BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

KWAHERI RICHA,KARIBU NASREEM August, 6, 2008

Filed under: Miss Tanzania,Uncategorized,Urembo,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 3:04 PM

Baada ya kuwa ulingoni kwa mwaka mzima akiwa kama Miss Tanzania 2007,Richa Adhia(kushoto) sasa amempisha Nasreem Karim(Miss Tanzania 2008,kulia).Nini tutavuna nini mwaka huu kwenye steji ya ulimwengu(Miss World) hapo October 4 huko jijini Kiev,Ukraine?Ni jambo la kusubiri na kuona huku tukitakiana kila la kheri.

Photo/Michuzi

Advertisements
 

67 Responses to “KWAHERI RICHA,KARIBU NASREEM”

 1. michelle Says:

  kuna mambo ya udini nini,huyo miss Tz hamna kitu.

 2. bint mzushi Says:

  mashaaallah richa ni mzuri kweli kila kukicha watu wanabadilisha mawigi lakini kwa richa ni kinyume yeye nimesikia anataka kukata unywele wake.thethetheeee

 3. anonymous Says:

  hata asijisumbue kwenda miss world…mi hata sijui wat r the qualifications miss tz judges use to get the winner…huyu demu hamna lolote..

 4. Liz Says:

  Hata asiposhinda itakuwa kawaida tu kama wengine waliotangulia (kumtoa Nancy Sumari). Hongera binti kila la heri, maana wewe ndio mshindi.

 5. Dogoboy Says:

  Nadhani Nasreem aungwe mkono na waTZ kwa kila hali, ni binti anayefaa ndio maana kwa sasa ndiye miss TZeee. Tuache porojo kama za MICHELLE, yeye anazungumzia udini sijui kapata wapi roho katili na isiyo na upendo, iweje alete mambo haya tena kwani yeye anataka miss awe na dini gani? kwani hiyo imo kwenye kanuni za Miss Tanzania? Michelle anachuki na watu wa dini fulani, ni mbaguzi, hatufai katika zama tulizonazo. Baba wa Taifa Mwl. J.K Nyerere alikuwa akikemea vikali ubaguzi wa dini, kabila, au asili ya mtu. Michelle asaidiwe. ONE TANZANIA, ONE HEART, ONE LOVE
  Naomba kuwasilisha

 6. Pearl Says:

  sijui ni lini watanzania tutakubaliana na matokeo.

 7. KABADI,salum Says:

  Every thing u do in za world,people must tolk!.Yu are beaut.
  nasreem @ u are za 2be miss World.We are Tanzanian,black in colour,nothing iz wrong!.LOVE U NASREEN*3

 8. Edwin Ndaki Says:

  Nasreem kwanza kabisa napenda kukutumia salamu za pongezi “Binafsi”.

  Kikubwa kwa mtazamo wa nje..dada yangu una tabia njema.Ni matumaini yangu basi ilo utaliendeleza mpaka pale utakapotua “mataji” namaanisha taji la miss tanzania na miss world.

  Dua zangu zipo na wewe..inshaalah utafanya vema.

 9. Mamii Says:

  Jamani mwacheni mtoto wa kanda la Ziwa na yeye atese na gari jipya na kitita cha milioni 8! Kila siku mnataka watu wa Daresalamu washinde! Haiwezekani! Hongera Nasreen!

 10. solange Says:

  nilikuwa sijamuonaga kwa karibu hee hivi katika wale wote wamemuona huyo?kazi kweli jamani mhhh

 11. Fresh Says:

  Alooo,Richa pua yake siifagilii,Huyu Miss mpya nilipomwona ktk TV nilimwona bomba ila nahisi kama ana upara,ila ana mvuto kiasi,ni mawazo yangu tuu

 12. nyamihela Says:

  Welcome to the world Nasreem…najua baada ya kurudi mashindanoni utambwaga yule bwege wako muuza sato na kutafuta bwana wa kizungu basi ndo mchezo umeisha.
  wanaiba wame wa wenzao, wanatoroshwa na wazungu wanamegwa na vibabu…umeisha niskia.

