BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

VENEZUELA YASHINDA MISS UNIVERSE/TANZANIA YATOKA PATUPU July, 13, 2008

Filed under: Breaking News,Fashion,Sanaa/Maonyesho,Urembo,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 11:19 PM

Shindano la kumtafuta Miss Universe 2008 limemalizika dakika chache zilizopita na kushuhudia mrembo kutoka nchini Venezuela, Dayana Mendoza(pichani), akitwaa taji.

Tanzania tumeshindwa kufua dafu kwani mrembo wetu,Amanda Sululu, hakuweza kusonga mbele na kuingia katika warembo 15 bora ambao kimsingi ndio waliokuwa wanaonyeshwa au kuonekana usiku wa leo.

Top 15 walikuwa wafuatao; Venezuela,Kosovo,Mexico,Vietnam,South Africa,Australia,Japan,Dominican Republic,Italy,Colombia,Russia,Hungary,Czech Republic,USA na Spain.

Top 10: Kosovo, Australia,Spain,Mexico,Colombia,USA,Dominican Republic,Russia,Italy na Venezuela.

Top 5; Colombia,Venezuela,Dominican Republic,Mexico na Russia.

Matokeo ya mwisho (5)Mexico (4)Russia (3) Dominican Republic (2) Colombia (1) Venezuela

Highlight ya mwaka huu: Kwa mara nyingine tena mrembo kutoka USA (safari hii anaitwa Crystle Stewart) aliteleza na kuanguka stejini.Hii ni kama ilivyokuwa mwaka jana kwa mrembo mwingine kutoka USA,Rachel Smith alivyopiga mweleka stejini.

Advertisements
 

35 Responses to “VENEZUELA YASHINDA MISS UNIVERSE/TANZANIA YATOKA PATUPU”

 1. Edwin Ndaki Says:

  Pole sana Amanda.

  Ila kikubwa kumbuka kwenye mashindano lazima kuna kushindwa na kushinda.Ni tofauti na hisabati ambako 1+1=2..

  Pongezi kwa kuweza kutuwakilisha najua kupitia kwako wako waliokuwa hawaifahamu tanzania sasa wanaitambua.

  Pongezi kwa Dada Sarungi kwani amekuwa mstari wa mbele katika kufanikisha zoezi zima na kutupa mawasiliano kwa kiwango cha juu.

  Karibu tena nyumbani Amanda.Kwangu wewe ni shujaa hata kama hujarudi na taji.

  Tutafika tu

 2. Pearl Says:

  hakuna tatizo,she is still cute.

 3. DUNDA GALDEN Says:

  Hamna noma swali je anaweza kujiunga na wenzie waliokambini?

 4. Careen Says:

  Sioni uzuri wowote kumshinda amanda, umependelewa tu kwa kuwa ni mzungu

 5. Gervas Says:

  Big up Amanda, nafikiri Amanda kutofanya kwakwe vizuri kumechangiwa hasa hasa na Kashfa nyingi za ufisadi Tanzania. Huwezi amini mtoto wa kimasai kila alivokuwa akitembea stegini anakumbuka EPA, RICHMOND ambazo zimesababisha ugumu wa maisha. Charity begins at home, Kama wazazi wanapigana kila siku inamuathiri mtoto kisaikolojia. Hao wamarekani kuanguka anguka stejini ni juju au?

 6. kwikwi Says:

  chekii mtoto alivyokamili….tanzania aibu!

 7. hombiz Says:

  Hongera dada kwa kujaaliwa uzuri wa asili na kuiwakilisha nchi yako vema. Natumaini kushindwa kwa Tanzania ktk shindano hili, kutatumiwa kama changamoto kwa mashindano yajayo. “Who you`ve been and what you`ve done is not all what you are Amanda. Big things will come out your way. All you got to to is stay focused. GOD BLESS YOU.

 8. lily Says:

  Amanda kafanya vibaya kila mtu anamsifia lakini kwa Richa kila mtu alikuwa anamsema.jamani wabogo aibuuuuuuuuuuuuuu lo kichefuchefu.kwanza dini hairuhushu uchavu huu wa kukaa na vichupi mimi naona ni kheir kashindwa .

