BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

KILA LA KHERI AMANDA/TBC 1 KURUSHA “LIVE” July, 11, 2008

Filed under: Fashion,Television,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 8:56 PM

Shindano la 57 la kumtafuta Miss Universe 2008 linatarajiwa kufikia tamati Jumapili hii tarehe 13 Julai huko Nha Trang,Khanh Hoa nchini Vietnam katika ukumbi wa Crown Convention Centre.

Kwa mujibu wa taarifa tulizonazo, shindano hilo litaonyesha moja kwa moja au ‘live” katika vituo mbalimbali vya televisheni ulimwenguni huku nchini Tanzania kituo cha TBC 1 kikifanya hivyo pia.

Majaji wa fainali hizo wametajwa kuwa ni Donald Trump Jr(mtoto wa bilionea Donald Trump ambaye pia ndio bosi mkuu wa Miss Universe), Mwanamitindo na mjasiriamali maarufu Roberto Cavalli,muigizaji na mrembo Nadine Velazquez(anaonekana katika show maarufu ya kituo cha televisheni cha NBC iitwayo My Name is Earl), TV Presenter na mshindi wa Miss Universe 2004 Jennifer Hawkins, mtia nakshi maarufu Louis Licari na mpambaji maarufu John Nguyen.Majaji hao watafanya kazi yao katika mavazi ya kuogelea(swimsuit), mavazi ya jioni(evening gowns) na pia ujibuji wa maswali.

MCs wa onyesho hilo watakuwa Jerry Springer na Mel B(kutoka kundi maarufu la zamani,Spice Girls).Burudani inatarajiwa kutolewa na Lady GaGa anayetamba na wimbo wake Just Dance.

BC inamtakia Amanda kila la kheri.Kwa picha zaidi bonyeza “more” hapo chini.

Isn’t she fabulous?

Kutoka Vietnam.

She is ready for questions and answers.

Advertisements
 

12 Responses to “KILA LA KHERI AMANDA/TBC 1 KURUSHA “LIVE””

 1. trii Says:

  sura imetulia,all the best.

 2. HUSNA Says:

  god bless ou

 3. Matty Says:

  Mungu ibariki Tanzania!!!!!!!! ngoja kwanza nikuombee ushinde!

 4. Edwin Ndaki Says:

  Binafsi nakutakia kila la kheri Amanda.Nilipiga kura yangu kwa ajili yako.

  Kikubwa nitakukumbuka kwenye sala zangu.

  natumaini utafanya vema zaidi.

  Kila la kheri amanda

 5. SP Says:

  Aisee hapa BC nimezima, sio siri.

 6. Albert Mbago Says:

  We are proud of you girl, take our country to the peak, all the best Amanda all Tanzanians we are after you.

 7. DUNDA GALDEN Says:

  KILA LA KHERI MPENDWA ALWAYS ON U KIPINDI HIKI DO ALL THE BEAST KUPEPELUSHA BENDERA THINK U CAN DO BEAST
  CHAI DOGA

 8. Flavy Says:

  All the best mamii i knw ul make it

 9. iAUWDQ Says:

  Jamani saa ngapi itarushwa maan tunatofautiana na china time

 10. George Says:

  You can do it, Amanda. All the best. Kila la kheri. God Bless!

 11. Tanzania tunaweza kufanya mambo mengi makubwa if we have a certain support from the required point. For sure, Amanda is that beauty Queen that is there for MISS UNIVERSE, all the best Mah!!!

 12. TARY MDENDEMI Says:

  The way look you are like an Angel. I’ m sure you will do the best.
  Best wishes God bress you


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s