 13. Vyonne Says:

  anonymous i agree with you hapo kwa miss TZ 2008 hamna kitu tena kwa Tz hivi sisi wa TZ mbona hatujifunzi kama wenzetu wa Nigeria hivi? Ila she has a kind of nice face but not a miss world face that is for sure…na Educated?? sidhani

  Sijui lini tutapeleka msichana brain and beauty they are so many but politics make it impossible for them to win…

 14. anne Says:

  Kaka kweli Tanzania nchi ya ma miss !!!!
  Story zooooote hizi around the world za maandalizi ya Olympic naona blog zetu(za jamii ????) hazina cha kuripoti !
  Ama kuna ukweli wowote wa sterio type kwamba WATANZANIA ni yaniyani ,warembo,wavivu na wasiopenda kujibidiisha kwenye michezo wala kazi na wapenzi wa kutumia muda mwingi kwenye viooo ama baa ?
  Anna

 15. binti-mzuri Says:

  SIJAONA! asalama leku walahi,ningekua mdogo mdogo mie ningeenda…si afadhali mie. miss sura ndefu mno,halafu hana smile,kifuani mh.. sema labda urefu na rangi pia bomba. huyo richa nae mmmh,ndio kapaka make up ndio hajapaka..mbona sura ya ajabu ajabu!?!? SIJAONA

 16. pound Says:

  mhhhhhhhhhhhhhhhhhhh hii kali

 17. Matty Says:

  Hongera Nasreem,
  Mchuano ulikuwa mkali ni lazima tukubali na taji limeelekea mikoani thats good thing ambacho tulikuwa tunataka itokee maana kila siku ni Dar weeeeee mpaka tumechoka!

  Binti-Mzuri unaweza kuniambia ni miss gani mwenye sura ya raundi??? msichana ni mzuri acheni roho za kwanini, sura ndefu na shingo ya twiga umbo la kimisi tatizo nini???

  Michele unazungumzia udini how??? ulitaka awe goha na mwaka huu???

  Siku zote kila mtu anamtazamo wake lakini tujaribu kuwa ktkt sio kuwa kila unayemzania atashinda ni lazima ashinde nani alidhani Nasreem angeshinda?? mimi binafsi sikuwahi kumtia machoni kwa ukaribu zaidi lakini she deserve then muacheni.

  Kitu kingine nadhani uwepo wa MAXIMO umetuletea mabadiliko maana huyu anko Hashim ashazoea kutupelekesha sana kila siku Tmk/Ilala na KNDI.

  matokeo ndo hayo Nasreem ameshinda hongera! ushinde miss world usishinde hayo pia ni moja ya matokeo na tutakupokea tu!!HABARI NDO HIYO!

 18. binti-mzuri Says:

  matty ndugu yako nini?lol … haya basi,mzuri mzuri kiaina

 19. Mwenda pole Says:

  Sikilizeni watanzania sio siri mamiss karibu wote walikuwa choka mbaya mwaka huu si darisalama ama mikoani ila sio siri wala wivu wala nini Nasreem ana umbo zuri ila sura mh mchemsho msidhani hata siku moja atashinda miss world licha ya face of Africa kwa kifupi hatofika huko hata tukalale kwa karumazira tusidanganyane watanzania.
  Kama kuna watu wamempa ushindi wakiwa na azma zao kichwani basi wamefanikiwa maana kama ilivyo kawaida ya mamiss wengi wa kitanzania ni kukabidhi miili na roho zao ili kupata umaarufu dada Nasreem nakusikitikia una kazi.
  Lingine natumaini utajitunza na huyo muuza sato wako maana sijui ni ushamba ama kutokuelimika mtu akishakuwa miss tuu anakimbilia wazungu na mataifa mengine ya nchi za jirani kutafuta watu wa kuwadate wakidhani wataonekana high class mhhh nikufikishie ujumbe hao wageni khali zao ni mbaya wote ni wabaingaizaji usiwadate kwa kufikiri utaonekana mjanja maana utakuwa umedandia gari moshi liendalo kasi .Najua unajaribu kutafuta maisha binti wa kanda ya ziwa ila kuwa makini.HABARI NDO HIO!!!!!!!!

 20. ma'reen Says:

  Congrats Dear Nasreen!You won because you deserved to win…after all you were born to be a winner, no turning back on the HATERS!Waache waoshe vinywa ila ukweli ni kwamba wewe ni mzuri, una umbo zuri tabia nzuri na nyota nzuri…let them say whatever their hating hearts wish to say!