 9. Gervas Says:

  Lily naona una-personal agenda, kwanza unafikiri watu wote wanaamini hizo dini zinazokataza huo unaouita uchavu? Kila mtu aliyetizama mashindano haya live, kwa TV nk, hakika aliiona neno Tanzania, ivo kitendo cha kuiwakilisha nchi kati ya nchi nyingine anastahili pongezi hata angekuwa wa Mwisho. Kumbuka mababu zetu walivaa mavazi haya haya…waliziba nyeti tu basi na mambo yalikuwa shwali. Hongera Amanda,

 10. hombiz Says:

  Gervas umeongea. Lily na dini yako kaa kushoto. Dini yenyewe bila shaka umerithi toka kwa aidha waarabu ama wazungu.

 11. kekue Says:

  Ndo mashindano hayo, ila jitahidini muwe natural coz naona Flaviana alikuwa natural na vazi lake la kimasai aka mbona alifika mbali sn. Lkn we ni mzuri mwaya eee ucjali.

 12. Pearl Says:

  gervas hebu sema, ra re ri ro ru,haya ni shwari na sio shwali

 13. Celesty Says:

  Miss Universe is over and Amanda welcome back home.
  Wewe sio wa kwanza na wala sio wa mwisho kushindwa katika mashindano ya Kimataifa.

  Hata wale kaka zetu (TAIFA STARS) walishindwa na wamerudi na tupo nao bega kwa bega kuendeleza maisha ya kibongo, so cha ajabu nini Amanda kutoingia top 15?!

  Kushinda au kushindwa ni part of the game.

 14. Matty Says:

  Lily acha apongezwe amanda hapa…huyo Richa kwani alikuwa nani vile?????halafu si kila mtu anamtizamo wake sasa sijui usaidiweje??kuhusu dini sijui ni ipi unaizungumzia may be ndo nitaweza kusema kitu hapo!

  Gervas umesema Amanda akipita jukwaani anawaza Richmond na Epa hahahahahahahahahahaha!

  Na kuhusu huyo shosti aliyekula mweleka sijui ni kiatu kirefu au ndo woga hata sijui ni nini….Kekuu hapa unaweza kunisaidia najua wewe mtaalamu kidogo na mambo haya.

  Dunda Galden unauliza kama anaweza kujiunga na wenzie kambini jibu ni HAWEZI sababu hii ni MISS UNIVERSE na ile warembo walioko kambini ni MISS LUNDENGA!

 15. mimmy Says:

  kwa kweli pamoja na kushindwa, bibie wa kimasai KASIMAMA yaani mtoto mzuri ila sijui upeo wake katika kujielezea.

  hapo ndiyo mwanzo wa chanel nyingine katika life. maana akina flaviana na magese wanaula, nawe bila shaka hutolala njaa.

  kaza buti, usiyumbishwe na maneno ya watu kama kina LILY, wewe ni mzuri yaani for real. ni msichana mwenzangu lakini ukweli uko wazi.

 16. Gervas Says:

  Pearl….mbona easy? la, le, li, lo, lu, kuna zaidi?
  Matty wee acha tu, tunamatatizo mengi mno bongo kiuchumi, kisiasa, kijamii. Unaona watu wanakula nyama za watu. Ukiona mtu kaweza hata kutembea stejini na kichupi kwa kadamnasi ya kimataifa, ujue kapiga moyo konde haswa….Hongera Amanda.

 17. kekue Says:

  Matty hawa viumbe huwa wanajiamini mpaka wanapitiliza thats y wanakula mweleka,!!!!!!!!!!!!!!! Pole zao, pamoja na kula mweleka lkn top 10 kaiona.

 18. trii Says:

  pia MR universe iazishe nao wapite jukwaani na vichupi.yani kuwa na miss & mr universe.au kila mashindano yawe na miss na mr(world,earth,tourism na zingine nilizo sahau)najua mtanikaa kooni,tafadhali lugha ya matusi sitaruhusu.

 19. trii Says:

  tusaidiane,kama miss universe mfano anapata million 20 basi wagawane nusu kwa nusu na mr universe,kumi kwa 10,na kazi za jamii wasaidiane,mi sioni tatizo lolote plz correct me if am wrong.na jua msichana anae shinda huwa anafaidika na vitu kibao,(hela,kutembelea inchi nyingi,mikataba makampuni tofauti tofauti etc)na anaeshinda taji lolote ya kimataifa/kitaifa huwa maisha yake yana badilika sana.haswa taji la kimataifa.

