BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

BABA MDOGO-MBARAKA MWINSHEHE July, 10, 2008

Filed under: Burudani,Muziki,Weekend Special,Zilipendwa — bongocelebrity @ 10:01 PM

Baada ya kipute cha “old school” kule jijini Columbus,Ohio,leo sio vibaya tukarudi kwetu kwenye zile old na zilizopendwa. Ni wiki nyingine tena inakatika na kama kawaida ni wakati mwingine wa kutafakari yaliyopita huku tukiganga yajayo.Uzuri wa maisha upo hapo. Kila siku ni siku mpya na kama ukiichukulia hivyo basi utaichukulia kama nafasi nyingine ya kutimiza ndoto zako na kusonga mbele.

Wimbo unaitwa Baba Mdogo. Ni kutoka kwa Hayati Mbaraka Mwinshehe. Ombi moja kutoka kwangu hivi leo.Usikilize wimbo huu halafu ujaribu kukumbuka unakukumbusha wapi au nani? Ni enzi zile za mchana mwema huku njaa ikiuma au ni enzi gani. Tukumbushane tafadhali. Wikiendi njema.

Advertisements
 

6 Responses to “BABA MDOGO-MBARAKA MWINSHEHE”

 1. Edwin Ndaki Says:

  Wimbo huu unanikumbusha nipo arusha natoka shule muda wa mchana.Hapo Bc nilikuwa shule ya msingi Naura.Hakika ninaposikia nawakumbuka sana washkaji kibao niliokuwa nao enzi hizo.

  Bado nakumbuka tulikuwa na guiness bia fupi..zilikuwa zinaitwa shotiie au Kawawa.

  Siku zilikuwa tamu.

  Ijumaa njema.Matty tuonane kwa Danny jioni basi

 2. DUNDA GALDEN Says:

  HOME SICK
  Mchana mwema huo siku ya week end
  ugali wa bada (a.k.a ugaliwa muhog na samaki
  alieungwa na nazi uku kachumbali kwa mbali pembezoni
  mwa bahari ya hindi BC mwana on we acha tuu tumetoka mbali heshima kwenu wazee.pia mungu akupunzishe mahali pema Gwiji la musiki M.Mwinshehe
  WEEK AND NJEMA WADAU KWA AFYA NJEMA AMINNN

 3. Mswahilina Says:

  B.C,
  Umenikumbusha pale penyewe.
  Kazi njema.

 4. Matty Says:

  Yaani wknd inavyofika haraka tadhani inakimbizwa vile…thanks BC…sasa E.Ndaki inamaana ulianza kutumia guiness tangu shule ya msingi?????sasa hv si utakuwa pampula sasa???
  Usijali tutakutana kwa Dan kama kawa!!!

 5. hombiz Says:

  watoto wanaoteswa na ndugu zao ni wengi saaana. Kwakweli hii ni tabia isiyofaa kabisa. Watu wanasahau maisha ya kila mtu hapa duniani yanapangwa na mwenyezi mungu. Hawakumbuki hata biblia inasema Joseph aliuzwa na nduguze utumwani (Mwanzo 37: 1-36). Lakini baadae alikuja kuwa kiongozi wa ngazi ya juu serikalini na akawafaa sana ndugu zake wakati wa dhiki(njaa kali). Do not judge a book by its cover, baba mdogo!.

 6. Veshimi Says:

  Lala pema peponi Mbaraka we miss u….

  Im enjoying this song it was a blessing to have you around and its God’s will that u departed from us physically.

  R.I.P


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s