  Wewe mwenda pole na sijui nyami whatever! Nasreen is 22years of age…kuwa na mpenzi si issue, na huyo mpenzi anafanya shughuli gani is none of your rotten business. Kama anauza sato, kokoto, vitumbua nyie inawahusu nini? Hivi haters mtagundua lini kuwa moyo wa korosho unakufanya uzeeke haraka? She won the title and I think you should learn to live with the fact, hata kama roho inawauma!

  Pearl, Kabadi, Edwin NdAKI, Mamii and the non ending list of cool well wishers let’s join hands and pray for her success! Solange, Yvonne na haters wengine pole sana, mnaonaje nyie mjaribu kugombea next time..oh by the way labda mkamuone Lundenga anaweza kubadili mawazo achague kati yenu…not too late! Bint Mzuri nawe umenichekesha, nani kakuambia uso mfupi/duara ndo uzuri?Am slowly beginning to doubt your international exposure!

  Peace to all of you and long live our beauty queen!

 21. Matty Says:

  Binti-mzuri sina undugu/ukoo/ujirani/urafiki wala uhusiano wowote ule na Nasreem, kwani vipi shosti ukweli lazima niuseme wala siumezei! kila kukicha kuponda na kukosoa weeeeee hamchoki???
  Haya sasa kashinda muandamane basi!!
  Na wewe mwenda pole vipi kwani dada wa watu au alikutosa??? au kakuchukulia?? mbona unahasira namna hiyo?

 22. any Says:

  MI NADHANI USHINDI NI PERSONAL DECISION ZA MAJAJI PIA. SO TUHESHIMU UAMUZI WAO! NA KAMA NYIE MLIOPO HUKU MU WAZURI KUSHINDA WALIOJITOKEZA KWA NINI HAMKUJITOKEZA SASA ILI TUSIPOTEZEANE MUDA WA KUANDAA MISS WORLD AMBAE HAYUKO, NADHANI MAMISS WORLD WAMO HUKU HUKU BC NI KUWA HAWAKUJITOKEZA, NA KAMA HAMKUJITOKEZA STOP BLAMING KAMATI YA LUNDENGA, WAO WALIAMUA KUTOKANA NA KILICHOKUWA MEZANI! MLITAKA WAPITE KWENYE AUDIENCE WAM PICK MISS TZ? FUNNY EEH.

 23. Vanessa Says:

  Hata kama ndio kusupport mikoani, mwenzangu kaah!!!
  Bongo tunazidi kuchemsha….

 24. bongo1 Says:

  Huyu ni miss Tanzania au miss kamati ya kina lundenga. kina lundenga nao wajiuzulu waachie watu wenye uwezo wa kufanya kazi na ambao wako serious k.m Maria sarungi kwani fani ya urembo imepewa changamoto kubwa nchini. Lakini kamati naona ndio inazidi kuturudisha nyuma mara watupelekee mhindi. We were supposed to progress kutokana na mafanikio ya nancy na si kuzidi kurudi nyuma. Mwishoni tutapoteza ticket ya kushiriki Miss world. kwani hiki kituko cha mwaka huu ni aibu tupu bora hata ya mhindi.

 25. any Says:

  Kuna mada zilizopita huko nyuma kuwa uzuri ni sura au tabia! wengi walisema tabia kwanza. Mi nikasema mvuto then tabia tutaijua mbele ya safari! haa, sasa miss wetu nadhani tabia basi ndio imempa ushindi. sijui kama ina uhusiano apa au kule kwingine waliweka uzuri kando na tabia mbele ili waweze kuoa? hahaa. Am just wondering laudili.

