BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

AKON NA MJ WANASEMA HOLD MY HAND July, 24, 2008

Filed under: African Pride,Muziki — bongocelebrity @ 6:46 PM

Kama kuna mwanamuziki mzaliwa wa Afrika anayefanya vizuri zaidi nchini Marekani basi huyo sio mwingine bali Aliuane Badara Thiam au maarufu kama Akon.Kijana huyu kutoka kabila la Wolof nchini Senegali,Afrika Magharibi sio tu anafanya vizuri katika muziki bali pia amekuwa akijivunia uafrika wake bila kificho wala woga.

Katika kuendeleza vitu vyake vya kimuziki hivi karibuni Akon ameshirikiana na Mfalme wa Pop duniani,Michael Jackson na kufyatua kibao kinachoitwa Hold My Hand.Kama hujapata bado nafasi ya kukisikiliza,BC inakupa nafasi hiyo.Bonyeza player hapo chini ukisikie na utupe tathmini yako.Akon amewahi kuitembelea Tanzania ambako ana mashabiki kibao.

Advertisements
 

13 Responses to “AKON NA MJ WANASEMA HOLD MY HAND”

 1. Edwin Ndaki Says:

  Kila mtu anachaguo lake.Daima ijumaa kwangu namshukuru Mola nimeiona njema na nipo rodi..maana wengie walitamani na wao waione lakini tayari wametutangulia mbele ya haki.

  Wengine ndio hivyo tena mambo yameenda ndivyo sivyo..hakimu kacheza rafu..mshkaji wangu Top in Dar ..hii maadui zake tayari wamempa jina eti ..TOP IN JAIL..lakini poa hazigandi mwana ipo dei atatoka tu.

  Binafsi nikiwa mtu ninayethamini sana uhalisi..huyo braza MAIKO kwa kweli alipoamua kuzidi jiki,mkorogo ili kuwa wadhungu ndio nilimwambi kwaheri.

  MATTY naona utasikiliza songi..alafu tukitutana pale chini ya mti Knyama darajani kwa Dan wakati tunapa “mbili baridi .. na nne moto(unashangaa nini? kwani nani kasema lazima moja baridi ya mto ni sheria?)…zikija na nyama ya “moto” …(wengine mlipoona neno moto mkajua tayari mfugo..mimi namaanisha “kilo mbili roast”…Huwezi jua labda roast kuku au bata…

  ene wei..nawatakia ijumaa njema…pamoja watu wangu…

 2. BabyGirl Says:

  Aisee Kitu kiko makini sana Lakini sishangai sana kwa Akon kufanya Collabo kali kama hilo he Dissolve the Best to be honest. Even MJ amefanya kitu kwa kweli. In Short i wanna say good Song and Big Up MJ and Akon.

  All the Best.

 3. anon Says:

  BabyGirl Says: July, 24, 2008 at 9:11 pm
  nakunukuu “he Dissolve the Best to be honest”
  nini maana ya Dissolve??
  au labda nikanunue dictionary mpya

 4. kekue Says:

  Imetulia sn mwana wane, Akon uko mbali sn kaka na hongera sn, kp it up man, MJ anavutia sn, hahahahaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!! nisije sema kitu coz hapa bc unaweza sema kitu kile ulichosema kikawa ndo mada, Mh!!!

 5. Matty Says:

  Always it is there, lakini mbona siku zinakimbia namna hii????yaani kila ikifika Alhamisi tu huwa nawaza sasa BC kesho sijui atatuwekea kiburudisho gani…hapa jibu ninalo namuona braza maiko Jakisoni alivyomkosoa Mungu ktk uumbaji wake, Edo tutafika kweli???
  Akon, kijana safi sana unakipaji hakika napenda sana mistari yako, lakini na wewe unakamchezo kakuarest watu huna subira kabisa why?????????????

  Kwa upande wangu natamani kama ningekuwa hiyo mitaa unayoiongelea E.Ndaki maana ni full kujitanua siyo kujiachia.

  Weekend Njema kwa wote jamani, fungeni macho tuombe kidogo maana dunia imeisha kila siku mabadiliko ktkt sekta ya maisha/jamii…
  AMEN!!

 6. Dunda Galden Says:

  Kama mtu anajivunia uafrica wake huyo shujaa,wengi walio uku njee haswa wa nyumbani wanaogopana kama ukoma sababu wanazijua wao!lakini si wote,
  mwimbo mzuri sana nafikili lengo la Akon ni kuunganisha kati ya wanamusic haswa black musician
  Big up have nice week end peace 4 every one

 7. Bablii Says:

  Babygirl; I hope you meant “..he deserves the best..” and not otherwise!

  Tack så mycket

 8. Akon when he was young and not yet known he was always hiding his origin until when he succeeded then he started to speak out about his African origin. He went to USA when he was 7 years old, his parent moved there from Senegal after winning GREEN CARD LOTTERY. When he started he did not want to talk his origin until he built his market base then is happy now to talk about it. But I dont blame him for that as that is the case in USA if you are a foreigner to break the music market it is highly impossible unless you go there already a mega global super star the like of CELINE DION when she went to LAS VEGAS from TORONTO CANADA, she was already a global super star

 9. hombiz Says:

  Hongera kijana! Naona umefunga penalty kwa kichwa!

 10. tom Says:

  it’s good Akon,that’s good to bring up the king of R’B.It’s damn fantastic colab in this time.my self i like it

 11. binti-mzuri Says:

  Edward Alex Mkelele thanx for the comment..i agree!

 12. truthfulness Says:

  BABYGIRL ulichapia kidogo pale,ni ‘deserve’


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s