BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

SHAGGY ALIVYOITEKA DAR August, 9, 2008

Filed under: Burudani,Muziki,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 6:48 PM

Wapenzi wa muziki wa jiji la Dar-es-salaam walishuhudia na kupata burudani ya aina yake kutoka kwa mwanamuziki wa miondoko ya Ragga,Shaggy, kutoka Marekani pale alipofanya onyesho la aina yake ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar.Hiyo ilikuwa mojawapo ya burudani mbalimbali ambazo wakazi wa jiji la Dar-es-salaam wamekuwa wakishuhudia hivi karibuni ikiwa ni mfufululizo wa sherehe za kuzaliwa upya kwa kampuni ya simu za viganjani ya Celtel ambayo sasa inaitwa Zain.

Patashika nguo kuchanika,it was Shaggy’s time!

Tuimbe sote,ya’ll know my songs,don’t you?

Who says wabongo hawajui vitu vizuri?Come on now…

Advertisements
 

22 Responses to “SHAGGY ALIVYOITEKA DAR”

 1. Gervas Says:

  Mara ooooh, maisha yamepanda bongo, mara oooh, nauli juu…. mbona watu wanakula bata tuu?

 2. maspidi Says:

  Hello hello BC, vipi blog ya Michuz imeingiwa na Mchwa tena?Haipatikani, nyie Wanga na Mafisadi bebu mwachieni Blog yake Baba wa Watu,kawakosea nini tena?Au ni tatizo la kiufundi tena?Hebu tupashe BC whats the problem?Au wanataka tuandike kila kitu kiko sawa Bongo,au?Kuhusu Shaggy yuko Bomba kichizi mshikaji!Si unajua mambo ya Dance Hall manake,shurti ufunge Zip,vinginevyo…….midebedwo!

 3. Pearl Says:

  tena Gervas ukisema bata inakuwa haitoshi kwasababu bata hapai yuko chini tu,mi nadhani tuseme “WATU WANAKULA MWEWE”,hii inaonyesha watu mambo yao yako juu kifedha.

 4. Kaka Says:

  wachache haoi kaka, ukichukua total population ya dar tu hao ni minority na ndio wanaokaa Bagamoyo road, nenda Mbagala, kiwalani, manzese n.k. we acha tu kaka

 5. anne Says:

  Highlights: Well known for its distance runners, Tanzania has surprisingly only ever won two Olympic medals. Both came at the 1980 Moscow Olympic Games in the Soviet Union where Filbert Bayi came second in the men’s 3000m steeplechase and Suleiman Nyambui finished a desperately close second to Ethiopia’s Miruts Yifter in the men’s 5000m event.

  Bayi missed out on the chance to compete four years earlier in Montreal when Tanzania joined the African boycott of the 1976 Games. Bayi was the then world record-holder in the 1500m.

  At the 1968 Olympic Games in Mexico City, Tanzanian marathon runner Stephen Akhwari badly injured his knee but limped on to finish over an hour behind the rest of the field. When asked by filmmaker Bud Greenspan after the finish why he had continued to run, Akhwari famously replied, “My country did not send me 7000 miles away to start the race. They sent me 7000 miles to finish it.”
  Anthem
  Title: “Mungu ibariki Afrika” [God Bless Africa].
  Composer:
  Inducted: 1961
  Membership
  Founding Date: 1968
  Date of IOC Recognition: 1968
  Officials
  NOC President: Gulam A. Rashid
  NOC General Secretary: Major Filbert Bayi
  IOC Member(s):
  Participation
  First OG Appearance: 1964
  Number of OG Appearance: 10
  Summary: Medals per sport Sport Gold Silver Bronze Total
  Athletics 0 2 0 2
  Total 0 2 0 2

  Medals per year
  Year Gold Silver Bronze Total

  1980 0 2 0 2
  Total 0 2 0 2

  from
  http://results.beijing2008.cn/WRM/ENG/BIO/NOC/TAN.shtml

 6. mr. misifa yo Says:

  mnajua kiingilio kilikua bei gani we gerva?it was 7000 tshs!..thats damn cheap man

 7. binti-mzuri Says:

  mm watu pipooooo

 8. hao ukiangalia ni watotn wawafisadi na watu wanahangaika hata kodi za nyumba zinawashinda. mimi nafanya kazi google . najua kwa nini blog ya michuzi wana deny acces.

 9. Matty Says:

  FIESTA FIESTA!!!!!! na hayo ndo maisha bora kwa kila mtanzania.

  umbea si kazi,sema ueleweke litakayempata ndo huyo!

 10. any Says:

  huyo mdada analipa kweli. ni macho yangu tu!

 11. maka Says:

  Ish! dat chick z ridiculously hoooot….m bongo kweli huyo….na huyo kulia kwake ni nani kwani……!

 12. Dunda Golden Says:

  KWELI BONGO SI MCHEZO MTU KIBAO
  FURAHA TELE

 13. Mkate Says:

  Kweli ndugu zanguni maendeleo kwetu ni ndoto…narudia tena NDOTO.
  Nilishaomba sana tuleteeni motivational speakers (Kina Dale Carnegie, au hata watu kama Bill gates, Warren Buffet etc)…kina shaggy na senti hamsini wanatumalizia tu pesa bila faida yoyote..
  tubadilikeni..
  OMBI kwa Zain, Voda na Tigo…”Pse fanyeni mpango huo…we apreciate ur efforts4entertaining us..bt pse pse n pse…tumechoka kuongezewa umaskini.
  Hiyo wiki b4 shaggy aje..niliibiwa simu yangu na hao watu wakaniambia tunataka kwenda kwa shaggy…so, fikirieni i spent more than two week bila simu…no money4u..bt shaggy alipata pesa yake..
  ni mfano tu…ila HABARI NDO HIYO??!1

 14. trii Says:

  Mkate===umenifurahisha,hii ndo bongo,siku hz vibaka wala hawakabi wanakwambia tuu leta simu,yani kama yao vile.

 15. trii Says:

  na ukisema wasanii wasije bongo kwa kweli si dhani kama itawezekana,kama unavyo ona watu kibao kwenye hiyo picha hapo juu,baada ya kazi ni mapunziko.

 16. malcolm Says:

  Itachukua karne kwa wa Tanzania kuendelea na kama hatubadiliki!
  Maana wabongo kwa starehe ni bora sana wakati hao hao hawana huakika hata wa mlo mmoja,lakini tuko ladhi kijibana na kuwachuna wenzetu kisa starehe!
  Tubadilike wajaameni

 17. Pitah Mtui Says:

  Ja Mon,big tings a gwaan inna Bongo,a dancehall ting dat and Shaggy a mi artist still from ninenteen how long,a way back den.

 18. adakadabra Says:

  Pitah Mtui Says: August, 15, 2008 at 3:43 am

  ELIMIKA KAKA.HIKO KILUGA GANI

 19. jay Says:

  Bongo kuzuri ila aisee mambo ya ujambazi yanatisha maana mtu hulali miye naona nibanebane tu huku ughaibuni

 20. Matty Says:

  hahahahahahahaha jamani Pitah Mtui ulichoongea hakikuniacha hoi kama alivyocomment adakadabra mh still loughing hhaahhaahahahahahahaha

 21. binti-mzuri Says:

  hehehehehe matty hujacheka ka mie.. hehehehehhehehe

 22. Matty Says:

  Binti-mzuri humu kuna watu wamedata acha tucheke maisha yenyewe mafupi!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s