 26. KIPANGA Says:

  DAH! HII KWELI KALI;
  JAMANI WATANZANIA;
  MWAKAJANA TUMEPELEKA MUHINDI;
  MWAKA HUUU; LOH SALALEEH!
  WASIPOTEZE TU NAULI ,
  HAMNA KITU HAPO; MISS GANI HANA HATA SMILE

 27. SaLaMa Says:

  Jamani hivi ss wabongo tuko vp?? Mazuri yepi mnataka mfanyiwe??? Badala ya kufurahi na kumpa Moyo huyu mlimbwende na kujivuni taji la Miss Tz ss limetoka nje ua Dsm nyie mnaanza balaaa… hivi kwa nn wabongo tusibadilike?? mara tuu mshaanza kumpekenyua Mdada wa watu.. Hebu mpeni Moyo ss tuone Mrembo huyu anaifanyia nn Kanda na Tz kwa ujumla tunataka mabadiliko na si kuchafuna hapa. Nasreem Keep it Up Jiandae na Miss World achana na wapuuzi wasiopenda mafanikio na mabadilko. Jiheshimu na Umuombe Mungu wako sana usiingie majaribuni. kumbuka kwamba panapo mafanikio Ibilisi pia huwa ananyemelea sana ikiwa kuwatumia hao watu wanaotaka kukuchafua. Wakemeee washindwe na walegeee make Ushindi hukujipa wewe ni Majaji na Comette nzima, Hongeraaa sana Mwanza .

  habari ndio hiyooooooooooo

 28. binti-mzuri Says:

  wewe ma’reeen: ‘Bint Mzuri nawe umenichekesha, nani kakuambia uso mfupi/duara ndo uzuri?Am slowly beginning to doubt your international exposure!’

  kwani nani rafkiangu alikudokeza nina international exposure,i speak and comment as to what my mind thinks,kwani we mareen nani kakwambia uso mrefu ndio MZURI?nipe basi links zinazosupport your views..maana mi nijuavyo uzuri is in the eye of the beholda. afu wats funny is i said miss sura ndefu MNO..lol…mbona naomi campbell ana uso mrefu,ila sio MNO..ebwana this are my views..like you have yours.period

 29. binti-mzuri Says:

  usema kweli,from the bottom of my heart..sijaona..thats the truth..siwezi kudanganya,kufurahisha umati

 30. Matty Says:

  Suala sio kufurahisha umati…mshazoea kuponda kila kona that is ur habit!!

 31. ma'reen Says:

  Eeh binti mzuri, I bet u mzuri kama jina lako. Mi naona kumaliza mzizi wa fitina ungetumuvuzishia picha yako tuone jinsi ambavyo wewe ndo ungestahili ku-win hilo taji! Na kwa kukusaidia tu Redds ambassador kajitoa kwa hiyo unaweza kuwahi nafasi hiyo lol! Umeshasema beauty lies in the eyes of the beholda(sick)…sasa bahati mbaya sana beholder wewe maoni yako ya chuki hayasaidii chochote sana sana yanamvunja moyo Nasreen (if at all she gives a damn to every passing wind). Ungekuwa judge ungeweza kusaidia wenye uso mfupi kama tumbili (kama mimi hapa) tushinde otherwise unapoteza muda kwa yasiyojenga. Long live our beauty queen, bint mzuri oooops Nasreen and may God lead your steps to the top!

 32. Binti-mzuri Says:

  Na kweli,redds kinywaji changu mbna litakua dili la mkenge,2 b the ambasador. Kanigoogle mdogoangu..google images itakuvumishia mi pics yangu,ili uone urembo wa dadako.the living legend,every1 wana be mzuri na mzuri still alive. ๐Ÿ™‚

 33. michelle Says:

  We Matty, una maana mi nisitoe maoni yangu, umeniona mimi tu, ukweli ni kwamba hana mvuto, na huyo Goha si ndo ibada yako, huyo Nashreem ni dada yako nini?

 34. any Says:

  KUMEKUCHA

 35. ma'reen Says:

  Hahahahahaha…..heheheheh…tehetehetehetehe…umenichekesha sana binti mzuri….You have really made my day! Mwaya dadangu bora tu ujisifie maana ukisubiri kusifiwa utakesha, labda uwe na Mvuto kama Nasreen aliyepitishwa na panel ya judges. Wengineo inabidi tu wajisifie hamna jinsi. PEACE please n once n 4all let’s end this discussion coz naona haina mwisho.

 36. trii Says:

  ilikuvunja mzizi wa fitina BC azisheni MR&MISS BC ili tuone mambo hapa,chonde chonde lkn msije leta picha zisizo zenu tukaja wapa sifa msizo stahili,tena mlete zili picha za long time mlizo piga mmeshikilia redio au au.kwa lugha rahisi bila make-up.hapo ndo tutajua ukweli,lkn picha za siku hizi watu wamejiremba hata ukimuonyesha bibi yake kijiji hamtambui mjukuu wake.

