BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

ILIVYOFANA ZIFF July, 21, 2008

Filed under: Bongo Flava,Burudani,Filamu/Movie,Muziki,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 2:17 PM

Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar au kwa lugha ya wenzetu Zanzibar International Film Festival limemalizika hivi karibuni huko Zanzibar.Tamasha lilifana na pia lilipambwa na wasanii mbalimbali mahiri wa kitanzania.Ngoja picha ziongee. Picha zote na Peter Bennett.

Prof.Jay alikuwepo kuwapa raha kamili mashabiki wake.

Bingwa wa mashairi au mistari, MwanaFA alikuwa gado jukwaani kujibu swali MwanaFA unaoa lini?

AY hakuachwa nyuma.Hapa kwa kushirikiana na MwanaFA(unayemuona kwa mbali) walikuwa wanasema Habari Ndio Hiyo

Advertisements
 

7 Responses to “ILIVYOFANA ZIFF”

 1. binti-mzuri Says:

  why mwanaFa anapenda kujishika ivo? hilo ndilo swali

 2. hombiz Says:

  Safi sana vijana! Peperusheni bendera ya hip to the hop hadi kieleweke!
  Binti-mzuri! Labda hisia zake zinatoka huko wakati wa makamuzi!

 3. Matty Says:

  Binti-Mzuri, walio wengi wanapenda kushika maeneo yao nadhani ni kitokana na mivao yao (mlegezo) ndo inabidi ashike hapo ili kubalance kaptula/suruali yake isije ikaachia ngazi!!
  Ila you guys have talents safi sana!

 4. Pearl Says:

  wengi huwa wanashika hapo nadhani ndo utoz wenyewe wa mambo ya borntown

 5. IZZO UoN Says:

  HAINA BISHO BILA SHAKA HABARI NDO HIYO BWANA AY MNATESA KAMA IKULU HUKU KENYA BONGO INAKUBALIKA KWA UPEO WA JUU MZUKA,WATU WATU WANGU WA BONGO.PROF.JAY AJE CHUONI KWA TUNUKU LA SHAHADA YA PILI YA PhD KWA UMAHILI WA KIMZIKI PA!!!!!!!!!!!!!!

 6. binti-mzuri Says:

  KUMBEEEEEE… HAYA TOZI NYANGEEEMA

 7. truthfulness Says:

  Labda hisia zake zinatoka huko wakati wa makamuzi! -hombiz MAKAMUZI YAPI!!? hahahaha


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s