BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

MR.PAUL ATETA NA SPOTI STAREHE July, 18, 2008

Filed under: Blogs,Bongo Flava,Burudani,Maisha,Muziki — bongocelebrity @ 11:08 AM

Bila shaka hujafanya bado dhambi ya kumsahau Mr.Paul.Huyu ni miongoni mwa wanamuziki ambao wapo katika lile kundi linaloweza kuitwa la “waanzilishi” wa aina za miziki ambazo hivi leo tunaziita miziki ya kizazi kipya.

Mr.Paul ambaye jina lake kamili ni Paul Mbena hivi sasa anaishi nchini Australia.Anafanya nini huko?Bado anajishughulisha na masuala ya muziki?Hivi karibuni alifanya mahojiano na blog ya Spoti na Starehe ambayo ndio kwanza imehamia katika makazi yake mapya ili kukupa wewe msomaji ladha zaidi na mambo lukuki zaidi.Bonyeza hapa ili kuwatembelea Spoti na Starehe na pia kusoma mahojiano yao na Mr.Paul.

Pichani juu ni Mr.Paul(kushoto) akiwa na mkewe Natascha Klocker huko nchini Australia.

Advertisements
 

13 Responses to “MR.PAUL ATETA NA SPOTI STAREHE”

 1. Dunda Galden Says:

  Mzee wa kijiwe siku zimekuwa nyingi ujazunguka kisiwa
  sisi pia tuko hapa kisiwani
  chafosa

 2. sally Says:

  Big up Mr. Paul, Wifi umemfundisha kiswahili lakini!

 3. binti-mzuri Says:

  kaoa….aiseee sasa na mie binti-mzuri niolewe,niache unungayembe

 4. Angeline Says:

  Hongera sana mzee wa dola 10, naupenda sana ule mwimbo kwani uliyoyasema ni kweli kabisa, dola 10 kila siku, waishia kunipeeb wampigia nani……..wasalimie waborgine wote hapo Mel

 5. Dunda Galden Says:

  Lily poleni sana Mzee wetu huyo inshallah mwenyezi amsamehe makosa yake
  Pandu na Sashi babu yenu Shariff wa Bondeni amefaliki poleni sana

 6. jimmy Says:

  Paul apunguze banda la afya hilo! Tooo much!!

 7. lilly Says:

  THANX A LOT DUNDA GOLDEN AND YOUR WIFE RAMLA.

 8. WARDA Says:

  BINT MZURI NAONA UNATANGAZA BIASHARA SASA.BASI MIMI NATAKA UWE WIFI YANGU .KAMA UTAKUBALI KAKA YANGU AKUOWE UTAKWENDA KWETU BAGAMOYO.

 9. WARDA Says:

  WIFI TWENDE NYUMBANI KARIBU WIFI KARIBU WIFI KWE2 BAGAMOYO

 10. Matty Says:

  Hongera zako kaka kwa kujinyakulia jiko!!! ila napenda sana nyimbo zako hasa Zuwena uliyoirudia ya Marijani!

  Sally, hv ww ni dada/kaka sorry…humu ndani inabidi tuwe tunajuana kijinsia nadhani nisije nikakuita kaka kumbe dada!

 11. binti-mzuri Says:

  hahahha matty mimi hoii….HAHAHAHA…

  WARDA tutaongea vizuri.. 😉

 12. Matty Says:

  hahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa duuu mwaka huu balaaaaaa Binti Mzuri na wewe kiumbe mh!!! nilikuwa sijasoma comment yako hata sijui niliiruka vp…nilipoisoma tu mbavu zangu zimeniuma haki ya nani tena.

 13. warda Says:

  bint mzuri mimi nasema kweli si unajua ramadhani kesho kutwa sasa kaka yangu anatafuta jiko mama.CHANGAMKA KIMWANA WENZAKO WASIJE WAHI.HAHAHAAAAAAAAAAAAA


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s