 37. Wambura Says:

  im not saying wewe sio mzuri Nasreem na wala wewe si wakulaumu,hao waliokaa na kusema wewe unafaa kutuwakilisha ndo tunao wadaoubt …naomba utu prove wrong,hatusemi tu juu juu,kweli jamani tunaonaga ma miss world huko,kwanini hatukulalamika kipindi cha Nancy Sumari?..kwa sababu majaji kidogo walijitahidi,lakini angalieni hiyo picha hapo juu,kama ingekuwa mwaka jana mi ningemchagua bado Richa despite her colour issue,…ngoja tuone lakini,labda itatokea miujiza

 38. bongo Says:

  acheni kulumbana ninyi,hata nancy hakuna aliyetegemea kuwa angeshinda miss tanzania aliposhinda ndipo watu wakaanza kusema ni mzuri na toka hapo kwa mtazamo wangu sikuwahi kuona wadada wazuri hasa wanaogomnbea umiss huko mikoani hata dar so yule anayeonekana afadhali kidogo ndiyo anachukuliwa kuwakilisha miss world,sura hazijatulia,maumbo mengine ni aibu tupu,elimu nayo ni taabu kwa hiyo waliyemuona anakauahadhali kwenye umbo japo sura si sana ila hata mkiangalia miss world kwa makini hawachagui sura wanaangalia mvuto na vigezo vya umiss,mungu atasaidia nasreem akijitahidi kwenye ile mitego wanayopewa atakuwa hata 50 bora.

 39. Haika Says:

  Hongereni majaji kwa kazi mliyoifanya, miss tz 2008 ni mzuri kiasi natumaini pia ana upeo mzuri wa akili, naomba kabla hajaenda miss world ajitaidi kula kidogo aongeze nyama kwa sababu navyoelewa mimi, miss anatakiwa awe na umbo lenye mvuto na sio awe mifupa, that lady she’s too skin na kwasasa warembo ambao ni too skin kwenye miss world wanakuwa hafanyi vizuri.

 40. anony Says:

  WAMBURA AMEONGEA POINTI!… NASREEM IS NOT MISS WORLD MATERIAL,NA WATU HAPA HAWAMLAUMU NASREEM,BUT THEY MEAN THE LUNDEGA TEAM.TANZANIA WHATS HAPPENING?

 41. binti-mzuri Says:

  ma’reen mwaya nakuelewa, glad i made your day… i could make it even better by suggesting you visit this link http://www.pimp-your-self-esteem.com looks like you need help on that little factor right there,and GOODLUCK on that one…i cant sympathise,kwasababu i dont know how it feels..i have never been there myself..but i suppose it must be diminishing to think your unattractive. thank heavens,im not one of the kind to dwell…. mie ntakuepo tu hapa kwenye kona,singing ‘i am beautiful’ na najitambua ๐Ÿ˜‰

  hahhahaha … kisura mie. hapo no presentation,no essay, no conclusions made. written fact.

 42. Matty Says:

  Nakunukuu Michellee
  “ukweli ni kwamba hana mvuto, na huyo Goha si ndo ibada yako, huyo Nashreem ni dada yako nini?”

  Nakujibu hivi……

  Unaweza kuniambia ni yupi ulitaka ashinde? mwenye mvuto pls! na mvuto unao wewe Michelle kwa kujitazama kiooni!

  Kuhusu Goha sina uhusiano wowote na hiyo kitu tena sahau bimkubwa!!

  Ungesoma hapo juu no.21 nilivyomjibu Binti-mzuri usingehoji kama ni dada yangu au la!! read btn lines!

  NASREEM KASHINDA MISS TZ 2008 HAMUWEZI KUBADILISHA MATOKEO YOU HATERS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  Hamna dogo waswahili hata angeshinda mwingine mngeponda tu hiyo ndo desturi ya swahili pipo!

  umzaniaye ndiye siye!usomzani ndiye!

  HABARI NDO HIYO!