 20. trii Says:

  au labda sifa za mr ziwe nini,awe baunsa au mwembamba,au handsome,single,hajazaa, plzzz help me.

 21. lily Says:

  lazma nimtete Richa kama nyinyi manavyomtetea hicho Kiamanda chenu.maana wote ni sawa hakuna tofauti lakini nashangaa ubaguzi mnaoufanya loooooooo aibu kweli.wewe Gervans na Hombizi mna sema nini nyinyi hamna dini nini hasa wewe Hombini unasdema hiyo ndini nitakuwa nimekopi kama si kwa wazungu basi itakuwa warabu mbona mimi mwenyewe mwarabu sasa nimkopi mwarabu gani? au wewe ndio unikopi mimi.kama hauna dini bora unifute dini yangu mimi

 22. lily Says:

  amanda ziiiiiii hata akienda kwenye miss tz hashindi 2 nashangaa DUNDA GOLDEN anamfagilia sijui kwa nini?

 23. kimamy Says:

  Jamani huyo Hombiz mwehu kwelikweli maana hayo maneno yake eti hiyo dini utakuwa umekopi kama si kwa warabu basi itakuwa wazungu thetheetheeeee.

 24. hombiz Says:

  U kimami ndio mwehu wa kutupa kabisa! Unataka kuniambia ukristo ama uislamu ulifika vipi afrika kama havikuenezwa na waarabu na wazungu ambao hao hao ndio walieneza na biashara ya utumwa. Then, waliwagawanya watu ili waweze kuwatawala kiurahisi na kuwalazimisha kuacha utamaduni wao wa kiafrika ili wafuate aidha wa-kiarabu ama wa kizungu, depending on who was colonizing where at that particular time.
  Let me ask you this. Ina maana mababu zako wewe “kimama”, ambao waliishi kabla ya wazungu na waarabu kutawala afrika wako motoni hivi sasa kwakuwa hawakuwa waislamu au wakristu? Chambua mambo kipembuzi na sio kidhanifu tu!.

  After all, hizi dini zao ni biashara tu. Mala ngapi tunasikia hao mapadri wanalawiti watoto? Na ni mala ngapi tunasikia mashehe wanafuga majini na kuamini mambo ya kishirikina?
  GOD DAMN IT! Pembua kiyakinifu!

 25. hombiz Says:

  kimamy! According to University of Cambridge International Examination, one reason was that the slaves were not deemed human by their captors, the slaves were nothing more than cattle and were branded as such. Another reason and the most powerful of reasons was borne from the words written down in the Christian New Testament. Slave masters considered themselves greater than human beings hence, slaves were answerable to their Masters… “Slaves, obey your human masters with fear and trembling; and do it with a sincere heart, as though you were serving Christ. Do your work as slaves cheerfully, as though you served the Lord and not merely human beings.” (Ephesians 6:5&7). Masters however, were answerable to Jesus, their Master in heaven. “Masters, be fair and just in the way you treat your slaves. Remember that you too have a Master in heaven.” (Colossians 4:1). Of course we know the latter wasn’t always followed. The religion of Christianity played a very important part in making slaves feel inferior and dependant on their captors. The 26 books of the New Testament are the laws and teachings of men, not of God. The law of God protected slaves. Slaves had rights, a Hebrew slave was to be freed in the seventh year: “If you buy a Hebrew slave, he shall serve you for six years. In the seventh year he is to be set free without having to pay anything.” (Exodus 21:2). The slaves who were captured by the Europeans and shipped to the Caribbean and to the Americas were the descendants of the Israelites whom God delivered from Egypt. The truest justification for slavery is found in the book of Deuteronomy 28:15-68. God warned his people what would happen to them if they disobeyed his laws: “Who gave Israel up to the looters? It was the Lord himself, against whom we sinned! We would not live as he wanted us to live or obey the teachings he gave us.” (Isaiah 42:24). But all is not lost, God’s love for his chosen people is everlasting: “How can I give you up, Israel? How can I abandon you? Could I ever destroy you as I did Admah, or treat you as I did Zeboiim? My heart will not let me do it! My love for you is too strong.” (Hosea 11:8). God will punish the oppressors of his people Israel but first they must return to him and obey his laws: Deuteronomy 30:1-10, Ezekiel 38:1-23. All scriptures taken from the ‘Sunrise Good News Bible’
  According to Author: Jahanshah Rashidian (Iran/Germany) – August 15, 2007, the difference between the Islamo-colonisation and the classic colonization is that the early Islamo-colonialists not only plundered, exploited and looted the colony, but also destroyed the native civilization in the favor of Islamic creed. Today, the followers of the Islamic invaders shamelessly argue that a loss of an Islamic identity is a profound danger for the independence of new generations of the Islamic world.
  An “independent” Islamic society for them is a model of the Dark Ages, a Talibanist or Khomeinist way of life; it is preferably a way to paradise as a martyr during an Islamic Holy War (Jihad). This new advent of international political is now a new extension of the colonization.
  While many other non-Islamic colonies could develop, the Islamic world because of its religion could never act accordingly to develop after the initial colonization era ended. Because under the classic colonization, there was a gradual transformation of population in the world, whereas under the dependent dictators to the international capitalism, there were thousands escaping the dictatorship, but under the new model of Islamo-colonisation, millions, if possible the majority, of people would escape their countries.

