BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

CHICAGO’S SUMMER BREEZE BBQ IMEWADIA! July, 24, 2008

Filed under: Watu na Matukio — bongocelebrity @ 6:26 PM

Ile BBQ inayotarajiwa kufanyika ndani ya jiji maarufu la Chicago nchini Marekani ndio imeshafika kwenye kona.Mambo yote ni jumamosi hii ya tarehe 26 Julai 2008.

Habari njema ni kwamba burudani zaidi zimeongezwa yakiwemo maonyesho ya moja kwa moja (live performances) kutoka kwa wanamuziki wa muziki wa kizazi kipya kutokea jiji la Detroit humo humo nchini Marekani,Chingaboi,Gwaii na Dr.Kelly bila kumsahau mwenyeji wao wa jijini Chicago ambaye ni bingwa wa miondoko ya DanceHall,Bantuman.

Wawakilishi maalumu kutoka BC watakuwepo katika shughuli hii.Utakuwa ni wakati mzuri wa kukutana,kubadilishana mawazo nk.Usikose.

Advertisements
 

2 Responses to “CHICAGO’S SUMMER BREEZE BBQ IMEWADIA!”

  1. V8V Says:

    Sisi tunakuja kama 10 hakikisheni kuna nyama za kutosha.

  2. Dunda Galden Says:

    Wadau wa Minnesota wanauliza linii mtawakumbuka?


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s