 43. Matty Says:

  Jamani swahili pipo ilimradi ubishi tu usio na sababu…kwanini hamkujitokeza basi na nyie mkashindane???au hamna vigezo????umri?????hahahahahahahahahahahahahah sms derively!

  Kwakweli Ma’reen suala la kuleta picha zetu hapa nadhani ni muhimu sana ili tuzione hizo angel faces+shapes ambazo baadhi ya walimbwende wa BC wanajivunia!….bahati mbaya mtu anaweza leta picha ya mdogo/dada/friend ilimradi tu ababaishe watu!
  pls pls narudia NASREEM ni Miss TZ as long as hajarudisha taji anatambulika mkatae mkubali!

  BWANA YESU ASIFIWE WAPENDWA!

 44. ma'reen Says:

  Binti mzuri! Huko uendako tena siko, mipasho/matusi sikuzoea. I always blog when I feel like relaxing baada ya kazi nzito, majibizano yasiyo na maana hayatanisiadia and after all sikulelewa hivo. Rest assured that I will not repply any of your personal critiques on me coz by the way I can’t waste my time on someone I don’t even know! Food for thought: Relaaaaaaax dada life is too short usitake kujitia ma-stress ya bure! Narudia tena PEEEEEEEACE!

 45. any Says:

  MAMISS HAMJITOKEZI MATOKEO YAKITOKA MNAPINGA,

 46. michelle Says:

  Wee MATTY, umeniona mimi tu kwenye blog nzima, unatafuta wa kugombana naye nini? watu wamepiga visu vingi sana hujawaona umeniona mimi tu, nilipotuma maoni yangu sikukutumia wewe ili tuanze bifu,ninaweza kusema chochote na huwezi kunizuia, unakuwa kama wale wabebao mabomu kuja kujilipulia ???????? sasa kama una mabomu yako jilipulie ndani ya blog pole!!!!!!!!!

 47. Binti-mzuri Says:

  Mareen HABARI NDO HIYO!!! Kama hujui kucheza,ngomani uliingia iweje?Sio twisti hii mama.unasema mipasho hujui,Kumbe uzuri wangu unakuhusu.u get smart..i get smarter.ndio life hii,angalau umeondoka na kaexperience katakusaidia huko street.al relax my self kama ulivonishauri,na mi nakushauri relax your brain/mind na mazagazaga yake binti mdada. ๐Ÿ™‚ . Matty soma posti yangu ya 1.ningekua mdogo mdogo mbna mi ningelipeleka gari tanga..ngoja nianze diet ya kuwa cjui ndio skinny cjui wazungu wanasema anorexic

 48. Matty Says:

  hahhahahahahhaha hata kimya nalo ni jibu! sinaga mda wa kugombana bimkubwa Michelle upo?

  Any, mamiss hatujitokezi mpaka matokeo yakitoka tunapinga…sorry umri unatukaba!

  Binti Mzuri, ok nimekupata!

  Wanawake badala ya kusapotiana kazi kukoboana lol! mnatia kichefuchefu jamani!

  MIMI NARUDIA TENA NASREEM NI MISS TZ 2008…HABARI NDO HIYO!

 49. wanjeri Says:

  Me too,she actually a b…………….. time will tell. wataona wenyewe,yule angel lubale kama ingekuwa hapa kenya she was surpose to be the winner.

 50. michelle Says:

  Matty kama utaka wakubifu naye, chagua nguzo upigane nayo, mi simo pole dada, mwaka kesho kashindanie u miss mi nitakuchagua.

 51. any Says:

  Wee Wanjeri huku umekuja kufanya nini? Vigezo vya mamiss wa Kenya viko tofauti na Tz, so Miss Kenya anaweza awe miss Kigamboni kwa hapa Tz! upo apo!
  Kama ulimtaka Angela too bad, but u can still have her as Miss Tz, just in your mind, i mean japo kwa kufikirika, ila ndio ishatoka ivooo!

 52. Matty Says:

  pole sana wewe Rafiki Michelle! i did long time ago!!

 53. kekue Says:

  Huyo ndo miss tz mkatae mkubali, ni mzuri ni mbaya wanajua najudge waliomchagua cc tumtakie kila la kheri basi.

