BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

MICHUZI’S BLOG UPDATE July, 10, 2008

Filed under: Tangazo/Matangazo — bongocelebrity @ 11:07 AM

Tumepata e-mails na comments kadhaa zikihoji au kutaka kufahamishwa kwanini blog ya Michuzi haipatikani leo.Tumewasiliana na Michuzi ambaye ametufahamisha kwamba kuna matatizo ya kiufundi kwenye platform anayotumia kuhodhi blog yake yaani http://www.blogger.com ambayo ipo chini ya www.google.com. Kwa hiyo tatizo haliko upande wake bali kwa host.Tatizo hilo linashughulikiwa na matumaini ni kwamba hali itarejea kuwa kawaida muda si mrefu.

Pamoja na hayo,Michuzi ametufahamisha kwamba kutokana na ukweli kwamba bado anaendelea kuhamisha kazi zote(picha,maelezo na maoni) kutoka kwenye blog ya zamani kwenda kwenye uwanja wake mpya,rabsha za hapa na pale zinaweza kuwa zinatokea.

Hivyo anawaomba radhi kwa usumbufu wowote ambao umejitokeza au utakaojitokeza.Ahsanteni.

Advertisements
 

3 Responses to “MICHUZI’S BLOG UPDATE”

 1. Frateline Says:

  Hi, Guys kutoka Helsinki-finland

  Kwa kweli, blog ya bwana michuzi ni blog ya jamii, ni sisi wa huku ughahibuni, inatusaidia sana, iko update hata kwa break news za bongo, ni vizuri bwana michuzi ajue kuwa anafanya kazi nzuri sana, mungu amubariki na ampe maisha marefu, maana kwa muda mfupi tumegundua umuhimu wake hasa hasa sisi wadau wa blog ya jamii. Kwa mfano hukikutana na mbongo ktk mitaa ya helsinki, akikupa habari za bongo, akosi kutaja blog ya michuzi, Hongera sana bwana michuzi, keep it up man! big up kwa sanaaaaaaaa.

  blog inaumwa kidogo

  get well soon!

 2. sinzia Says:

  viungo vikizidi sana huaribu radha ya chakula…inabidi Muhidin msemo huu aujuwe pia!!!

 3. Nicodemas Nkundwe Mwasuka Says:

  Habari ya wapenzi wote wa blog ya Michuzi!

  Mimi pia ni mpenzi sana wa blog hii, kwa maana inanipa taarifa za watu na mambo mbalimbali ya jamii.

  Na kitu kikubwa ni zile habari picha zake, ni vitu poa sana.

  Wenu Nico

  Kinonondoni, Dar es salaam


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s