na hela( ukijumlisha hiyo dola kumi) kuja COlumbus!

  Tunaomba msituabishe next time! Maana hii lawama inaenda kwa watu wa Ohio wote! hamuwezi muache!

 29. Matty Says:

  mkereketwa inamaana choo kilikuwa kimoja???? khaaaaaaaaaaaaaaa hiyo tuu machiiiiiiiiii kwakweliiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!

 30. ccshift Says:

  Oyaa washikaji – Wadau wameomba msmaha kwenye Michuzi Blog. It’s worth checking out!

 31. binti-mzuri Says:

  warudishe na hizo pesa basi,au waweke pati lingine free and worth it… ujue msahamaha tupu doesnt do much!

 32. hania Says:

  dj bony luv namfagilia kinoma hana mpinzani kabisa


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s