 54. any Says:

  PEACE TO U ALL. LETS STOP HATING EACH OTHER. WANAWAKE TUPENDANE JAMANI, MAISHA YENYEWE MAFUPI TUNAISHIA KUGOMBANA NA VIVULI KWENYE COMPUTER. MSHINDI KASHAPATIKANA SISI TUNAWEKEANA CHUKI, MISS MWENYEWE WALA HANA HABARI HIZI ZA WATU KUSUTANA HUMU BC.
  PEACE WANA BC.

 55. michelle Says:

  Matty shosti tafuta wa kubifu naye mi simo, tutaongea baadaye pole na kazi naona umechoka, usitafute wa kukuchosha zaidi!!!!!!!! but it was nice talking to u dear.

 56. michelle Says:

  DOGOBOY sikuwa nafanya mazungumzo na wewe, sijui umetokana wapi na mimi sinampango kabisa wakufanya bifu na wewe, pole sana.

 57. doryn Says:

  inshort…………….miss wa mwaka huu ni MBOVU……end of discussion!!!

 58. doryn Says:

  ni bora angeshinda sylvia mashunda.

 59. Matty Says:

  Asante sana dada Any kwa ushauri wako mzuri,hata mimi nakuunga mkono na mguu majungu,malumbano, ugomvi a.k.a bifu sio mtaji kabisa…inatosha sitarudi hapa tena kusema neno lolote lile.
  Michelle mimi mbona sijachoka kwa lolote lile wasiwasi wako tu na hata hivyo sijaona kama nina na bifu na wewe, ulikuwa hujiamini tu ukadhani nataka ugomvi…kwa mlolongo wa majibizano baina yangu na wewe nadhani mshari kaonekana sorry for that!nilimuongelea pia Binti Mzuri lakini ukasisitiza nimekuona wewe tu nadhani hapo unatakiwa ufikirie hilo pia!

  Mwisho kabisa yaliyopita si ndwele hebu tugange topic zijazo maana sijakusikia shosti wangu kama utashiriki au hautoshiriki lile shindano la MISS BC .a.k.a MRS BC…pls pls usiniangushe mchuano ni mkali sana BC inawarembo wengi mno sasa tunatakiwa tukubaligi matokeo samtutaimuz!

  Karibu sana Michelle kunichalenji!

 60. michelle Says:

  MATTY wewe wangu tu, usijari tutafika tu.

 61. natasha Says:

  tatizo la nasreen familia yao inamatatizo mengi ambayo yata mfanya ashindwe ku concetrate kwenye maandalizi ya miss world.kwaiyo tutake tusitake tujiandae kupokea matokeo mabaya.

  wakati wenzie wanarudisha mataji na pesa,yeye familia yake wanataka kunyanganyana mpaka karibu ya kutoana roho kwa vijipesa vyake alivyo vipata.

  ushauri wangu haraka sana kamati ya miss tanzania imjenge nasreen kisaikologia ama sivyo atafanya vibaya sana kuliko mamisi wote waliowai kupita.

  uzuri wa ngella alikuwa ready kwenye kila pembe,kisaikologia,comfidance,kifedha,hari na nia,inaonekana alipanga kurudi tanzania kwa kishindo.

 62. any Says:

  natasha dear what do u mean angela alikuwa ready kila kona kisaikolojia, confidence kifedha ari and nia and etc! kwani wakiendaga mashindano wanajigaramiaga, na wazazi wake wanazo so haitakuwa problem au mi sijaelewa! Socio economic status yake/wazazi wake inachangiaje kumfanya awe ready kwenye mashindano! nikishapata jibu apa ndio nitaendelea, maana sitaki kusema ninachokiwaza, nisijekuwa sivo

 63. Matty Says:

  pamoja Michelle tutafika!

 64. binti-mzuri Says:

  mmh… ni ka kaaazi kweri-riiiiiiiii lol

 65. ima Says:

  Kwakweli mimi ninampenda Richa Adhia sana.Shez the 1st aliyemaliza mwaka bila scandal yoyote and ana roho safi sana ukiwa unamfahamu..

 66. Matty Says:

  Ima do you know Richa in deep??can u pls suggest anything on those sandals in Global publishers??

 67. i believe in the philosophy of good over evil,that*s why i always tell the negative people who bring her down that no evil can befall good man&woman..ur the winner and u still be the winner ……..we re together Nasreem…say RUTA


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s