 26. Dunda Galden Says:

  Lily hhahahaha kwa sababu ndie mbongo angalau niliemuona kwenye mashindano sikati kweli kuna vimwana vya shoka kama Binti mzuri wa 16 hapo juu
  Binti-mzuri mbona umekuwa wa bei ghali?
  chai goda

 27. binti-mzuri Says:

  mmh we dunda galden..unanitega ee… ulitaka niwe cheap cheap?!?!?!

 28. Dunda Galden Says:

  Hhahahaha Sivyo hivyo ubaya wa nini?week end imefika kila la kheri sijakutega mimi na wewe dugu moja kasolo Lily peke yake ndio mmbaguzi hahaha ongera miss Venezuela

 29. Matty Says:

  BC kwa mara ya kwanza umeyaminya chini kwa chini maoni yangu sikutukana sababu sina desturi hiyo anyway its OK.

  Lily kumbe wewe mwarabu?? halafu hukuwa na haja ya kumuita Amanda (kiamanda) what does ki- stand for???na kama ubaguzi nadhani wahindi ndo wanaongoza hivyo ni bora ukawashauri waache tabia hiyo ndo uje kutushauri na sisi tuache ubaguzi.

  Hombiz umefafanua vya kutosha na ni heri mwenye macho aone na mimi nakuongezea Lily kasome Mathayo 7:7 nakuendelea …kama hiyo haitoshi pia tafuta zaburi 130:1-8.

  thanks…weekend njema wote E.ndaki uwapi weye???

 30. lily Says:

  wewe Dunda golden mimi sio mbaguzi lakini ukweli lazma niseme kama mimi mbaguzi basi na wewe mbaguzi,msalimiea ramla mwambie sharifu wa bondeni bagamoyo amefariki.

 31. warda Says:

  mambo hayo lily wanakuonea mimi nakujua wala sio mbaguzi,kila la kheri lily

 32. Mkandara Says:

  Bi. Richa, Kwanza kabisa inabidi ujifunze kutokana na makosa ambayo safari hii yamejitokeza pengine hukuyatazama kwa makini kuelewa nini kinatakiwa kumpata Miss Universe..
  Mwaka jana ilikuwa mavazi lakini mwaka huu kosa kubwa la kwanza ni kimo cha mwakilishi wetu. Uzuri wa sura sii hoja kabisa ktk Universe ikiwa mtu hana kimo na kama umeona matokeo 10 waliopita mfupi Pale alikuwa ni futi 5 inch 7 yule wa Kosovo wengine wote ni 5’8″ hadi 5′ 11″
  Mshindi wa Kwanza, Pili na tatu wote wamezidi 5′ 10″.. Ni mwka jana tu ambapo yule Mjapan aliweza kuchukua akiwa na futi 5’8″ ktk record za Miss Universe…
  Kwa hiyo next time Urefu uzingatiwe, shingo, long legs, Athletic body na mwisho Hekima na Busara…

  Haya ni mambo muhimu ambayo yanaweza kumpitisha mgombea ktk vinyang’anyiro vya mwanzo ktk mavazi….

 33. Ramla Says:

  Innalillah waina illahrajuun
  poleni kwa msiba ni mzee wetu yule
  Dunda alisoma na Babuji kabla kuamishwa
  Moro Inshallah mungu amsamehe makosa
  yake ahsante kwa ujumbe that why we like BC
  …….salam zimefika kweli Dunda mbaguzi kapata msg imefika safi


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s