BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

MISS GLOBAL PUBLISHERS 2008 August, 5, 2008

Filed under: Mahusiano/Jamii,Miss Tanzania,Urembo,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 2:23 PM

Sambamba na shindano la kumtafuta Miss Tanzania 2008,palikuwepo pia mchakato ulioendeshwa na kampuni ya Global Publishers ili kumpata mrembo ambaye watu mbalimbali waliona ndiye mwenye mvuto zaidi ya wengine.Tutakuwa hatukosei sana tukisema kwamba zoezi hilo lilikuwa ni kama vile kutafuta mrembo ambaye ni People’s Choice.Aliyeibuka mshindi katika hilo ni mrembo Kelly Kamwelu(pichani) ambaye ndiye Miss Ilala 2008.BC inampongeza na kumtakia kila la kheri.

Photo/GP

Advertisements
 

20 Responses to “MISS GLOBAL PUBLISHERS 2008”

 1. Tarime Says:

  In my opinion this chick should have been Miss Tanzania.Damn she is fine.

 2. nyamihela Says:

  Tarime! utakuwa umedata na msiba wa Mh Wangwe na BC huyu ni Nelly Kihwelu siyo Kelly Kamwelu.
  Miss Tz wa sasa ni moto, hata mimi nilifikiri hiki kibinti kitatwaa taji lkn nipoenda kwenye pre judge Nasreem alionyesha uwezo wa juu i hope ataleta tumaini kama sifa hazijamzuzua coz kanda ya ziwa ndo kwanza wanatoa mlimbwende kitaifa tukitoa Lisa.
  Nadhani unc Hashim nawenzie walijaribu kubalisha upepo beside watu wamemkubali Nasreem.
  Nelly ilisemeka yupo form 3 shule flani huko atwn japo habari hazijathibitishwa nadhani ndo maana waandazi kawaona wampige chini asije kuleta uzushi bdae, BC fanya itervie na huyu binti, nataka nimjue undani wake coz kama msomali flani au goha flani…siyo isue lkn.
  Kanda ya ziwa tumepiga bao.

 3. Gervas Says:

  “Tarime” ni kweli kanaonekana fine, lakini huko kichwani kako fine? mara nyingi tudemu tuzuri namna hii kichwani huwa tumejaa hewa.

 4. Fresh Says:

  I beg to disagree

 5. Chris Says:

  Tarime! utakuwa umedata na msiba wa Mh Wangwe…..
  Teheheheheheheeheheheheeeeeeeeeeeeee!

 6. Pearl Says:

  wewe nyamihela #2 unataka kuniambia huyu mama mzima ndo yuko form 3!!!!??? au unatania!!!??? jamani mbona mzee hivyo kwa yeye kuwa form three au ndo mambo ya ngumbaru!!!
  kama ni mambo ya ngumbaru ntaelewa.Otherwise sijakubali.

 7. Vyonne Says:

  Gervas, i agree with you the problem with most of so called miss are not smart enough that is our problem.

  Those smart and beutiful one will never participate that is our problem as well.

  Unajua standard ya TZ ya uzuri ni kuwa mweupe, it means if you light skinned you are automatical beutiful…(i beg to disgree). Mimi personally imegundua hiyo standard does not apply huku Ulaya. Huku Ulaya bwana uzuri wa mwafrika ni natural colour..we angalia wasichana walifanya vizuri Nancy Sumari, Marium Odemba, Flavia matata. Mimi i strongly believe that if we work on this standard one day tutaoa Miss World. Wewe mwenye angalia miss World 2004 yule mNigeria (sio mweupe she is natural)…anyway this is my point of view…

  For that matter i think the new Miss TZ is beutiful has a nice natural colour and if she smart enough she will make it it is up to her ….

 8. Mamii Says:

  Nely ni mhafukasti (shombe) wa kirusi, aliwaka sana stejini siku ya fainali, lakini bora taji limepelekwa mikoani!

 9. solange Says:

  anafaa, anavutia sana…bora angekuwa miss Tanzania huyu…au Fay

 10. thms. Says:

  mmmh, kabinti kazuri kweli.
  hv naweza kuwasiliana nako kivipi napenda kukaajiri kwenye ofisi yangu kanisaidie masoko.
  et wadau nitakapataje?

 11. Matangazo Says:

  Huyo ni Nelly Kamwelu, mtoto wa kifipa. mama yake ni Mrussia! Yuko fiti kichwani na kila pahala ametulia

 12. binti-mzuri Says:

  ni mwarabu au mweupe… sasa huyu yuko form 3 alianza shule na miaka 10!?

 13. any Says:

  Huyu lazima ni binti wa Kitanga. sura ipo, brain na mengineyo ni personal decision.

 14. Matty Says:

  hahahahahahahahaha TARIME na NYAMIHELA mhh!!!hahahahahahahahahah jamani watu humu wamedata balaaa.
  Afadhali sasa nimepata jawabu kuwa huyu dogo ni muafkasti.

  Nimefurahi sana taji lilipoenda mikoani na sina ubishi kabisa na matokeo mwaka huu Nasreem alistahili kuwa miss TZ.

 15. pat Says:

  msichana mzuri sana huyu, bahati haikua yake na kama yupo frm 3. ingekua sio vizuri kubebeshwa hilo taji, isitoshe ikumbukwe mwaka 1995 emilly aldoph alivyopata matatizo hata sijui kama alimaziga shule, na anamiaka mingapi? mana siku siku hizi mtoto wa 14 yupo frm 3. kuhusu FAY bora wamemnyima sijaelewa kama ubongo wake ni mdogo sana ama la maana lile swali alivyoliboronga sikumeelewa kabisa yule bint, na ni mzuri sana angeweza kupata hata hiyo namba 5 wamembeba tu, hakustahili hata kupata.

 16. bongo1 Says:

  Hiki kitoto ndo kingepewa Taji hata k.m hamna kitu kichwani kangeleta mvuto kukaangalia kwenye Miss world and who knows labda kangeshinda ata Miss photogenic. Na kamati bado ingekuwa na mda wa kakaandaa kisaikolojia ili kaweze kuongea vizuri. Umiss sio akili bwana kwanza uzuri alafu mambo mengine ndo yanafuatia. Na sio kila mtu ana akili za kuzaliwa ndo maana kuna mashindano k.m haya ya umiss. All you need to be is smart,beautiful and good personality. Ila the so called Miss TZ wa mwaka huu ni aibu tupu ata k.m angekuwa na akili kupita mtu yoyote hatafika popote Miss world.

 17. KIPANGA Says:

  NDIYOOO MZURI !
  LAKINI KICHWANI NAKO KUNA KITU ?!!
  AU NDO WALE WALE WALI WAMEGWAO
  KILAINI !

 18. any Says:

  mabinti wa KItanga ooh, wanajua kujipamba eeh, kwa mapozi wanatamba eee, utajijuuu!
  mvuto kwanza, tabia na heshima za kupiga goti zitafuata baada ya “presentation”

 19. imzzotz Says:

  Tatizo uelewa wa wabongo khs kuwa miss ni mdogo. uzuri ni part ya kuwa miss lakini kubwa zaid ni kuwa mzuri kichwani na moyoni bcoz kazi itakayo fwata after kuwa selected ni kuplan mambo mbalimbali na kuhudumia jamii which need kuwa smart upstairs. so kama kilaza hatakama ni mzuri ka malaika thn u have to forget abt so called kuwin, hahahaha….Big up 2 Nas


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s